Morning Star Radio - 2025-10-15T05:00:00.617Z
Morning Star Radio
Dar es Salaam
Transcription
Mara sauti ya matumaini.
02:00 kamili.
Unasikiliza AWR Tanzania 94 nukta 9 tanga sauti ya matumaini.
The.
Popote pale ulipo msikilizaji wa AW Tanzania ukiendelea kutegea sikio matangazo yetu ya 1 kwa 1 kutoka barabara ya Mwai Kibaki mikocheni b jijini dar es Salaam ninayofuraha kukualika wakati mwingine tena siku nyingine tena nzuri na njema.
Jumanne tulivu Jumatano tulivu ya tarehe 15 mwezi wa 10 mwaka 2025 katika huku na kule hii leo ukisikia taarifa na matukio mbalimbali ambayo yametufikia katika meza ya huku na kule jina langu ni abishagi mpoki tafadhali fuatana nami mpaka tamati sote kwa pamoja tu kile songesha gurudumu hili la huku na kule kwa pamoja ili kujua yale yaliyojili ndani na nje ya Tanzania na miongoni mwa habari tulizonazo leo ni pamoja na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, takukuru mkoa wa Kigoma.
Amekemea vikali wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani kupitia mitaa na kununua kadi au shahada za wapiga kura.
Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Nachingwea, dokta Ramadhani mahiga amesema hospitali imepiga hatua kubwa katika kuboresha huduma za afya.
Na Kanisa la waadventista wasabato field ya Pwani mashariki mwa Tanzania.
Tcf imeendesha semina ya muziki.
Basi kwa hayo na mengine mengi tafadhali ungana nami mpaka tamati sote kwa pamoja tukizidi kulisongesha gurudumu hili la huku na kule tunapata mapumziko mafupi ninarejea kwako hivi punde tukisikia habari hizo kwa kina tafadhali endelea kusalia nami hii ni AWR Tanzania sauti ya matumaini kwa watu wote.
Basi enendeni ulimwenguni kote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza kwa jina la baba mwana na Roho Mtakatifu vyombo vyetu vya habari vya Kanisa ni nguzo muhimu ya kuwafikia wengi na kuimarisha imani zetu kama vyombo vingine vyote vya habari vinahitaji rasilimali ili kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi.
Ninaamini kwamba kila mmoja wetu ana sehemu kuchangia ili kuendeleza kazi hii muhimu.
Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya kipekee kushiriki mbaraka huu kwa kazi hii takatifu kwa kutoa sadaka yako na michango yetu kuweza kuwezesha vyombo hivi.
Kutoa sadaka yako kupitia namba ya m pesa 0, 7 45 32 35, 25 jina litokee SDA church lakini pia unaweza shiriki kupitia lipa namba ya mixed years kwa namba 60 25 19 7 jina litatokea Tanzania adventist media channels lakini pia unaweza shiriki kupitia namba ya akaunti kwa benki ya crdb kwa namba 0 1.
50 45 28 83 0 0 0 jina ni morning star radio fm Mungu akubariki nimekuja kukwambia wewe ukamwambie yule amwambie na yule ya kwamba tunapotoa sadaka zetu tunakuwa sehemu ya kuangaza nuru kwa ulimwengu.
Canisa Adventista was about to edeni lopo.
Kama jijini Mwanza linawaalika watu wote ikiwemo makanisa ya mtaa wa igoma katika siku ya uchangiaji wa sadaka maalum kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa hilo.
Siku hiyo tunatarajia kukusanya kiasi cha shilingi 59,000,000 nukta 4 ili kukamilisha ujenzi huo changizo hilo litafanyika katika sabato ya tarehe 18 mwezi wa 10 mwaka 2025 katika Kanisa la waadventista wa sabato edeni kuanzia 03:00 asubuhi hadi jioni wageni mbalimbali wamealikwa akiwemo siku b.
Ambaye ni mkurugenzi wa seco b engineering and General supply Company Limited na Michael marco, mkurugenzi wa palmeiras Company Limited na wengine wengi wamealikwa kwaya mbalimbali zitakuwepo ikiwemo edeni kwaya shamaliwa kwaya na betheli kwaya bila kusahau igoma SA kwaya sasa waweze kuchangia mchango wako kupitia nmb akaunti namba 33 51 0 0 0 4 22 9 jina ni edeni.
Hd a au kwa m pesa namba 0 7 6 9 29 51 11 jina ni agnes daniel sinda kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0 7 4 0 0 90 30 1 au 0 7 1 4 70 15 51 karibu tumjengee nyumba bwana.
Shiriki furaha buju kwa kutoa sadaka yako kusambaza tumaini kila kona.
Jiunge sasa na mpango kabambe wa kununua vifaa vya kurusha na kupokea matangazo ya AWR Watanzania waweze kushiriki mbaraka huu kwa kutoa sadaka yako kupitia benki ya crdb yenye nambari 0150452883000 jina ni morning star.
Fm radio au iliipa namba ya tigo pesa yaani mix the years 6025197 jina ni Tanzania adventist media channels kwa niaba ya vodacom 0745323525 jina ni ESHH tunasema mimi na sauti ya matumaini.
Sambaza tumaini.
Namna hiyo ndivyo ambavyo tunazidi kusonga mbele karibu sasa katika huku na kule tusikie habari kwa kina tukianzia pale mkoani Kigoma taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa Kigoma imekemea vikali wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani kupitia mitaani na kununua kadi au shahada za wapiga kura na kuzihifadhi kwa lengo la kuzitumia kupiga kura wakati wa uchaguzi bila mhusika kumchagua ikitajwa kuwa kinyume cha sheria na kwamba wagombea watakaokamatwa watachukuliwa hatua kali.
Za kisheria kutoka pale mkoani Kigoma kabisa usizeeke anatujuza zaidi ni katika kikao cha wagombea wa nafasi ya udiwani jimbo la Kigoma mjini pamoja na viongozi wa takukuru mkoani Kigoma.
Hapa wagombea wameaswa kuzingatia sheria za uchaguzi kwa kujiepusha na matukio ya rushwa katika kikao hiki hoja ya wagombea kununua kadi za wapiga kura ili kutumika wakati wa uchaguzi bila mhusika kuwepo.
Likaibua sura mpya takukuru wakitakiwa kulifanyia kazi mara 1 watu wanaosha ada hizi za kupigia kura lilikuwa kubwa sana na linaharibu mchakato mzima wa uchaguzi.
Na hili tukubaliane yoyote kwenye maazimio yetu.
Tukuletee watu wanaonunua hizi shahada kwenye kata zetu na wanajulikana tunao.
Na yanalindwa sisi tutakuletea na hawa watu ambao wameandikishwa sio raia na tunao tunajua kabisa mimi mwenyewe tangu Kigoma wapo sio raia kwenye daftari wamo nasikitishwa sana na nyinyi kutokuwa watu wa kuchukua hatua.
Hususani jambo la hizi kura feki nimekiri wenyewe kwamba mna taarifa mitaani shahada zinanunuliwa sana sasa la kwanza tunahitaji kwenye kupiga kura.
Nimeeleza watu ambao hawana sifa za kupiga kura hasa hivi vipato wamechukua wameandaa watu wa kupiga kura ambao sio wakazi wa eneo husika.
Mkuu wa takukuru mkoa wa Kigoma asha kwariko ameahidi kutofumbia macho wagombea wanaotoa rushwa ili kuchaguliwa na wananchi sambamba.
Na kufanyia kazi mara 1 viongozi wa kisiasa wanaotaka kuvuruga uchaguzi kwa kununua kadi za wapiga kura kitendo cha kununua.
Kadi ya mpiga kura maana yake unamnyima fursa ya kwenda kupiga kura.
Maana yake, una unamnyima fursa ya kwenda kuchagua kiongozi anayempenda.
Sasa vitu kama hivi na maana vinakwenda kupunguza.
Kura kwa baadhi ya wapiga kura, lakini vile vile inaweza ikaleta kero sufuria italeta shida inaweza ikaleta vurugu na sisi hatutaki uchaguzi huo na vurugu.
Nataka uchaguzi ufanyike kwa amani wanane.