Jembe FM - 2025-10-15T14:00:00.490Z
Jembe FM
Mwanza
Transcription
Kwanza Arusha pamoja na grand fainali itakuwa pale jijini dar es Salaam kesho liter mloka 2025 ni noma na burudani mwanzo mwisho maana mimi nimeamua kwamba bwana yeye sasa.
Kinywaji changu kitakuwa yaani nikikosa baa hii inaenda grocery ile nikikosa grosari ile utaenda inaenda ile nyingine mpaka nipate castle lite eeh ndio ni.
Zituma sana kwa sababu katika ligi guruduma wakati wanachezesha ule mchezo mm si lazima imuangukie mtu fulani kabisa eeh kwa hiyo nitachukua kile kizibo ikiangalia ile kodi basi nitakuwa na ituma kupitia sms kwenda namba 1 5 4 2 1 na wewe wanatusikiliza tumia kodi hiyo hiyo namba hiyo hiyo 1 5 4 2 1 na hapa 1 kwa 1 nitakuwa nimeingia katika droo ya kila wiki na bahati nzuri ni kwamba sio mtu mmoja mmoja tu eeh kila mkoa a.
Maana hii ni sharti hii ni komba komba eeh kwa sababu ukiambiwa ni pati experience lazima ikusanye watu nyomi alafu wale watu nyomi yaani mnalipiwa kivipi yaani allah kivipi px experience na zile ahmet prices mbalimbali vigezo na masharti kuzingatiwa ni unakutana na miji zawadi na wakati huo safari yako imelipiwa pamoja na malazi yako yamelipiwa kila kitu ndio maana castle lite inauliza una paspoti castle lite extra cold refreshment.
Haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18 unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.
Tafadhali kunywa kistaarabu ee kistaarabu ee bwana mahakama kuu masijala kuu Dodoma.
Imeitupa kesi ya luhaga mpina na ACT wazalendo ikieleza kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi tume huru ya taifa ya uchaguzi inec haipaswi kuingiliwa na chombo chochote kwa jambo ambalo ilifanya kwa nia njema.
Kwa nia njema mpina ya mstari ee alikuwa akipinga kuenguliwa katika nafasi ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 10/29 2025.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano 10/15 mbele ya mahakama hiyo na kiongozi wa jopo la majaji wanaosikiliza kesi hiyo, jaji fredrick manyanda.
Majaji wengine waliosikiliza kesi hiyo ni sylvester kainda na Abdallah gonzi.
Kwa uamuzi huo mpina hataweza kushiriki kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu ambao kwa sasa vyama vya siasa vinavyoshiriki vinaendelea na kampeni.
Unajua mashauri yakishafanyika kutoka kwa mahakama ndio hakuna tena mjadala eeh kule kimtaani tunaweza tukajadili lakini tutaendelea kujadili fursa zinaenda siku zinaendeea basi ndio hivyo na ni kusema hivyo kwamba kama ni kukata rufaa ndo hivyo kwa sababu tayari ishapigwa mstari kwamba bwana maswala ya haki kuingilia tume ya taifa ya uchaguzi.
Bwana haipaswi kuingiliwa yaani hapo ndio yaani imeshafungwa hiyo the coast ee ya kesses.
Closed sasa kama iko closed hivo inabidi kwa sababu walizungumza kiongozi mstaafu wa chama hicho ambaye pia anagombea ubunge pale Kigoma mjini zitto zitto kabwe mmm yeye alisema kwamba maamuzi akishatoka watawaambia wananchi kwamba kuelekewa kulaza urais wanachama wa ACT wazalendo ziende waende wapi kwa tunasubiria ee kwamba bwana zitto sasa pengine address kuwaambia wana ICT kwamba urais sasa.
Apigiwe nani maamuzi yao ey au pale kiboksi tukiache wazi ee tudili tuna mbunge na diwani.
Au inakuwaje chaguzi ni lako ee na wenzi ni ushawishi huo ambao upo katika chaguzi zetu katika kampeni mbalimbali ambazo zinaendelea ya mikoa na mikoa.
Nasi tutakuwa tukiendelea kukupasha yale yote ambayo yatakayokuwa yakichukua kasi kutoka katika maeneo hayo.
Kama kuna chochote unaweza kututumia ujumbe kupitia 0789958311 na ujumbe wako tunakusoma hapa kupitia jembe fm 9 3 nukta 7.
Yes bwana michongo michongo eeh lazima ikufikie mapema sana hataki kuchelewesha bwana inawezekana leo ndio siku yako kwa hiyo taarifa ikufikie kwamba bwana ukibonyeza tu nyota 1 4 9 nyota 8 8 alama ya reli ambao ukimtembelea wakala bado nasibu ya taifa lake karibu nawe ama kwa USD ya miss byrs airtel money pamoja na m pesa ukiwa na kianzio cha shilingi 100 unaweza kuuaga umasikini kwa kucheza bahati nasibu ya taifa nazungumzia 100 ambayo hiyo unacheza tamba na namba ambayo inakupa droo.
Kila siku kila dakika 5 inamaanisha kwamba nafasi nyingi zaidi za kushinda hadi shilingi 10,000,000 ee.
Lakini vile vile kwa shilingi 2000 za kucheza lotto ambayo inakupa nafasi 2 kila siku za kushinda makadirio ya shilingi 45,000,000 na kuna shilingi 3,000,000 iwe hakika ambayo inatoka kila siku kuelewa neno uhakika ya uhakika inatoka kila siku, lakini kwa wale ambao wanatafuta ushindi wa papo kwa hapo basi pia ee ipo draw unacheza pale toboa chapchap ambapo hapo kuna zaidi ya shilingi bilioni 2 za zawadi za papo kwa hapo unakwangua una mechisha.
Alafu unashinda lakini pia kuna spindler cash gurudumu hili la zawadi ambayo ina thamani ya shilingi bilioni 2 nukta 7 unazungusha unaachisha alafu unashinda kwa nini usubiri siku 1 wakati unaweza kushinda hii leo wewe amini.
Ongeza na ushinde na ni kama una miaka 18 na kuendelea basi huo umeshapitishwa kabisa lakini unachoambiwa bwana ucheze tu kistaarabu bado nasibu ya taifa hii inasimamiwa na bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania ambao unaweza ukapiga bure namba zao ni 0800782233 kwa majina naitwa Stanley hazisikii kutoka kasungamile Sengerema anasema tuko pamoja mpaka tamati ya drive mix mimi pasipoti ni nayo unajua kesh mane huyo.
Basi endelea kunywa castle lite kutoka nyakato pale National dukani kwake ndiko ambapo wanapopatikana, anasema brother sengo dah eeh ulivyo hii chapa eeh eeh ufunguaji wa kesho rights.
Ebana mbona kama ina hii ina nihamasisha? Anasema hivyo uh kwamba ile ina inakuwa je? Unajua hivi ford-p hivi hop.
Wakati inashuka kwenye glasi.
Mmh halafu niambie kwamba.
Hiki dunia haramu haramu ya wapi? Mmm na ndio maana tunakuambia kunywa pombe Kiarabu kistaarabu mm sup sms ziko nyingi hapa kutoka kwa wadau wetu mbalimbali mwingine, anasema ndugu zangu wapendwa kwa neema ya Mungu.
Naamini kuwa mko salama pia hongereni sana kwa baraka na uwepo wenu hapo studio ila kuna msiba wa muda wetu mwenzetu bana byera amefiwa na mama yake mmh nilipata taarifa hizi mapema kabisa asubuhi mmm eeh kwamba baba na mama yake byera.
Ametangulia mbele za haki na taarifa baadaye hivi mmm tutawapatia wadau wetu kwa sababu huyu ni mmoja kati ya wadau nafasi ya juu kabisa kwa sababu amekuwa balozi wetu kabisa kwa kitambo kirefu sana gera kwa hiyo tulikuwa tunatafuta mwendo mzuri kwa ajili ya kuweza kuzungumza naye atupe taarifa hizo na kama sisi marafiki kuweza kujumuika pamoja katika safari yake ya mwisho hiyo ya mama basi tuweze ku kufikia pale alipo na mwisho wa siku.
Tuweze kumtia tia joto hivyo eeh mfariji litawezakumfariji.br pole sana bwana nawadau wote ambao walikuwa wakimfahamu mama ndugu, jamaa na marafiki pamoja na majirani ambao walikuwa karibu na yeye ndio kwa hiyo pole sana katika hilo na sisi tunawapa pole kwa niaba ya drive mix na jembe fm kwa ujumla yes k bwana inawezekana hapo ulipo una unawaza ee bara baada ya sengo ku kutengeneza sauti hapa, anasema effect fulani hivi kweli kama unaiona chupa hiyo hapo wewe? Hapa.
Ee lakini sasa bora da non teddy neeru yaani hii sina hela hivyo eeh sina kitu h pesa zinatafutwa sasa bwana zinatafutwa matasi eeh ila bwana hiyo hiyo mia ambayo ina unayo afu unasema kwamba sina hela hiyo mia inaweza ikaleta maburungutu ya fedha kwako kwa kutoa tu bahati nasibu ya taifa ambayo tayari imekwisha kufika imagini shilingi mia tu inaweza ikakupa hadi shilingi 10,000,000 nukta tutambana namba lakini kama una shilingi 2000.
Basi unaweza ukacheza lotto ambayo inakupa nafasi 2 kila siku kuweza kushinda makadirio ya shilingi 45,000,000 na kuna shilingi 3,000,000 hakika ambayo inatoka kila siku yes lakini kama unatafuta ushindi wa papo kwa hapo unaweza ukatili toboa chapchap ambapo una zaidi ya shilingi bilioni 2 za zawadi za papo kwa hapo unakwangua unamtisha hapo unakwangua kuna mechisha alafu unashinda usisahau ile super coach ni gurudumu maalum kabisa la zawadi ambayo ina thamani ya shilingi bilioni 2 nukta 7 unazungushwa na mechisha alafu unashinda.
Kwa nini usubiri siku 1 kati unaweza kushinda hii leo wewe amini cheza na ushinde tangu miaka 18 na kuendelea basi cheza lakini cheza kistaarabu.
Kumbuka bado nasibu ya taifa anasimamiwa na bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania ambao.
Hivi sasa unaweza ukapitia bure kabisa na mazao ni 0800782233.
Zipo taarifa nyingi sana ambazo zitakazokwenda kukupa.