Blog.

RadioOne - 2025-12-18T03:00:00.610Z

RadioOne

--:--
--:--

Transcription

Na vile Afrika Mashariki sawa na 11:00 Afrika ya kati bila shaka hujambo msikilizaji leo Alhamisi 12/18 2025 karibu katika matangazo ya amka na bbc mimi ni david nkya katika amka na bbc asubuhi katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio guterres ametaka kupunguzwa kwa mvutano kati ya Marekani na Venezuela baada ya mazungumzo ya simu na rais Nicolas maduro.

Kundi la waasi lenye 23 limesema limeanza kujiondoa katika mji wa uvira mashariki mwa drc huku kukiwa na taarifa mbalimbali kwamba kundi hilo bado halijajibiwa alijiondoa.

Katika eneo hilo na katika gumzo tunaangazia hatua ya Marekani kuweka marufuku ya usafiri dhidi ya raia wa baadhi ya mataifa Tanzania ikiwemo katika vikwazo hivi vya hivi karibuni vya usafiri hii inaashiria nini haswa trump kuhusu nchi za Kiafrika sio kitu kipya kutokea awamu yake ya kwanza alionyesha wazi msimamo wake na pengine nchi zetu ziliandaa kwa hivyo kwa sababu yetu tunajua mahusiano yake yeye ni yale ambayo yanastahili yake.

I.

Naam hayo ni machache kati ya mengi tuliyokuandalia msikilizaji lakini kwanza ni mukhtasari wa habari za ulimwengu na msomaji ni sarafina robi akiwa Nairobi karibu sarafina.

Asante sana ya kiama hujambo msikilizaji tukianza 1 kwa 1 ni kuwa rais wa Venezuela Nicolas maduro ameishutumu Marekani kwa kujaribu kuigeuza nchi yake kuwa kama koloni yake na katika hotuba ya wazi amesema jaribio lolote la mabadiliko ya serikali yake litashindwa kauli yake inajiri siku 1 baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuzuia meli za mafuta zilizowekewa vikwazo akisema Venezuela sasa imezingirwa na vikosi vya jeshi la Marekani.

Umoja wa mataifa umezitaka pande zote 2 kupunguza mvutano.

Na rais wa Mexico, claudia chinbon ametaka kuwepo kwa mazungumzo ili kuzuia umwagaji umwagaji wa damu.

Wakati huo huo, baraza la wawakilishi la Marekani limepiga kura dhidi ya azimio ambalo ningemtaka rais trump kuomba idhini ya bunge la Congress kabla ya kuishambulia Venezuela.

Tuzo za oscar zitaonyeshwa mubashara kwenye youtube kuanzia mwaka 2029 baada ya kampuni ya teknolojia ya kushinda zabuni dhidi ya watangazaji wengine vya Academy of motion picture arts and Science imekuwa ikipeperusha sherehe hiyo kwenye idhaa ya Marekani ABC tangu miaka 1970 inachukuliwa kuwa siku usiku mkubwa zaidi katika filamu.

Tuzo hizo zitapatikana bila malipo kwa watumiaji bilioni 2 wa youtube kote ulimwenguni.

Watazamaji nchini Marekani watahitaji usajili.

Kwa youtube itv mpango huo utaendelea hadi mwaka 2033 na unajumuisha haki za utangazaji wa zulia jekundu, matukio yote na tamasha la the governors boland taarifa ilisema tuzo za oscar zitakuwa rahisi kufikia hadhira yake inayokuwa ya kimataifa kupitia vipengele vinavyojumuisha nyimbo za sauti nanukuu katika lugha nyingi.

Shirika la afya duniani yaani WHO limeanza kongamano la kimataifa la siku 3 kuhusu tiba asilia katika mji mkuu wa india, delhi zaidi na esther luambano mia ni kuwezesha mazoea ya uponyaji ya zamani kujumuishwa zaidi na mifumo ya kisasa ya utunzaji wa afya na kuwezesha uchunguzi wa kisayansi kupitia teknolojia mpya kama akili mnemba kupitia njia ya video iliyokuwa WHO tedros adhanom ghebreyesus amesema kuna ongezeko kubwa la mahitaji ya dawa za jadi katika nchi, jamii na tamaduni.

Wahifadhi wanaonya kwamba mahitaji ya baadhi ya bidhaa zinazotumiwa katika dawa za asili, huchochea usafirishaji wa wanyama pori walio hatarini kutoweka wakiwemo chui milia, faru na pangolini.

Naam sasa na baraza la kitengo cha juu la bunge la brazilian ni seneti limeidhinisha mswaada wa kufupisha kwa kiasi kikubwa kifungo cha miaka 27 jela lililotolewa na rais wa zamani jair bolsonaro.

Bolsonaro alipatikana na hatia ya kupanga mapinduzi baada ya kushindwa katika uchaguzi uliopita wa urais.

Mswada huo ambao unaweza kupunguza kifungo chake gerezani hadi zaidi ya miaka miwili ulipitishwa na baraza la mawaziri wiki iliyopita sasa mswada huo utawasilishwa kwa rais luiz inacio lula da silva ambaye anaweza kupiga kura ya turufu.

Lakini hatimaye unaweza kubatilishwa na Congress.

Hii ni bbc.

Na muhtasari wa habari za ulimwengu amesema kwako na hasara phila robby unasikiliza amka na bbc kutoka idhaa ya Kiswahili ya bbc ikikutangazia kwenye fm radio shirika la kwenye Intanet katika bbc swahilidot.com wakiwa Tanzania unatupata kupitia abood fm Kenya ni unatupata kupitia mwanetu fm Uganda ni voice of busoga na iwapo drc atajisikia kupitia redio Muungano abe aidha wanaweza kutufuatilia 1 kwa 1 kupitia kwa wetu wa Facebook wa bbc Swahili ukaweka maoni yako na tukipata nafasi tunayasoma.

1 kwa 1 asubuhi ya leo kuwa nami david nkya karibu karibia katibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Antonio guterres ametaka kupunguzwa kwa mvutano kati ya Marekani na Venezuela baada ya mazungumzo ya simu na rais Nicolas maduro amesisitiza umuhimu wa kujizuia na kulinda utulivu wa kikanda badala ya kuongeza shinikizo kwa maduro wakati Marekani ikitangaza kuzuia meli za mafuta za Venezuela na kupeleka wanajeshi wengi eneo la karibea zaidi la esther mbano, Marekani imetangaza kuweka mazingira dhidi ya meli za mafuta za Venezuela.

Huku ikiendelea kuimarisha yupo watu wa kijeshi katika eneo la kusini mwa Bahari ya carribean, Venezuela na sisitiza kuwa usafirishaji wa mafuta kwenda nje utaendelea kama kawaida.

Hali hii ya mvutano imewafanya viongozi wa kanda hiyo kuwa na wasiwasi ambapo rais wa Mexico claudia shein ban ametaka pande husika kukaa meza ya mazungumzo ili kuzuia umwagaji wa damu nchini Venezuela.

Haya yanajiri baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuzingira meli zote za mafuta zilizo chini ya vikwazo zinazoingia na kutoka nchini humo.

Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa.

Farhan haq ametoa kauli hii.

The vast US naval buildup in the Caribbean Sea, Mr Trump wrote on social.

Nguvu kubwa ya jeshi la majini la Marekani katika Bahari ya carribean, rais trump ameandika kwenye mitandao ya kijamii kwamba Venezuela imezungukwa kabisa na kwamba anaagiza kuielewa kabisa kwa meli zote za mafuta zilizowekewa vikwazo.

Hali hii ni ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa.

Hatua hii inalenga kuongeza shinikizo kwa rais wa Venezuela, Nicolas maduro ambaye rais trump anajaribu kuwasilisha hoja kuhusu kile alichosema ni mafuta ya Marekani yaliyoibwa.

Wizi uliofanyika miongo kadhaa.

Venezuela imesema balozi wake katika Umoja wa mataifa ataripoti hatua hiyo kama ukiukwaji wa sheria za kimataifa na kusisitiza kuwa wananchi wake pamoja na jeshi la polisi wako tayari kuilinda nchi yao.

Kwa upande wake Marekani imeishutumu serikali ya rais Nicolas maduro kwa kuyatumia mapato ya mafuta kujigharamia pamoja na kufadhili biashara ya dawa za kulevya na usafirishaji haramu wa binadamu.

Hata hivyo, Venezuela inadai Marekani inalenga kuiba utajiri wake wa mafuta mabano.

Kwingineko kundi la waasi la m 23 limesema limeanza kujiondoa katika mji wa uvira katika jimbo la kivu kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo.

Tangazo hilo limetolewa na viongozi wa m 23 sambamba na congo river Alliance kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Hatua hii inakuja huku kukiwa na taarifa kinzani kwamba kundi hilo bado halijaondoka katika eneo hilo la mashariki mwa drc zaidi na sarafina robi mwanzoni mwa wiki hii waasi wa m 23.

Wamesema wako tayari kujiondoa ili kusaidia juhudi za upatanishi zinazoongozwa na serikali ya rais wa Marekani Donald Trump kwa kushirikiana na qatar katika kutafuta amani kwenye vita vya muda mrefu kati ya waasi na majeshi ya serikali nchini drc mapema mwezi huu kundi la 23 lililotaka magombera jirani na mpaka wa Burundi chini ya wiki 1 baada ya marais wa drc na Rwanda kukutana na rais trump mjini Washington na kudhibitisha upya la dira yao ya kuheshimu mkataba wa amani wa Washington.

Serikali ya Marekani imekosoa vikali utekaji.

Uamuzi huo ikisema ni tishio kwa juhudi za upatanishi kwa nini sangara kiongozi wa Muungano unaojumuisha kundi la m 23 amesema siku ya Jumatatu kupitia ukurasa wa mtandao wa x kuwa hatua hiyo ya kujiondoa ni hatua ya upande 1 ya kujenga imani ili kuipa nafasi kubwa zaidi mchakato wa amani wa doha hakufanikiwa.

Hata hivyo, waziri wa mawasiliano wa congo pia msemaji wa serikali, Patrick muyaya ameipuuzia tangazo hilo la kujiondoa kwa waasi wa m 23 katika mji wa uvira.

Akielezea hatua hiyo kama mbinu ya upotoshaji akidai ni jaribio la kupunguza shinikizo dhidi ya Rwanda ambayo serikali ya kisha saa Umoja wa mataifa na mataifa ya magharibi yanaishutumu kwa kuunga mkono waasi Rwanda ilikanusha tuhuma hizo.

Msemaji wa jeshi la congo, sylvain ekelege amesema mapigano yanaendelea kila siku mashariki mwa nchi hio inayokumbwa na mzozo.

Hakuna siku inayopita bila mapigano katika eneo la kivu Kaskazini na kivu kusini.

Ekangi ameiambia reuters akirejelea majimbo ambako waasi wa m 23.

Wanafanya mashambulizi ya ghafla na kusonga mbele kwa kasi mwaka huu.

Kwa upande wake rwa.