RadioOne - 2025-10-15T06:00:00.518Z
RadioOne
Dar es Salaam
Transcription
Kesho gato unamkuta studio anatangaza kuwa bodi inashughulika na mtangazaji 1 kwa 1 ama inashughulika na chombo cha habari kama mtangazaji huyo atakuwa hakukidhi vigezo.
Asante kutokea tanga 03:00 kamili msikilizaji ni habari za saa.
Mimi ni abdul shakur.
Imetimia 03:00 kamili.
How bad is the sound? Na kutoka radio one mimi ni bahati alex.
Serikali kupitia wizara ya nishati inaendelea na utekelezaji wa mradi mkubwa wa kitaifa wa umeme jua ambao unajengwa katika kijiji cha ngunga wilayani kishapu mkoani Shinyanga kwa gharama ya shilingi bilioni 325 mradi ambao umefikia 78/100 nukta 5 huku katibu mkuu wa wizara ya nishati, mhandisi felichesmi mramba akieleza kuridhika na maendeleo.
Ujenzi wa mradi huo, katibu mkuu wa wizara ya nishati, mhandisi felichesmi mramba akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo amesema kukamilika mradi huo itasaidia kufikia malengo ya agenda ya kimataifa.
Ya nishati endelevu kwa wote ifikapo mwaka 2025 2030.
Polisi mkoani Mwanza imewakamata watuhumiwa 76 kwa makosa mbalimbali ya jinai wakiwemo watu 20 na watano waliokamatwa na kupatikana wakiwa na dawa za kulevya.
Akitoa taarifa ya kukamatwa kwa watuhumiwa hao, kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, naibu kamishna wa polisi bwana wilbroad mutafungwa pamoja na mambo mengine amesema wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa hao ni kufuatia doria na msako mkali uliofanywa na askari wake katika mkoa wa Mwanza.
Katika upande wa kimataifa Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo, drc na waasi wa m 23 wanaoungwa mkono na Rwanda wametia saini makubaliano ya kuanzisha mpango wa kufuatilia usitishaji wa mapigano.
Huko doha hayo yamesemwa katika taarifa na wizara ya mambo ya kigeni ya mpatanishi wa pande hizo 2 qatar.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa qatar, Marekani na Umoja wa Afrika watashiriki katika mpango huo kama waangalizi tu.
Umoja wa mataifa na shirika la Msalaba Mwekundu wametoa wito wa kufunguliwa njia zote za kuingia gaza kutoa nafasi ya misaada kuingia katika eneo hilo.
Msemaji wa shirika la Msalaba Mwekundu, Christian cardon amefafanua dhamira mashirika hayo ya kutaka kuingiza misaada kwa wingi katika ukanda huo wa gaza kulingana na Christian amesema anavyojua si njia zote ziko wazi kwa ajili ya misaada ya kuingia gaza na hilo ndilo tatizo kuu kwa sasa na mashirika ya misaada yamekuwa yakitaka lifanyike njia zote zifunguliwe.
Kwa sababu ya mahitaji makubwa yaliyopo.
Na katika michezo timu ya soka ya Manchester United na crystal palace inamfuatilia kiungo wa kati wa Borussia Dortmund, Mwingereza job bellingham.
Arsenal, Manchester City na Real Madrid pia ni miongoni mwa vilabu vinavyotaka kumsajili beki wa Ujerumani nataniel brown mwenye umri wa miaka 20 na miwili kutoka Frankfurt, lakini klabu hiyo ya Bundesliga haitasikiliza ofa hadi msimu ujao wa joto.
Na msako wa Chelsea kumnasa adam watu ni Wakristo palace umeongezeka lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa Manchester United kumnunua kiungo huyo wa kati wa England mwenye umri wa miaka 21.
Mwisho wa habari za saa kutoka radio one une nasi tena 04:00 kwa habari nyingine, za saa mimi ni bahati alex.
Tanzania's favourite radio station.
Mama nipo njiani naja tuli kuunganisha na uwapendao katika nyakati zote muhimu.
Mosi zaidi zote ilituma kwa wenyewe hadi kazidi tuli kuunganisha na dunia mjukuu wangu asante nimepokea muamala kupitia uzinduzi wa m pesa uliweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi ulipokuwa na mradi wa kujiendeleza songesha ilikuwa suluhu yako.
Leo Tanzania inapaa kwenye teknolojia, biashara, vipaji na kelele za uwanjani vodacom miaka 25 ya kuwaunganisha Watanzania tupo nawe tena na tena.
Vodacom pamoja tunaweza.
Unajua nyoni ni kazi ya winga ndio nipo mwishoni mwishoni katika nishati Oktoba asifanye tena maanake mama samia yameahidi ndani ya siku mia za kwanza natoa bilioni 200 kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo na mimi nina bonge 1 aliahidi yaani tuwapo nimetoboa ndugu yangu kazi na utu tunasonga mbele chagua samia chagua ccm 10/29.
A.
Kwa habari za uhakika zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na waandishi wetu kutoka kila pembe ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania usikose kusikiliza kipindi cha nipashe kutoka hapa redio one kila siku 12:30 asubuhi nikiripoti kutoka jijini Nairobi jina langu ni duncan maiti kwa radio one nikiripoti ni pasi ya radio one kutoka kahama mkoani Shinyanga.
Mimi ni frank mshana kutoka mkoani Songwe mimi ni diu.
Kim mwasu mwiko wa redio wa nikiripotia nipashe kutoka mkoani lindi, fatuma maumba wa redio wa ripoti kwa nipashe kutoka jijini mbeya.
Mimi ni Emmanuel lengwa wa radio waani ripoti kwani posho kutoka mkoani Kagera naitwa audax mtu gani? Nipashe sikiliza tukupashe tenzi news, flava radio station.
Radio One, Radio 1.
Breaking news taarifa na ripoti mbalimbali na tunavuma katika anga la kimichezo na burudani ubora na usikivu wetu angali hatuna upinzani sisi ni namba one.
Kani ya 6 amani mara baada ya kutumia 03:00 kamili kwa saa za Afrika Mashariki na inaelekea dakika ya 7 kama ndio kwanza unajiunga nasi msikilizaji karibu sana.
Hii ni kumepambazuka ya radio one mimi ni othman Suleiman, niko hapa na amani hilo pamoja na Abdallah kura tunayo wakili Patrick kipangula ambaye ni kaimu mkurugenzi wa bodi ya ithibati kwa waandishi wa habari Tanzania mengi tumejadili ni mchango wa wanahabari katika kufanikisha zoezi ambalo liko mbele yetu la kitaifa kwa maana zoezi la uchaguzi video kumtumia yaona kwenye mjadala wetu.
Muhimu ni mkubwa kweli kweli na ni mchango mkubwa sana.
Maoni umeuliza umeyatoa maswali pia umeuliza nadhani tumpe fursa wakili Patrick hapa waweze kuyatolea ufafanuzi nayo maswali na maoni ambayo umeyauliza lakini kama muda utaturuhusu tutapokea maoni ya ziada karibu sana bwana Patrick paula nashukuru sana ndugu mtangazaji kwa kunipa nafasi ya wakuu kujibu baadhi ya maswali ambayo wadau mbalimbali wameuliza ndio yeah kuna ndugu yangu mmoja aliuliza kwamba sheria ni ya mwaka jana labda ni.
Maisha tu kwamba sheria hiyo ya mwaka jana sheria ya mwaka 2016 ndio sheria ina miaka mingi tu karibu 9 hivi ya ya tangu ime tangu ime imetungwa ila nilichosema mwaka jana ni bodi ndiyo imeteuliwa m mwaka jana ili kuanza kazi hii sasa ya kufanya kazi za bodi ambazo zimeainishwa kwenye kwenye kwenye sheria ya hiyo sheria ni ya ina miaka mingi sio sio sio ya mwaka jana ya na kitu kingine.
Aliuliza akasema kwamba kuna watu wana vyeo vya juu.
Wanawalazimisha waandishi wa habari kutangaza au kufanya vitu ambavyo pengine sio sahihi.
Labda niseme tu kwamba kama nilivyosema pale awali kwamba mwandishi wa habari yoyote ana haki zile ambazo zipo kwenye sheria nje ambazo zile haki inatakiwa sasa kila mtu anatakiwa kuziheshimu kwa sababu zipo kwenye sheria.
Kwa hiyo hata viongozi wanatakiwa kuziheshimu haki ambazo zipo kwa mujibu wa mujibu wa sheria.
Waandishi wa habari yoyote akipata changamoto yoyote akiwa kazini akiwa anafanya kazi za kihabari basi kama nilivyosema anaweza akatoa taarifa kwetu.