CG FM Radio - 2025-12-17T11:00:00.472Z
CG FM Radio
Tabora
Transcription
Imetimia 08:00 kamili mchana na hii ni habari kwa ufupi.
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la moshi kavuna mkazi wa kijiji cha imalampaka wilaya ya kaliua mkoani Tabora amekufa kwa kupigwa na radi usiku wa kuamkia leo akiwa amelala nyumbani kwao.
Akizungumza na cgfm, mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha imalampaka wilayani kaliua, msonga aleni utohozi amesema marehemu alikuwa akitumia simu ya mkononi wakati radi ilipo.
Mpiga aha kijana huyo mghana apigwa radi alikuwa amelala na simu alikuwa na simu akawa nilikuwa kisiwani vikitolewa hadi sasa itaenda kumpiga ambapo hata mwili wake kisiwani uliungua juu ya maanake hivi ambazo ile simu na baadaye ilivyo katika soka mwenye simu ndio kamuunguza kisiwani sehemu kidogo.
Wadau wa sekta ya kilimo na ufugaji mkoani Tabora wametakiwa kutumia mbinu bora na shirikishi za kuhifadhi za uhifadhi wa rasilimali asilia ikiwemo misitu jamii ya miombo ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kudumisha uhifadhi na usimamizi shirikishi wa misitu nchini.
Akizungumza katika mafunzo maalum yaliyowakutanisha wadau wa kilimo, ufugaji na mazingira, kamishna msaidizi mwandamizi wa uhifadhi Hussein msuya amesema azma ya mpango huo ni wa kuwajengea uwezo wa kutumia mbinu bora na shirikishi za uhifadhi uzito ili kuchochea utunzaji wa mazingira.
Na katika habari za kimataifa, serikali ya jimbo la Nairobi nchini Kenya imeidhinisha rasmi utaratibu wa kutoa siku 2 kila mwezi za kupumzika kwa sababu ya hedhi kwa wanawake wafanyakazi kama sehemu ya mfumo wa rasilimali watu kwa kaunti hiyo.
Uamuzi huo umefikiwa baada ya kikao cha baraza la mawaziri kilichoongozwa na gavana wa jimbo hilo, Johnson sakaja kilichopendekezwa za kuingia kinachopendekeza kuingiza usaidizi kwa afya ya hedhi katika sera za rasilimali watu.
Lengo la kuboresha ustawi wa wafanyakazi na kuongeza utendaji kazi kwa wanawake kazini.
Mwisho wa habari kwa ufupi kutoka hapa si gsm radio.
Kwa taarifa kamili ya habari.
Wasikilize ifikapo 10:00 kamili jioni ya 02:30 usiku.
Welcome to the Magic.
Furahi kila siku.
New search beacons nobody.
Tomorrow.
Kukuletea stori kwenye one treni ya solar 100 nyumbani lakini kwa nini nisha moto haraka wewe nawe kwani hujui kwamba bifu nyingi feki sokoni zimeandikwa elimu 10th 260 usiamini unatakiwa nje ya betri wala matapeli yako wengi sana sokoni sasa tunafanyaje tafuta bedford sunda funda ni betty regional aina moto bunge sana na inadumu kwa muda mrefu zaidi unafahamu simba swala panel sasa ngoja nikwambie swala panel ina nguvu kubwa sana lakini pia swala pande hiyo inaitwa mwingi sana na inajaza betri.
Kwa haraka zaidi kwa sababu kuna mawili lakini pia itapata sunda flat v sunderland tv ni tv bora ina cheo kikubwa kama imeandikwa nchi 19 sisi chuo chake kweli ni nchi 19 soma zote tv zinaweza kutumia sura na umeme pia na inatumia moto kidogo sana lakini pia sule imekuletea sugar sabufa sura sabufa, zina mdundo na sauti kubwa ni Original na imara sana.
Sura sabufa inatumia swala na umeme pia sunda swala panels sunda swala la betri sunda fulani tv na sunda sabufa.
Zinapatikana kwenye maduka yote ya sola Tabora mjini.
Gini Gangini.
Gini Gangini.
Bunge mjini kahama mjini na Shinyanga mjini tafuta bidhaa za sunda zenye ubora wa kuaminika.
Mwanangu kipenzi changu na alipozaliwa niliahidi kufanya chochote niwezacho kuhakikisha na mbeya na kumkuza awe na afya ndio maana na hakikisha mwanangu anapata chanjo zake zote ili kumkinga dhidi ya magonjwa yanayozuilika kama pepopunda surua kifua kikuu na mengine mengi kabla ya mwanangu ni muhimu sana na huwa na hifadhi sehemu salama na rahisi kukumbuka tarehe za chanjo zinapofika.
Naitupa kadi na kwenda nayo kliniki huko kiliniki mtoa huduma anaandika tarehe ya chanjo ifuatayo ili kile inapopita najiandaa mapema ili mwanangu akapate chanjo nafanya yote haya ili kuhakikisha naapa mwanangu mwanzo mwema kwani mtoto aliye kukamilisha ratiba ya chanjo ni faida kwa afya yake na jamii inayomzunguka ewe mama hakikisho la baba kadi ya chanjo pale unapompeleka mwanao katika kituo cha kutolea huduma za afya ili apate chanjo.
Kwa kufanya hivi utakuwa umempatia mwanawe mwanzo mwema ujumbe huu unaletwa kwako na wizara ya afya idara ya kinga sehemu ya elimu ya afya kwa umma kwa kushirikiana na mpango wa taifa wa chanjo na shirika la girl effect.
Wakati yangu hivi nini kinachoendelea maana naona vijana wengi sana waandishi viza kiwe kaka inaonekana.
Kwa hiyo hujui hiyo fani kubwa kuliko kiwe wametupa zawadi ya mwisho wa mwaka ambayo hakuna mtu anatakiwa kuikosa unaponunua pikipiki akiwa jk nia na 50 kwa kesi 2,000,000 na laki 7 au kwa mkopo wakianzia cha shilingi laki 3 na 50 unapata nafasi ya kucheza droo ambapo mteja utapata nafasi ya kushinda zawadi.
Unaotarajiwa kianzio chako cha shilingi laki 3 na 50 asubuhi kidogo kuna maisha ya mtu analipa kianzio halafu anarudishiwa hivi iko siwezi kweli ndio na bado haijaisha unapata pia nafasi ya kushinda pesa taslimu na kubwa zaidi kiwe wanakupa ofa ya matengenezo bure kwa miaka mitatu mfululizo na wananchi ya nchi kwa mwaka mmoja na nikupe siri gani pikipiki akiwe inatumia mafuta kidogo sana na imara kwenye kazi na safari za kila siku.
Ofisini hii sasa ni ofa ya kweli unapata ya benki mpya kianzio kinarudi na ushindi wa pesa juu na ndio maana nakuambia wewe tembelea duka lolote la kiwe tufunge mwaka kwa pamoja kwa taarifa zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0, 7, 4 6, 888, 805 au 06960908 22 au tembelea katika mitandao yetu ya kijamii Instagram tip top kwa sababu Channel Facebook.
Kwa jina la kiwe Tanzania kiwe lets right.
Mimi naona wanajenga majumba ya maana tunasomesha watoto shule za amana na mke wako kumfungulia biashara nzuri la kila mwaka unavuna mavuno mengi kwenye shamba lako ningetaka nani siri ya mafanikio yetu kama unavyofikiria mimi mwenzangu natumia mbegu bora chama wakala wa mbegu za kilimo asa chanzo bora kabisa cha serikali napanda mpigo ya mpunga salum five 306 na hakuna mahela mengi inapanda mbegu bora za mahindi yazitupa m one kwa nini nilipe mimi.
Alafu mama juu hasa wana kila aina ya mbegu iwe alizeti choroko mtu.
Mimi nataka nitumie hizo mbegu usisumbuke wala usiteseke mbegu hizi zinapatikana katika vituo vya tfc nchi nzima na kwa mkoa wa Tabora.
Duka la wakala wa mbegu za kilimo asa lilipo jengo la Community center nzega mjini pia zipo mbegu za mahindi aina ya timu ya 1 na 5 inayohimili ukame na magonjwa na ina mavuno mengi.
Mawakala wetu ni pa chama agrovet Mwanza, songo agrovet, nzega mjini buchosa, agrovet, nzega mjini hindi, agrovet igunga na.
Nikiwa agrovet nzega mjini mbegu zote hizi unaweza kupata kwa bei ya jumla na rejareja kwa mawasiliano piga simu namba 0785896626 nyote mnakaribishwa katika duka letu la wakala wa mbegu za kilimo hasa mkoa wa Tabora.
Je upo tayari kutimiza ndoto zako dakika mamilioni ya miji jackpot kutoka sportpesa mashiri mechi 13 yes mechi 13 kwa buku tu hupati nafasi ya kuwa mshindi mkeka ukianika hatukuachi hivi hivi wewe tunakopa bona za kutosha piga nyota 1 5 0 nyota na ni 7 alama ya lengo au tembelea sport pesa tax of the hairuhusiwi kucheza kwa wenye umri.
Timu ya miaka 18 vigezo na masharti kuzingatiwa.
Welcome to the Magic.
Fursa hii kila siku enjoy good news begles nobody moro.
To the first weekly on 20 DJ play Monday to Thursday.
You ready?