Habari Maalum FM - 2025-12-17T14:00:00.482Z
Habari Maalum FM
Arusha
Transcription
Ndivyo Bwana Yesu alifundisha.
Na.
Katika mariko pia sura ya 11 mm huyu mary connie aliandika akinukuu yayo hayo mm hmm sura ile hakuna 1 na mstari ule.
Wa 20 mm hmm na 5 sasa nasema hivi na kila msimamapo.
Na kusali.
Sameheni mkiwa na neno juu ya mtu.
Ili na baba yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi mmm na makosa na awasamehe na ninyi makosa yenu.
Kwa hiyo tunaona kanuni hii ya kwamba unaposimama kusali.
Unaposimama kuomba hakikisha.
Umesamehe la sivyo maombi yako hayatajibiwa hayatasikiwa kwa sababu una uchungu.
Kwa sababu una kinyongo una chuki na mtu.
Sasa tunapokwenda mbele za Mungu moyo wako sio mnyofu mbele mbele moyo wako sio safi.
Kwa hiyo ndugu yangu ukiwa katika hali hiyo unapiga kelele tu maombi yako.
Hayawezi kujibiwa au kusikiwa, kwa hiyo kinachotakiwa unapokwenda mbele za Mungu.
Hakikisha kwamba.
Umefanya nini imesamehe na yale uliotendewa yawe mazuri mmm ya hasa yawe mabaya hasa mabaya nikirudi kwa matayo sura ile ya 6 mm hmm wakati anafundisha wanafunzi wake ile sala ya bwana mmm inaandikwa kwenye mstari wa 12 kwamba utusamehe deni zetu kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu maana yake utusamehe makosa yetu.
Kama na sisi tunavyowasamehe wanaotukosea.
Kwa hiyo unapokwenda mbele za Mungu katika maombi hakikisha umeomba kusamehewa sasa huwezi kusamehewa wakati wewe hujasamehe mm ndio inakuwa ni vigumu.
Kwa hiyo msikilizaji wangu.
Hakikisha kwamba.
Huna fundo na mtu mm huna mtu aliyembeba na tunao watu makanisani.
Kwa kweli mwingine si si kijana tu mmm lakini anaweza kuwa ni mtu mkubwa au ni mtu wa umri? Anasema fulana alinikosea lakini sitamsamehe sasa ndugu yangu usiposamehe ujue na wewe utasamehewa na Mungu.
Kwa hiyo sasa sijui.
Unausema umeme unamwamini Mungu unasema umeokoka unasema.
Eeh ninampenda Mungu lakini kumbe unamchukia ndugu yako.
Na ni kwa sababu tu pengine kuna maneno yaliyosema na hata kama alikufanyia vibaya.
Bado unatakiwa.
Umsamehe nina ninapenda neno katika wakolosai mtumishi wa Mungu, paulo Mtume Paulo aliandika katika wakolosai sura ile ya sura ya 3 na mstari wa 13 nitakusikia nitakusomea usikie jinsi alivyoandika mstari huu mm hmm anasema.
Ni mstari wa 13 mkichukuliana kwanza tuanze 12 anasema hivi, anaandika hivi basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu watakatifu wapendwao.
Sasa kitu cha kwanza wewe ujitambue ni mtu mteule maana yake mmeteuliwa na Mungu la pili.
Wewe ni mtakatifu unayependwa.
3 anasema jivikeni moyo wa rehema utu wema unyenyekevu upole uvumilivu unaona hayo ndio mambo ambayo tunahitaji kujivika kama wafuasi wa Kristo.
Moyo wa rehema utu wema wanaenda ni kutenda mema jingine kwa unyenyekevu mm, kwa hiyo Mkristo anatakiwa kuwa mnyenyekevu na 4 lingine linasema upole si mtu.
Wa hasira si mtu mkatili si mtu mkali unajua kinyume cha upole ni ukali mmm kwa hiyo msikilizaji.
Unatakiwa uwe mpole alafu tena jambo jingine uvumilivu kuvumilia sasa ukiwa na uvumilivu ndipo unaweza kuchukuliana na mtu katika udhaifu wake maana mara nyingine mengine yanafanyika kutokana na udhaifu wa mtu.
Naksa Mariana Mutu Akiwana Sababu.
Ya kumlaumu mwenzake ni kweli kuna sababu ya kumlaumu kutokana na kitendo alichokutendea.
Au una unaweza kumlaumu kwa sababu ya maneno yaliyo kunenea sio mazuri.
Pengine.
Alikutukana pengine alikufanyia ndivyo sivyo pamoja na yote Biblia inasema hata kama una sababu ya kumlaumu mwenzako.
Unatakiwa umsamehe na anaendelea kusema kama bwana alivyowasamehe nini maanake kama wewe alisamehewa na Mungu na wewe unatakiwa usamehe huyu aliye kufanyia ndivyo sivyo na nasema vivyo na ninyi.
Kwa hiyo msikilizaji swala la msamaha ni la muhimu tuna mfano ambao yesu alitoka katika Injili ya matayo yule aliyekuwa anadaiwa dinari mia na mwingine anadaiwa talanta 10,000 sasa huyu wa 10,000.
Alisamehewa deni yake lakini akaenda kumkaba koo hilo lilikuwa anadaiwa dinari mia maanake sasa.
Yeye alikuwa na deni kubwa kipindi kile ilifananishwa talanta 1 ni shilingi 5000.
Hiyo talanta 1 sasa ukizidisha mara 10,000 ni karibu 50,000,000.
Kwa mtazamo wangu naona maana 10,000 ukizidisha mara 5000 eeh eeh karibuni 50,000,000 halafu lakini huyu mwenye dinari mia ni kwamba ni saint ni shilingi 75 tu kwa sababu dinari 1 ilikuwa inafananishwa inalinganishwa $0.75.
Sasa 75 ukizidisha kwa mia ndio unapata hizo shilingi 75 hazifiki hata shilingi 100 unaona sasa huyu aliyesamehewa deni kubwa alienda kumkaba koo.
Aliyekuwa na deni ndogo na tunaona kwa vile alikuwa amesamehewa na kwa sababu hakusamehe yule mjoli wake mtumishi mwenzake tunaona naye alitupa gerezani hata alipe deni yote.
Kwa hiyo msikilizaji ni hatari sana.
Usipokuwa mtu a msamaha hata umeumizwa kiasi gani? Unachotakiwa ni kuomba Mungu akusaidie paulo anaonyesha anaandika katika wa wafilipi 4, 13 kwamba nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
Kwa hiyo unatakiwa unapofanyiwa neno lisilo kupendeza neno ambalo ni baya uombe Mungu akusaidie.
Usijibu usilipe baya kwa baya baya kwa baya ila uweze kuwa na msamaha sawa mtumishi wa Mungu sasa turudi kwenye kile ambacho tulikuwa tuje anatumia kiache hapa? Kubeba chuki kuna faida gani au hasara gani hasa katika maisha ya mtu kwa sababu tunaangalia hapa kuna mtu unakuta amebeba mzigo mzito sana moyoni mwake anashindwa atakusamehe lakini unakuta hayo masamaha hayatoi mpaka pale ambapo abiria na mia mwaka mwingine na mwaka mwingine lakini huyu mtu bado unamkuta akifanya vitu vingine na wewe hapa kama neno hili linatofautiana na mtu kwamba asipokuwa na moyo wa msamaha kwa mwenzake basi hata yale ambayo anayeomba yeye mwenyewe pia.
Ayo mwenyewe aweze kusamehewa mbele za Mwenyezi Mungu sasa kuna kubeba chuki kuna faida gani au hasara gani ile Biblia anasema kwamba.
Chuki.
Ni ni inamfanya yule mtu aliye na chuki kuwa ina mhesabu ni muuaji.
Naona msikilizaji, kwa hiyo yule mtu unayemchukia hata hujampa sumu hujaa mkata mapanga eeh hujaifanyia lolote lile.
Jina ana uzima wa milele, hivyo ndivyo tunasoma mtume yohana alivyoandika.
Kwa hiyo wewe kama unabeba chuki juu ya mtu fulani.
Na umekuwa na tukio kwa mwaka huu.
Usitake kwamba mwaka unaofuata.
Ni kupate na wewe bado una chuki ile na dhidi ya haina mtu.
Yaani unamchukia ule mtu kama kweli unafanya hivyo.
Ijue mbele ya nini wewe huna uzima wa milele, lakini pia unahesabiwa kwamba wewe ni muuaji.
Na hivyo ndivyo neno la Mungu nasema mmm, kwa hiyo tunahitaji kujihadhari mm kwamba tusibebe chuki na unapobeba chuki, lakini pia unakuwa umma msamaha ni kwamba wewe mwenyewe una hasara ya kuweza kupatwa na magonjwa inaweza kutokana na kutokusamehe na pia kuwa na chuki.
Maana yule mtu unambeba unamuwaza usiku na mchana na kila kitu sasa nikupe andiko usifikiri mawazo yangu.
Waraka wa kwanza wana sura ya 3 mstari ule wa 16,000, mstari wa 16, 15 80 na ndiko aina yake lakini kabla hujasoma 50 anajua huko.