East Africa Radio - 2025-10-17T13:00:00.591Z
East Africa Radio
Dar es Salaam
Significant Highlights
1 HighlightThese are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.
Transcription
Au atakuwepo klabu vevo na of course flaviana ile simulizi yake wage inatakiwa big boss officer leo utaitazama kupitia tinga nambari 1 kwa vijana kipande cha kwanza kuta akitazama leo kupitia tv yako waambie washiriki kwamba jisogeze hapo lakini pia atakuwa na mdogo sajenti leo litapigwa live pale kwa sababu wasingeli pia mnapenda singeli basi sajenti tuko naye akiwasha kama kuna lolote ungependa kusema.
Toyota mimi nimetokea wikendi kwa timu zote ni Tanzania kati ya nani na nani wote wanaocheza azam wanashinda mmhsingida.dk sana draw yanga anakufa 1 bila anakuja kurudia huko maskani simba anashinda home day kwa wazazi wanasema familia eeh.
Oya mimi washikaji zangu chama kubwa la planet bongo nawaacha hivyo washikaji zangu uendelee kuingia mashabiki sana kwa professional khader alikuwepo wiki hii lakini pia paris master dj sama tz wikendi hizi wikendi kudadadeki hoya injoy wikendi yako burudika jilinde mshikaji wangu.
Asante sana.
Tatizo kubwa letu ni mtazamo mind set kutoka kule anatembea kwa miguu niko paki n nimechoka mabingwa wa info yupo na wewe saa zote.
The.
The.
Tatizo kubwa letu ni mtazamo mind set kutoka kule anatembea kwa miguu niko paki n nimechoka mabingwa wa info yupo na wewe saa zote naomba amemalizia kwa mtaalamu.
Je hii ni changamoto ya afya ya akili? Mheshimiwa mwenyekiti wetu akachukua ushuru.
Kaka mimi kumshuhudia sio mimi.
Basi ninavyojua mimi ndugu mwandishi hii hapa tena.
Instagram Facebook na youtube wakati wowote ina muda wowote popote ulipo jinsi unavyokuja unavyopotea ndivyo jinsi tutakavyo kupokea.
Radio together tunawakilisha.
Katika boda kuiunganisha miji mikuu ya Tanzania, Kenya na Uganda na kwa pamoja tumeichagua africa radio kutuleta pamoja.
Nigetha tunawakilisha.
Hata kama unayo ya zamani fuko kwenye ndinga mpya tu draw.
Show.
Au yesss hawana ikiwa ni ijumaa namna hiyo ikiwa ni siku nyingine tumekutana wanandinga hapa ikiwa ni tarehe 17 Oktoba ni matumaini yangu kwamba uko vizuri na ukiendelea kutegea East Africa radio bwana 8, 8 nukta 1 kutoka dar es Salaam, lakini pia naamini katika mikoa mingine bado unatupata vizuri kabisa Morogoro.
Hapo watu wangu wa nguvu sana 103 nukta 1 na jua mkoa vizuri sana jionee iko poa sana watu wangu wa Singida.
Pia kule 101 nukta 4 najua mko vizuri sana watu wangu wa mbeya huo ni rafiki 100,000 nukta 1 najua mko vizuri sana pale Dodoma 9 9 nukta 6 lakini pia kutoka pale Kampala 9 9 nukta 0 Mtwara pia 9 8 nukta 6 tanga ndugu zetu pale ilikuwa vizuri sana naye bwana 97 nukta 7 lakini pia watu wangu wa nguvu kutoka musoma.
9 6 nukta 8 Nairobi najua wanapatikana katika 9 4 nukta 7 poleni na msiba wa kitaifa ambao mnao na viongozi mbalimbali akiwemo rais wa Kenya Mheshimiwa William Ruto hatujakuwa kumsikia kwenye cyber pale aliipata ku kuimba wimbo na waombolezaji ambao walikuwa wamekusanyika uwanjani lakini pia viongozi kutoka nyumbani Tanzania.
Makamu wa rais Mheshimiwa isdori mpango.
Ameshiriki pia kuaga mwili wa wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga, lakini pia rais mstaafu wa awamu ya 4 Mheshimiwa jakaya mrisho Kikwete.
Na viongozi wengineo kwa hiyo Wakenya tumeungana nao majirani zetu ndugu zetu wa Afrika Mashariki.
Watu wanataniana lakini pia kwenye matatizo basi tunaungana pamoja lakini pia watu wangu kutoka Arusha kuwa tuko pamoja 9 3 nukta 7 anajua vizuri zaidi moshi 93 nukta 5 Mwanza 92 nukta 1 Iringa 9 90 nukta 9 Tabora pia 90 nukta 5 wakati bukoba mia 90 nukta 1 na dar es Salaam ni 8 8 nukta 1 karibu sana kwenye ndinga tunakwenda mpaka inapotimia.
Ni muda wa kujidai ule ule wa 01:00 ndio kuwa tamati wakati unarudi nyumbani inawezekana wikendi yako sheria za hivi sasa.
10 sindio mapema sana inawezekana sasa hivi wanapanga mipango bwana wapi tunakutana naye alikuwa rais sana Jumatatu mpaka ijumaa bwana yeye si ndio lakini taratibu na itafuta dereva kama vipya hawakupeleka halafu ile ya kurudisha salama zaidi ya.
Maana kuna mengi ambayo ninayo lakini yale machache tu ambayo tutakuwa na kudokeza Tanzania kufunga kambi za wakimbizi eeh na kurudi kwa waburundi.
Napata kumsikia mkoa wa mkoa wa Kigoma Mheshimiwa sirro akizungumza na wakimbizi ili kambi ya nduta nyarugusu ni kambi maarufu sana ya nyarugusu sidhani kama hilo jina ni geni sana katika masikio yako sasa kufunga za kambi na warudi majumbani nyumbani ni nyumbani.
Sisi ndio mkata akose mtumwa yeye ya tuliwapokea wakati pia kwa hifadhi kwenye machafuko sasa mambo wameshakaa sawa.
Basi kurudi nyumbani na kuwaza pia kujenga taifa la kwao pia sindio ya kuwa atapata kumsikia mkuu wa mkoa wa Kigoma akizungumzia kuhusiana na kufungwa kwa kambi hizo, ndoto ya nyarugusu lakini pia.
Kuna taarifa yalitembea sana kuhusiana na miili ya watu wanne ambayo ilitupwa kando ya barabara ya kibaa ee ile mapinga kule na wametambulika sasa.
Unaogopesha kidogo na haya tutasikia mengi sana lakini pia kampeni za uchaguzi zikiendelea nikisema zinaendelea.
Umetafsiri yake ni kwamba viongozi mbalimbali wanapita kwenye maeneo yote kwenye majimbo yetu kwenye mikoa yetu kuweza kunadi sera na tuweze kuwachagua kwa miaka mitano ambayo itakuwa eeh sisi kutupwa tumewapa ridhaa hiyo sio sasa usiache kwenda kupiga kura ikifika 10/29 najua ushasikia sana sera kila mgombea akipita anapaswa udiwani na ubunge namna hiyo k.
Lakini pia tutapata pia kumsikia kwenye semina pale rais mstaafu wa Kenya.
Aki akisema kwa nini Raila Odinga eeh Mheshimiwa Kenyatta alikuwa anaitwa baba ilikuwa nini jina lakini pia utamsikia mjane.
Akizungum.
Kuanzia hayati mumewe alikuwa ni mtu.