Boresha Radio - 2025-11-25T03:00:00.618Z
Boresha Radio
Dar es Salaam
Transcription
Salaam hivi punde tutajiunga na dw Kiswahili kutokea mjini bonn Ujerumani.
Mimi ni fatma Suleiman.
Vw idhaa ya Kiswahili inawakaribisha katika matangazo ya asubuhi.
Hivi sasa ni 12:00 kamili hapo Afrika Mashariki hujambo msikilizaji ni matumaini yangu kuwa umeamka salama karibu kwenye matangazo yetu ya asubuhi kwa niaba ya wenzangu wote utakaowasikia kutoka hapa dw Kiswahili mimi ni zainab aziz.
Bw.
Habari za ulimwengu nina kusomea kwanza mukhtasari wake naitwa lilian mtono Uingereza kuongoza mkutano wa Muungano wa walio tayari kuangazia mpango wa amani wa Ukraine.
Umoja wa mataifa wasema mwanamke mmoja aliyeuliwa na mtu wa karibu kila baada ya dakika 10 mwaka uliopita na shirika la amnesty International la washutumu wanamgambo wa rsf kwa uhalifu, el fasher.
Habari kamili London waziri mkuu wa Uingereza kias stammer hii leo anatarajiwa kuzungumza na washirika wa Ukraine wa ulaya kufuatia majadiliano ya mpango wa awali wa amani katika taifa hilo lililokumbwa na vita stama atawaongoza wakuu wenzake kwenye mazungumzo ya kile kinachotajwa Muungano walio tayari baada ya majadiliano ya mwisho wa wiki kati ya Marekani na kiev kusuluhisha mgogoro na urusi, staman na viongozi wengine wa magharibi walipinga mpango wa wa awali.
Kwa amani wa rais Donald Trump wenye vipengele 28 kabla ya mazungumzo mjini geneva na kuibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa Ukraine kuachilia maeneo na kuwapunguza jeshi la.
New York report.
Umoja wa mataifa hii leo imesema kila baada ya dakika 10 mwanamke mmoja mahali fulani duniani aliuliwa na mtu wa karibu mwaka uliopita huku ukilalamikiwa hatua dhaifu katika vita dhidi ya mauaji ya wanawake ofisi ya Umoja wa mataifa ya dawa za kulevya na uhalifu uhalifu.
Na uhalifu dhidi ya wanawake ilisema katika ripoti iliyotolewa katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake kwamba karibu wanawake na wasichana 50,000 waliuliwa na wenzi wao au wanafamilia mwaka 2024.
Ripoti hiyo ilisema 60/100 ya wanawake waliouawa kote ulimwenguni waliuliwa na wenzi ya ujamaa kama vile baba, wajomba, mama ana kaka, tofauti na 11/100 ya wanaume waliouliwa na mtu wa karibu.
Idadi hiyo ya wanawake 50,000 imetokana na takwimu za nchi 117.
Hii ikiwa ni kulingana na ripoti hiyo.
Port, sudan.
Shirika la haki za binadamu la amnesty International imewashutumu wanamgambo wa rsf nchini sudan kwa uhalifu wa kivita katika mji wa el fasher huko sudan pamoja na Umoja wa falme za Kiarabu kwa kuwezesha uhalifu huo.
Amnesty imesema imekusanya ushahidi kutoka kwa manusura 20 na wanane walioelezea ukatili huo huko el fasher kuanzia mauaji ya kushtukiza ya wanaume wasio na silaha hadi ubakaji.
Kwa wasichana na wanawake mkuu wa amnesty International, agnes callamard amesema kwenye ripoti iliyochapishwa hii leo kwamba ukatili dhidi ya raia unaweza kuwa uhalifu wa kivita na uhalifu mwingine chini ya sheria ya kimataifa na kutaka wahusika kuwajibishwa.
Tel aviv.
Hatimaye wakfu wa misaada ya kiutu kwenye ukanda wa gaza uliokuwa ukiratibiwa na Marekani kwa kushirikiana na Israel unafunga shughuli zake kwenye eneo hilo wiki 6 baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa.
Wakfu huo uliokuwa na utata unahitimisha shughuli zake baada ya kusambaza karibu milo 100,000,087 kwa wakaazi wa ukanda huo.
Mkurugenzi mtendaji wa wakfu huo, john ackrey amesifu mafanikio katika dhamira yao ya kuonyesha kuna namna bora ya kufikisha misaada kwa watu wa gaza ghgf ilianza shughuli zake gaza mwezi Mei baada ya kuzingirwa wakaribu miezi mitatu na Israel iliishutumu hamas.
Kwa kuiba misaada ya kibinadamu.
Na hatimaye, Washington.
Serikali ya rais Donald Trump inapanga kufanya mapitio ya wakimbizi wote walioingia nchini Marekani wakati wa utawala wa joe biden.
Hii ikiwa ni kulingana na hati iliyoonwa na shirika la habari la AP jana Jumatatu.
Mapitio hayo yanaweza kuibua mkanganyiko na hofu miongoni mwa watu karibu laki 2 waliokimbia vita na mateso kwenye nchi zao na kuingia Marekani.
Wakati huo hati hiyo yenye tarehe 21 Novemba.
Imesema serikali ya biden ilizingatia tu ufanisi na kiasi kuliko ukaguzi wa kina.
Imeongeza kuwa kutokana na hali hiyo, wakimbizi wote walioingia kati ya 01/20 mwaka 2021 hadi 02/20 mwaka 2025 watafanyiwa ukaguzi na mahojiano upya na huo msikilizaji ndio mwisho wa taarifa ya habari za ulimwengu iliyokuja kwako kupitia idhaa ya Kiswahili ya dw.
Hapa mjini bonn.
Bw dunia yetu leo asubuhi.
Naam msikilizaji mwenzangu lilian mtono amekwisha kutusomea taarifa ya habari za ulimwengu.
Nami sasa nakukaribisha kwenye dunia yetu leo asubuhi ambapo tunakuletea ripoti zetu zenye uchambuzi wa kina na kwa muhtasari tu taarifa tulizokuandalia leo hii ni pamoja na shutuma dhidi ya nchi ya falme za Kiarabu zinazidi kumiminika mitandaoni kufuatia hali mbaya ya kibinadamu iliyo katika mji wa el fashar huko nchini sudan.
Wanaharakati wa Kiafrika waliohudhuria kongamano la kilele la mabadiliko ya tabia nchi mjini belem nchini Brazil walitumia fursa hiyo kulalamikia dhuluma na ufunguzi wa ubalozi wa syria nchini Marekani baada ya kufungwa kwa miaka 11, unanikumbusha dunia jinsi majengo hayo yamekuwa yakitekelezwa pindi mahusiano ya kidiplomasia yanapo dorora.
Tuanze na shutuma dhidi ya nchi ya falme za Kiarabu ambazo zinazidi kumiminika mitandaoni kufuatia hali mbaya ya kibinadamu iliyo katika mji wa el fasher uliotekwa na wanamgambo wa rsf wiki 2 zilizopita kulingana na wanaharakati wa haki za binadamu na asasi mbalimbali za kiraia.
Nchi hiyo ndio imeendelea kuchochea mapigano nchini sudan kwa kutoa silaha kwa kundi la rsf.
Sasa wanaharakati wanawahimiza watu wasusie shughuli za kibiashara na starehe za jiji la dubai.
Ambalo ndio kitovu cha kiuchumi cha nchi hiyo lubega Emmanuel ameandaa ripoti ifuatayo licha ya utawala wa abu dhabi kuendelea kukanusha madai ya Umoja wa mataifa na mashirika mbalimbali ya kibinadamu na ya kimataifa kwamba unaunga mkono wapiganaji wanamgambo wa rsf maafa yanayoendelea hasa katika mji wa el fasher yananasibishwa na madai hayo sasa jumuiya ya mitandaoni imeamua kumimina ujumbe wa shutuma dhidi ya falme za Kiarabu kwenye majukwaa mbalimbali ikiwemo x na kadhalika mojawapo ya ujumbe huo unahitaji ya nchi hiyo.
Kufadhili mauaji ya halaiki huku mwingine ukisema kuwa mnaua raia wa sudan wanaharakati mashuhuri duniani wenye ushawishi mkubwa kwenye mitandao wamejiunga kwenye vuguvugu hilo.
Mwanaharakati wa mazingira greta thunberg ameunga mkono shutuma hizo ambazo wadadisi wanaelezea zinachafua sifa za ufalme wa Kiarabu kulingana na mtafiti Christian cortes eriksen kutoka taasisi ya baker chuo kikuu cha rais kampeni ya mitandaoni ya kuwataka watu wasusie shughuli za biashara starehe na anasa za dubai ambazo ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi hiyo zaweza kuwa na athari kubwa kauli mbiu.
Vilivyo mitandaoni nasema habibi susia dubai thunberg pamoja na msanii markel more ambao kwa pamoja wana wafuatiliaji zaidi ya 20,000,000 ndio wamejitokeza na kauli mbiu hii habari za mauaji halaiki ubakaji na maovu mengine zilianza kuvuma mwezi Oktoba rsf lilipoteka eneo la darfur ambayo ilikuwa ngome kuu ya jeshi la sudan.
Tangu wakati huo shinikizo dhidi ya rsf limeongezeka watumiaji wengine wa x wanasema kuwa Umoja wa falme za Kiarabu ndio wameeleza mzozo huo wa wenyewe kwa wenyewe, lakini wizara ya maswala ya kigeni ya ufalme huo.
Imetaja kampeni hizo kuchochewa na muundo wa propaganda wa serikali ya sudan.
Wizara hiyo imejitokeza na ujumbe ikielezea masikitiko yake kuhusu hali mbaya ya kibinadamu sudan, lakini akasita kuelezea kuhusu uhusika wake katika kile kinachodaiwa.