Blog.

Magic FM Tanzania - 2025-10-16T13:00:00.458Z

Magic FM Tanzania

--:--
--:--

Transcription

Hivi sasa ni 10:00 kamili jioni habari kwa ufupi.

Habari kwa ufupi kutoka Machi kifedha msomaji wako ni mimi hapa serengo.

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa daktari philip mpango amesema swala la utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi linapaswa kupewa kipaumbele katika uendelezaji na ukuzaji utalii ili kuepukana na kuvurugika kwa ekolojia na hatari dhidi ya ustawi wa shughuli za utalii.

Makamu wa rais amesema hayo wakati akizindua jengo la makumbusho ya eneo la hifadhi ya urithi wa ekolojia la Ngorongoro lengai lililopo karatu mkoani Arusha.

Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 5 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi 58 katika eneo la kamunyonge bondeni ili kupisha upanuzi wa ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa musoma mkoani mara.

Ulipaji wa fedha hizi ni awamu tofauti ambapo serikali awamu ya kwanza yalikuwa bilioni 4 nukta 1.

Awamu ya pili bilioni 3 nukta 9 na sasa serikali imeanza kulipa fedha bilioni 5 nukta 2 kwa ajili ya wananchi takriban 58 kupisha ujenzi na upanuzi wa uwanja wa ndege wa musoma hususan katika ujenzi wa jengo la abiria.

Watanzania wamehimizwa kuendelea kudumisha amani katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 10/29 mwaka huu kama sehemu ya kumuenzi baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na rais wa kwanza wa Tanzania.

Mwito huo umetolewa na mkuu wa kitengo cha taaluma za weledi na elimu endelezi chuo kikuu huria cha Tanzania, daktari Mohamed maguo wakati akizungumza katika kipindi cha twende pamoja kuhusu kumbukumbu ya miaka 26 ya kifo cha baba wa taifa kinachorushwa na kituo hiki kila siku ya Jumanne.

Na mamia ya Wakenya Alhamisi wamemiminika katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi kuupokea mwili wa aliyekuwa waziri mkuu nchini humo, Raila Odinga kutoka india alikofia.

Kwa mujibu wa familia yake, raila aliacha wosia akisema kuwa azikwe ndani ya kipindi cha siku 3.

Mwisho wa habari kwa ufupi kutoka maji km kwa habari nyingine, kwa ufupi ungana nasi 12:00 kamili jioni mimi ni hapa siringo.

Ulikuwa unasikiliza habari kwa ufurahi alikuwa mfupi.

The.

Magic.

M 2025 shaba yenye faida na vale inafaa hivi ndo inafaa kuwa.

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania tc RA inaendelea na kampeni ya futa delete kabisa na hivyo inakukumbusha ewe Mtanzania kuwa ukipokea ujumbe wenye chuki, matusi usisambaze futa delete kabisa tc RA inasisitiza jamii kuepuka kushiriki kutoa maoni kwenye mijadala inayochochea upotoshaji uzushi au uvunjifu wa amani.

Ujumbe huu umeletwa kwenu na mamlaka ya mawasiliano Tanzania ttcl RA.

Whereini what went to marrying? Wewe namba yako nakazi wenyewe bahari ile wenyewe akaunti yangu.

Saa hizi kuna wizi sana mtandaoni jifunze kulinda taarifa zako acha kubonyeza bonyeza Malindi hayo ambayo hayajui pia badilisha paswedi zako mara kwa mara na usitumie paswedi ambazo mtu anaweza akabuni akaingia kwenye akaunti yako sasa ulete unayajua haya bwana ulikuwa uliambie ndio nimekwambia sasa unaniambia katika tunachukua sasa utajirekebisha wakati mwingine ni mniache.

Ujumbe huo umeletwa kwenu na mamlaka ya mawasiliano Tanzania ttcl r.

How do you? Katika safari ya Tanzania mpya yenye ustawi kwa wote inayozingatia na kuheshimu utu haki na usawa.

Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi, doctor samia suluhu hassan katika siku 100 za kwanza za serikali yake.

Tutaanzisha programu maalum ya ujenzi wa mitaa ya viwanda kwa kila wilaya yenye kulenga kuzalisha ajira kwa Watanzania kupitia kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, mifugo, uvuvi, madini na misitu pamoja na vifaa vya ujenzi.

Hii ndiyo ahadi ya samia.

Vingi vimezungumzwa je Oktoba kwa kifupi kuna nini? Kupepesa macho jijini 3 mzee mbona inajulikana hiki ni 3 hili si swali tikiti 3 3.

Kwa rais wabunge na madiwani wa chama cha mapinduzi.

Sera mbugi tuna.

Kwa kina haaland salah.

EPL imezingatiwa endelea.

Msimu mpya wa soka la kibabe tunatamba nao lipia au jiunge na dstv uweze kuburudika na ligi bora duniani.

Mechi zote zikiwa mubashara kulipia piga nyota 1 5 0 nyota 5, 3 reli au 0659070707 dstv is one kila ligi kila shabiki 50 mia 200 300 400 500 oya unahesabu nini mwanangu vuna pointi.

7 kuna pointi ndio kuvuna pointi ndio mchango mpya toka halotel aacha waya kila unapofanya mara kutumia halo pesa au kuweka vocha kwa ngua yaani scott card unapata zina pointi ambazo zinakuwezesha kufanya mambo kibao.

Mtu wangu ndio sasa ukiona laini ya halotel unaweza kujipatia punde points kwa kufanya muamala wote kwa halo pesa iwe kutuma pesa au kulipa pia na mengine kibao au kuweka vocha kwenye laini yako kwa kutumia smartcard unaweza kutumia pointi zako kununua muda wa maongezi.

Au huyu wa namba ya bahati itakayo kuwezesha kuingia kwenye laki droo na ujishindie zawadi kibao kama vile tv fridge na washing machine.

Piga nyota 1 4 8 nyota 6 6 alama ya reli kisha namba 9 au pakua natumia mahalo app kuvuna pointi zako leo vigezo na masharti kuzingatiwa halotel pamoja kwa ubora.

Barazani.

None.

Utasimuliwa.

Kuanzia Jumatatu hadi ijumaa 10:00 kamili jioni hadi 01:00 usiku hapa hapa maji km barazani kubwa na.