Blog.

RadioOne - 2025-10-15T02:00:00.556Z

RadioOne

--:--
--:--

Transcription

The.

The.

Imetimia 11:00 kamili, tanzania's favorit radio station.

Ni miaka 26 sasa Watanzania bado tunamkumbuka na kumuenzi hayati baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye anakuwa na uamuzi wa jane danda m.

Nchi haiongozwi kwa ujanja hata klopp nchi inaongozwa kwa msimamo na msimamo, lakini pamoja na ngozi kwa janga hili na uongozi kwa taratibu zinazojulikana kabisa kabisa watu wanakutana katika sekta ya kupitiwa na elewana wana wanatenda jambo.

Kwa habari za uhakika zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na waandishi wetu kutoka kila pembe ya Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania usikose kusikiliza kipindi cha nipashe kutoka hapa redio one kila siku 12:30 asubuhi nikiripoti kwa nipashe kutoka hapa jijini Dodoma.

Mimi ni agnes nyamaruru wa redio wanne kutoka hapa kisiwani Zanzibar.

Mimi ni farouk karim kwa redio one kutoka hapa katika jiji hili la tanga ni William ngazija.

Redio wa kutoka Bariadi mkoani Simiyu, teddy kilanga nipashe wa radio one kutoka Arusha, mimi ni asraji mvungi wa redio one nikiripoti nipashe kutoka Mwanza.

Naamini wa liitwalo masele wa redio one nikiripoti kutoka mkoani mbeya, rebecca kinyunyu redio one nikiripoti kwani pasi kutoka hapa mkoani Tabora apollo Benjamin redio one kutoka wilayani Handeni mkoani tanga.

Mimi ni kassim sonyo wa nipashe ya redio one nikiripotia nipashe kutoka ule ni hai mkoani Kilimanjaro, mimi naitwa Lawrence lita keli.

Kwa radio one nikiripoti kwa nipashe kutoka Bujumbura, mimi bali ni vyemana wa redio one.

Nipashe sikiliza tukupashe Tanzania radio station.

Burudani ndani ya kiwanja chenye hadhi ya kipekee dar es Salaam.

25.

Ni Jumamosi hii na kila Jumamosi ni timu ya kuenjoy ni timu ya kujirusha ndani ya kijiji cha burudani.

EB twenty five wasinunue wana waa.

25.

Zote kali za kisasa chini ya wakali wa hizi kazi dj nicotrack dj.

Na kwenye mcc ni haipa mkali tuwalipie na nikupe mchonyo tu burudani hii itakuwa mubashara kupitia kipindi cha wiki shoo ya redio one kila Jumamosi kuanzia 03:00 kamili usiku tukutane club ndani ya e twenty five mbezi beach makonde na kubwa kuliko hakuna kiingie.

Zimebaki siku 14 kuelekea uchaguzi mkuu wa urais, wabunge na madiwani tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 kura yako haki yako jitokeze kupiga kura.

Nipashe pata nakala yako ya gazeti la nipashe sasa upate habari za kitaifa kimataifa, burudani na michezo katikati ya gazeti la nipashe utapata jarida lenye uchambuzi wa kina wa michezo, teknolojia, siasa, afya, mazingira, biashara, uchumi, fedha, maisha na burudani.

Nipashe ni gazeti la kila siku linalopatikana nchi nzima kwa wauzaji wote wa magazeti, pia unaweza kusoma nipashe mtandaoni kwa kutembelea tovuti yetu ya ipepa.

Dot ipmediadot.com 1 wowote.

Mahali popote nipashe ni mwanga wa jamii.

1.

Radio One.

Radio One.

Ni miaka 26 sasa Watanzania bado tunamkumbuka na kumuenzi hayati baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye anakuwa na uamuzi wa jane ndanda.

Nchi haiongozwi nchi inaongozwa kwa msimamo na msimamo lakini pale picha ya uongozi kwa janga hili na uongozi wa taratibu zinazojulikana kabisa kabisa watu wanakutana katika seti ya kupitiwa na elewana wana wanatenda jambo.

Radio one tupo vizuri kwenye kukupasha habari breaking news taarifa na ripoti mbalimbali na tunavuma katika anga la kimichezo na burudani, ubora na usikivu wetu angali hatuna upinzani sisi ni namba one radio.

I.

Mzuka ya radio one kituo bora cha matangazo nchini Tanzania uko wapi msikilizaji mimi niko hapa mikocheni jijini dar es Salaam huku wapi tena pamoja kabisa katika sehemu hii ya kwanza ikiwa pambazuka radio naitwa Abdallah kurwa iliambia uko wapi? Pia niambie unaitwa nani ili tuwe pamoja kabisa katika sehemu hii ya kwanza kwa pambazuka radio one kituo bora cha matangazo nchini Tanzania au tunapigia simu hapa ili kuwasiliana na kinachotuunganisha ni nambari zetu za simu za 0677030030.

Marin, 0 6 7 7.

To.

Na 2 29? 11.

Yeah.

Napiga simu tunakwenda pamoja kabisa vizuri hapa katika sehemu hii ya kwanza kuna pambazuka radio one mpaka pale ambapo tunahitimisha ndani ya kumepambazuka ya radio one katika siku nzuri kabisa leo leo ni Jumatano Jumatano tarehe 15 mwezi.