Mungu Kwanza - 2025-11-26T13:00:00.561Z
Mungu Kwanza
Dar es Salaam
Transcription
Unasikiliza Mungu kwanza.
Mpendwa mtoto wa maungo.
Kila wakati moyo wako ukajawa na shukrani mbele za Mungu.
Mshukuru Mungu kwa yale ambayo yametimia mshukuru Mungu kwa yale ambayo hayajatimia mshukuru Mungu kwa yale yaliyopo.
Mshukuru Mungu kwa ajili ya familia yako.
Mshukuru Mungu kwa ajili ya kazi yako mshukuru Mungu kwa yale ambayo umeomba kwamba anakwenda kutenda shukrani ni mlango wa kupokea.
Katika kitabu kitakatifu cha Mungu, Biblia inatufundisha kuwa na imani inatufundisha kwamba kila tufanyalo kwa neno au kwa tendo tufanye yote katika jina la Bwana Yesu Kristo, huku tukimshukuru Mungu Baba kwa yeye, basi wakaliondoa lile jiwe yesu akainua macho yake juu, akasema, baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia siku zote, lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria.
Na alisema haya ili wapate kusadiki ya kwamba ndiwe uliyenituma naye akiisha kusema hayo akalia kwa sauti kuu lazaro njoo huku nje akatoka nje yule aliyekufa amefungwa sanda miguuni na mikononi na yesu akawaambia mfungueni mkamwache aende zake.
Mpendwa unapoingia katika maombi haya ya kila saa paza sauti yako kwa Mungu.
Mshukuru Mungu kwa kuwa amekusikia na anakwenda kukusikia na Mungu akafungue mambo yako.
Mungu akajifungue familia yako.
Mungu akarejesha amani kwenye nyumba yako karibu katika saa ya maombi twende pamoja tuka mbilingani Mungu hapa Mungu kwanza online radio.
The.
Haleluya mtoto wa Mungu.
Wanaisoma asifiwe sana.
Nena kosa elimu katika jina.
La Yesu Kristo wa Nazareti aliyah.
Karibu kwenye maombi ya kila saa kamili.
Mtoto wa Mungu mahali popote pale ule.
Naam Mungu wetu ni mwaminifu sana.
Anaendelea kutupa faraja.
Anaendelea kutupa faraja ndani yetu.
Anaendelea kutupa tumaini ndani yetu.
Anaendelea kutupa.
Matarajio mapya ndani yetu.
Mtoto wa Mungu nataka nikuambie neno hili.
Usije ukavunjika moyo.
Eti kwa sababu umeomba.
Hujajibiwa.
Umeomba kwa habari ya kazi.
Umeomba kwa habari ya uzao.
Ameomba kwa habari ya mahusiano.
Umeomba kwa habari ya biashara kutengeneza mahusiano.
Kati ya.
Watu kadha wa kadha kutoka mataifa mbalimbali.
Amini itakuwa.
Ni kama vile jana nilivyokuambia kwamba chukua hatua.
Chukua hatua.
Kwamba lile uliloomba.
The fani akas.
Fani akas.
Si kweli kwamba Mungu hajakujibu.
Inawezekana Mungu ameshakwisha kutumia.
Inawezekana kabisa Mungu.
Amekwisha kutujibu siku nyingi.
Na hata hili neno linapokuja wakati huu.
Hali hii imekuja kwa ajili ya kutupa ngo.
La kutuvusha.
Mahali pale ambapo tumekua.
Mahali pale ambapo.
Umekwama.
Messi juu imekwama kwenye kwenye eneo la eneo gani? Sijui sijui umekwama kwenye eneo lipi.
Lakini najua kuna mahali.
Kuna mahali.
Hapo ulipokwama Mungu anataka.
Akuvushe.
Ili jina lake litukuzwe.
Tunapoona ile sala.
Ya bwana wetu Yesu Kristo.
Ile ambayo.
Aliwafundisha kusali wanafunzi wake.
Tunaanza na kusema baba yetu uliye mbinguni.
Jina lako litukuzwe.
Si jina langu.
Si jina lako ni jina la yesu litukuzwe.
Tunaruhusu ufalme.
Wa Mungu.
Wengie katikati yake.
Weka mkono wako hapo na pumu.
A little loose.
Ufalme wa Mungu.
Uingie ndani yake.
Ukuletee uponyaji.
Ukuletee matarajio.
Ukuletee tumaini.
Hulituma neno lake.
Kwenda kuwatoa katika vifungo.
Jamaa angamizo yao.
Msg.
Unamuona huyu mama aliyelala kitandani.
Unamuona huyu baba aliyelala kitanda.
Unamuona wiki jana aliyelala kitandani.
Wapo watoto pia.
Wakisumbuliwa na presha.
Wapo vitandani.
Watoto wengine wanasumbuliwa na kisukari.
Ole tume 4.
Na tunakushukuru kwamba umenituma 4.
Omeli Tumaneno.
Omeli Tumaneno.
Yes, Kartikat.
Signalises ebuan nenda *** yanu.
Nenda ukame mnyanyue huyu mama.
Nenda uka mnyanyue huyu mtoto.
Wengine wana tatizo la figo.
Wengine ni ini.
Wengine ni moyo.
Wengine ni pingili za mgongo.
Wengine ee bwana.
Walipewa tarehe kwa ajili ya kufanyiwa.
Cheka p kwa ajili ya kichwa.
Ili wawe aweze kufanyiwa upasuaji.
Ee pwana ulit.
Li mnyanyue na kumfungua huyu baba katika china la yesu prisons anayetolewa.