Jembe FM - 2025-10-15T16:00:00.547Z
Jembe FM
Mwanza
Transcription
Imetimia, 01:00 jioni.
Kutoka chumba cha habari hii hii ni jembe habari.
Hujambo na karibu msikilizaji wa jembe fm karibu katika jembe habari mimi ni jacob Richard mlai habari za nyumbani.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi ccm dakta ya samia suluhu hassan ameahidi wakazi wa wilaya ya misenyi mkoani Kagera kuwa akipata ridhaa ya kuongoza nchi atakamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege mkubwa na wa kisasa katika eneo la kiambu bajwa wilayani humo nukta tuseme ameeleza kuwa uwanja huo wa kisasa utasaidia katika kuifungua wilaya ya misenyi na mkoa wote wa Kagera, kiuchumi na kibiashara huku akifafanua kuwa tayari serikali yake imekwisha fanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa uwanja huo hivyo.
Akipata ridhaa atahakikisha unakamilika hujasamehe ametoa ahadi hiyo leo 10/15 20, 25 katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika kata ya kiaka wilayani misenyi mkoani Kagera.
Mradi mwingine mkubwa utakaofunguliwa wilaya hii ni ujenzi wa uwanja wa ndege kwa sasa tuna uwanja wa ndege wa bukoba ambao una urefu wa kilomita 1 pointi 4 na hakuna eneo la kufanya upanuzi kule hivyo tumeanza kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa.
Katika eneo la kiambaa bajwa katika wilaya hii ya misenyi mkiangalia kwenye ilani za uchaguzi mtaona eneo lililosemwa pale ni omukajunguti lakini eneo hili halikufaulu halikuwa na maksi nyingi kwenye upembuzi yakinifu kwa tumeamua uwanja huu ujengwe kwenye eneo hilo la kiabadi jua kwa ndugu zangu misenyi itakuja kuwa na uwanja wa ndege uwanja huo mpya utakuwa na uwezo wa kuhudumia ndege kubwa kama vile boeing 3, 7 3, 900 zenye uwezo wa kubeba abiria 180.
Hadi 220 kwa hiyo ni matumaini yangu kwa wale tunaopakana nao hapa Uganda watakuja kusafiria uwanja huu halafu watoke watue uwanja huu kuenda kwao na uwepo wa uwanja huo utaleta pia fursa za utalii na biashara na kukuza sera ya kilimo biashara kwa mazao mbalimbali ambayo tunalima ndani ya wilaya hii.
Aidha dokta samia suluhu hassan ameahidi kuboresha sekta ya uvuvi endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano sasa mimi ameeleza kuwa mpango huo utatekelezwa.
Sambamba na kuwapatia wavuvi boti za kisasa kuwa mikopo ili kuongeza tija katika shughuli za uvuvi huku akibainisha kuwa hatua hizo ni sehemu ya mikakati na mkakati wa serikali wa serikali yake unaolenga kuanzisha na kuendeleza kongani za viwanda nchini ambapo sekta ya uvuvi itapewa kipaumbele ili kuongeza thamani ya mazao na kutoa ajira kwa wananchi.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha sauti ya umma sau majaliwa kiara.
I'm Tanzania.
Anapata huduma ya maji safi na salama bure kabisa ametoka ulizwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika kisongo wilaya ya arumeru mkoani Arusha.
Tumejaliwa vyanzo vingi sana vya maji alivyotupa ngumu wapo wenzetu wanaishi kwenye jangwa lakini hawana shida ya maji tuliyonayo hapa Tanzania wapo wenzetu toka kuumbwa ni jangwa lakini sasa kwao kunaanza kuwa kijani na kwetu tunakoenda kuwa jangwa sasa ndugu zangu.
Ni wakati wa kufanya maamuzi sahihi ili tuhakikishe kila mwana arumeru tuhakikishe kila Mtanzania anapata huduma ya maji safi na salama pasipo usumbufu wowote kama taifa tunasema ni lazima Mtanzania apate huduma maji safi na salama na kwa sababu hakuna aliyetengeneza maji hayo.
Tunasema tunataka huduma ya maji safi na salama ikisha mfikishie kila Mtanzania na iwe bure.
Pasipo malipo na arumeru wewe.
Ameongeza kuwa chama chake kina adhamiria kubadilisha mfumo wa biashara ya mifugo kwamba kitatengeneza mazingira ya Tanzania kuuza bidhaa za mifugo badala ya mifugo yenyewe.
Aidha kiara amesema chama chake kitaweka mazingira bora ya ajira kwa vijana akieleza kuwa wengi wao wamesomeshwa kwa gharama kubwa lakini hadi sasa hawana ajira.
Katika hatua nyingine, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha wakulima Tanzania, AAFP kunje ngombale mwiru.
Amesema endapo atachaguliwa kuwa rais katika uchaguzi mkuu wa 10/29 atatoa trekta kwa kila kaya 10 za wakulima ikiwa ni mkakati wa kukifanya kilimo kuwa chanzo kikuu cha uchumi wa taifa.
Ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu 20 25 uliofanyika mji mdogo wa katoro mkoani geita kwa sababu nchi hii tunahitaji matajiri wanaotokana na kilimo.
Nimewaahidi kila kijana wa aina yoyote kuanzia miaka 18 nitampa pawatila bure.
Mimi nimetembea nchi nyingi jamani najua hivi vitu nitavitoa wapi watu wanawabana kwenye makodi mengi mbwembwe nyingi.
Jeshi la polisi kanda maalum ya dar es Salaam limesema limejipanga kikamilifu kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 10/29 mwaka huu 20 25.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es Salaam, kamanda wa polisi wa kandahiyo.ca c pp Jumanne muliro amesema jeshi hilo limeandaa mikakati madhubuti ya kiitelijensia pamoja na kuimarisha doria katika maeneo yote ya jiji hilo ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani.
Ndio tulivyo na watu wana haki ya kwenda bila hofu kupiga kura na kuchagua mtu yoyote wanayemtaka vitendo vya kutisha watu vitendo vya kujaribu kutishia watu havikubaliki sababu shughuli ile ni ya kisheria.
Jeshi la polisi litaendelea kufuatilia kuzuia kubaini na kutanzua matishio yote ya kiusalama na siku hiyo watu watatimiza jukumu lao la kikatiba bila hofu.
Naomba wananchi wema waendelee kutoa taarifa mbalimbali na jeshi halitatoa siri ili watu wote ambao wanajihusisha na vitendo vya kihalifu waweze kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria ikiwa ni pamoja na kuwafikisha kwenye mamlaka zingine za kisheria kama ofisi ya mashtaka pamoja na mahakama za kisheria za Tanzania.
Mambo mapya yameibuka katika shauri la kutekwa kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini cuba, humphrey polepole baada ya mawakili wake kuiomba mahakama kuu masijala nduga dar es Salaam iridhie kupokea ushahidi wa mdomo wa Christina polepole ambaye ni dada wa ahly polepole mambo hayo yametolewa leo 10/15 20 25 na peter kibatala kiongozi wa jopo la mawakili wa polepole wakati shauri lililopitishwa kwa ajili ya usikilizwaji shauri hilo la maombi namba 24, 5 14 mkwaju 20 25.
Inayosikilizwa na jaji mfawidhi, salma magimbi lilifunguliwa na akili kibatala kwa niaba ya polepole 10/07 20, 25 chini ya hati ya dharura dhidi ya mkuu wa jeshi la polisi, IGP na wenzake.
Wajibu maombi wengine kwa mfuatano ni mkurugenzi wa mashtaka dpp, mwanasheria mkuu wa serikali AG mkuu wa upelelezi wa kanda maalum, dar es Salaam zbc o na kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es Salaam zpc wakati shauri lilipotajwa kibatala akishirikiana na mawakili faraji mangula na gloria ulomi ameelezea mahakama kuwa leo asubuhi amepata taarifa kutoka kwa kk.
Sina dada wa polepole ambazo ni muhimu mahakamani kuzifanyia kazi.
Jamii imetakiwa kujiepusha na uhalifu mtandaoni ilikuwa na matumizi sahihi ya mtandao hayo yameelezwa na mtaalamu mkuu wa usalama mtandaoni, yusuf kileo alipokuwa akizungumza na jembe habari akitoa elimu ya usalama mtandaoni ikiwa dunia inaadhimisha siku ya usalama mtandaoni ifikapo mwezi wa 10 kila mwaka duniani.
Amesema ni kosa kisheria ya kusambaza taarifa ghushi mitandaoni na badala yake watumie mitandao kwa kujinufaisha katika mambo mbalimbali.
Ambayo yatawaletea faida ikiwemo kujiingizia kipato tunahamasisha matumizi salama ya mitandao na wanapozungumzia matumizi salama ya mitandao ni kujiepusha na na na uhalifu wa aina yoyote na ulichozungumza hapo tunaweka kwenye mambo yale ya taarifa ghushi mitandaoni, kwa hiyo kwenda kuweka taarifa ghushi mitandaoni kusambaza taarifa ghushi mitandaoni si jambo zuri kutukana watu mitandaoni kudhalilisha watu mitandaoni kutumia mitandao kinyume na wewe kujipatia manufaa yanayokuja na mitandao.
Si jambo zuri kwa hiyo watu tunahamasisha wajiweke mbali na changamoto mbalimbali ambazo zitawaletea shida bila sababu za msingi na watumie mitandao kwa utaratibu mzuri.
Kwa sababu kimsingi nieleze tu.