RadioOne - 2025-10-17T08:00:00.558Z
RadioOne
Dar es Salaam
Transcription
Kocha wa redio one kutoka Arusha, mimi ni asraji mvungi wa redio west nikiripoti nipashe kutoka Mwanza mimi walitulia na sele wa redio one nikiripoti kutoka mkoani mbeya rebeka Kenya nyorido wa nikiripoti kwani pasi kutoka hapa mkoani Tabora apollo Benjamin redio one kutoka wilayani Handeni mkoani tanga mimi ni kassim sonyo wa nipashe ya redio one nikiripotia nipashe kutoka ule ni hai mkoani Kilimanjaro mimi naitwa Lawrence lita keli wa radio one nikiripoti kwani pasha kutoka Bujumbura mimi bali ni dhamana.
Kwa redio one.
Nipashe sikiliza tukupashe tenzi news, flava radio station.
The.
Imetimia 05:00 kamili.
Karibu katika habari za saa kutoka radio one msomaji ni adan Mohammed.
Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga daktari zile john amewaonya watumishi wa afya wa mkoa huo kuacha kuchukua mikopo kukausha damu kwa watoa huduma za fedha wasio rasmi badala yake wajiunge kwenye vyama vya wafanyakazi ili wapate mikopo yenye riba ndogo na masharti nafuu.
Ametoa kauli hiyo wakati madaktari na wahudumu wa afya wa hospitali walipoungana kwa pamoja na watumishi wa taasisi nyingine kutoa misaada ya vitu mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo.
Mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya chama cha ukombozi wa umma chaumma bidii vyote nje amewaomba wakazi mkoani Mwanza wa kipe ridhaa chama hicho kiwanda serikali itakayoweka mifumo rafiki itakayosaidia kudhibiti uvuvi haramu na kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha wavuvi katika ziwa Victoria kuvua kisasa na kufanya wavuvi kunufaika kiuchumi na sekta hiyo.
Ametoa kauli hiyo alipozungumza na wananchi wa wilaya za ilemela na nyamagana mkoani Mwanza kuomba ridhaa ya Watanzania wakichagua chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 10/29 mwaka huu.
Mataifa mawaziri wa mambo ya nje wa iran na Tunisia wanasema kulitatua suala la Palestina kunahitaji kukomeshwa na kukaliwa kwa mabavu na kutekelezwa haki ya kujitawala ya wananchi wa Palestina.
Rais wa Afrika Kusini, cyril ramaphosa amesema usitishaji wa vita vya gaza hautaathiri kesi ya mauaji ya kimbari iliyofunguliwa na nchi yake dhidi ya Israeli katika mahakama ya kimataifa ya haki.
Katika michezo klabu ya soka ya mashetani wekundu Manchester United wangetaka takriban pauni 40,000,000 kumruhusu nahodha bruno fernandes raia wa ureno kuondoka na kujiunga na klabu nyingine ya ulaya huku Bayern Munich ikihusishwa na kumtaka kumnunua kiungo huyo wa kati wa ureno.
Na majogoo wa jiji Liverpool wanataraji uhamisho wa pauni 78,000,000 kwa mshambulizi wa Uhispania na Atletico club niko Williams mwenye umri wa miaka 20 na mitatu.
Mheshimiwa habari sasa kutoka redio one tafadhali usikose kujiunga nasi tena ifikapo 06:00 kamili mchana kusikiliza habari nyingine, za saa jina langu ni adam Mohamed.
His favourite radio station? The.
Hello there.
Yaani bora umenipigia huku kuna matatizo ya maya watu wengi kijijini saa hizi wanaumwa sana magonjwa yasiyo ya kuambukiza lakini hawawezi kumudu gharama zake na hapa hivi ninavyokwambia yule mjomba wa nanyamba kule anaumwa dada hujasikia kama tukichagua doctor samia suluhu hassan kuwa rahisi ndani ya siku 100 za kwanza serikali itagharamia matibabu ya saratani figo na sukari kwa wasiojiweza kama ni hivyo.
Sahihi kazi na utu tunasonga mbele chagua samia chagua ccm 10/20.
Ile burudani na miezi ndani ya kiwanja chenye hadhi ya kipekee dar es Salaam.
I Club EP 25.
Ili kunoga ni Jumamosi hii na kila Jumamosi ni timu ya kuenjoy ni timu ya kujirusha ndani ya kijiji cha burudani EB twenty five watanue wana.
One year by I Club Daniel EP 25 Joe.
Ngoma zote kali za kisasa chini ya wakali wa hizi kazi dj nicotrack.
Na kwenye MIC ni haipa mkali tuwalipie na nikupe mtonyo tu burudani hii itakuwa mubashara kupitia kipindi cha wiki shoo ya redio one kila Jumamosi kuanzia 03:00 kamili usiku tukutane i club ndani ya e twenty five mbezi beach makonde na kubwa kuliko hakuna kiingie.
Kwa habari za uhakika zilizofanyiwa uchunguzi wa kila na waandishi wetu kutoka kila pembe ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania usikose kusikiliza kipindi cha nipashe kutoka hapa redio one kila siku 12:30 asubuhi kutoka Morogoro kwa nipashe ida mushi wa redio wametoka Monduli mkoani Arusha halfan lihundi redio wakiripoti kutoka hapa wilaya ya muleba iliyopo mkoani Kagera.
Mimi ni gibson mika.
Wa radio one nikiripoti nipashe kutoka hapa kisiwani pemba mimi Suleiman rashid omar wa redio one nikiripotia nipashe mimi ni Hussein malivika wa radio one goma nikiripoti kwa nipashe kutoka Mtwara naitwa lucy ogutu wa redio one nikiripotia nipashe ya radio one kutoka mkoani Morogoro.
Mimi ni sifuni mshana nikiripotia nipashe ya redio one kutoka hapa mkoani Kigoma, mimi ni james john elisante mkumbo Singida radio one nikiripotia nipashe kutoka jijini Dodoma.
Ezekia alimtonya wale radio one.
Nipashe sikiliza tukupashe Tanzania s fav radio station.
Yeah.
Yeah.
Zimebaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu wa urais, wabunge na madiwani tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 kura yako haki yako jitokeze kupiga kura.
Tanzania's favourite radio station.
The.
The.