RadioOne - 2025-10-14T19:00:00.534Z
RadioOne
Dar es Salaam
Transcription
Radio 11.
Ikikutangazia kutoka jijini dar es Salaam hii ni redio one kaa tayari kusikiliza taarifa ya habari ya kutwa nzima ya leo.
Imetimia 04:00 kamili.
Radio one inakuletea taarifa ya habari ya kutwa nzima hii leo msomaji ni adam Mohamed kwanza ni muhtasari wake.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa daktari philip mpango amesema ni vyema kila mwananchi hasa viongozi kufuata mfano mzuri wa baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa mwaminifu kwa taifa lake la Tanzania na kulitakia mema kila wakati.
Shirika la fedha la kimataifa limemwagiza sifa kedekede rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dokta samia suluhu hassan kwa kusimamia vyema sera za uchumi na fedha za nchi yake.
Wapiganaji wa kundi la allied Democratic forces adf wanaohusishwa na dola ya Kiislamu wameua takriban watu 19 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo.
Drc wakichoma, nyumba na maduka na mamia ya wakaazi wakihama makazi katika eneo la lubero.
Watu 14 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi eneo la el cerao nchini Venezuela baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo la kusini mashariki mwa taifa hilo.
Tunaanza na habari za kitaifa.
Mbeya.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa dokta, philip mpango amesema ni vyema kila mwananchi hasa viongozi wakafuata mfano mzuri wa baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa mwaminifu kwa taifa lake la Tanzania na kulitakia mema kila wakati ametoa kauli hiyo katika ibada maalum ya kumuombea baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki parokia ya mtakatifu Francisco wa asizi, mwanjelwa mkoani mbeya.
Kwa upande wake askofu mkuu wa Jimbo Katoliki la mbeya, mhashamu gervas nyaisonga ambaye alimwongoza.
Shule hiyo amesema katika mahubiri yake kuwa baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtu aliyefuata maadili ikiwemo mwenendo wa haki huruma, unyenyekevu pamoja na uaminifu wa chama.
Askofu nyaisonga ameyataja baadhi ya mambo iliyoachwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama urathi kuona Muungano wa taifa pamoja na mageuzi ya demokrasia na utamaduni a hasa kusisitiza matumizi ya lugha ya Kiswahili, maadili na utu na aliweka maslahi ya taifa mbele.
Aidha amesema baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitoa mchango wake mkubwa kwa ukombozi.
Kuhakiki kanda na kimataifa kupitia usaidizi wake katika kuhakikisha mataifa mengine yanakuwa huru.
Wakati huo huo, makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, daktari philip mpango wa miezi aagiza wizara 2 zenye dhamana za vijana kuratibu na kutekeleza sera ambazo zinajumuisha fursa mbalimbali za maendeleo na kukuza uchumi.
Ametoa maagizo hayo hii leo kwenye kilele cha mbio za mwenge wa uhuru mwaka huu ambapo makamu wa rais amehitimisha mbio hizo kwa niaba ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dokta samia suluhu hassan amezitaka wizara hizo kuratibu kwa ufasaha ili kupambana na janga la ukosefu wa ajira.
Na kuzindua kitabu cha miaka 60 ya mbio za mwenge wa uhuru.
Kwa upande wake waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa kassim majaliwa amesema serikali inaendelea kuenzi kauli mbiu za mbio za mwenge wa uhuru ambayo imehusisha amani na umoja baina ya Watanzania wote.
Dar es Salaam.
Shirika la fedha la kimataifa la amemwagia sifa kedekede rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na taa samia suluhu hassan kwa kusimamia vyema sera za uchumi na fedha za nchi yake.
Mambo hayo ni pamoja na kudhibiti kasi ya mfumuko wa bei namna ambavyo inasimamia fedha za miradi mbalimbali ambazo zinatolewa na taasisi hiyo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikilinganishwa na nchi nyinginezo nyingi za Afrika.
Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti na mkurugenzi mtendaji wa shirika la fedha la kimataifa anayesimamia idara ya Afrika bwana abebe silasi.
Na mkurugenzi mtendaji wa kundi la kwanza la nchi za Afrika wa shirika hilo, bwana andrew bissel walipokutana na kuwa na mazungumzo na ujumbe wa Tanzania unaoshiriki mkutano wa mwaka wa shirika la fedha la kimataifa na benki ya dunia.
Ujumbe huo unaoongozwa na katibu mkuu wizara ya fedha na mlipaji mkuu wa serikali, dokta nato iliamuru mwamba makao makuu ya taasisi hiyo iliyopo mjini Washington dc nchini Marekani wamesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano katika usimamizi wa sera za uchumi na fedha ambapo licha ya changamoto mbalimbali ikiwemo janga la covid 19.
Mizozo ya kisiasa inayoendelea katika kila eneo duniani tathmini ya shirika hilo inaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania uko imara ikilinganishwa na nchi nyinginezo nyingi za bara la Afrika.
Kahama.
Kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania bwana yusuf mwenda amewataka wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini wilayani kahama mkoani Shinyanga wasikwepe kulipa kodi na kuahidi kuwa mamlaka itashirikiana pamoja na taasisi nyingine kuimarisha.
Masoko ya madini na kuweka mfumo madhubuti wa kuwezesha kufanya biashara bila kubughudhiwa ametoa rai hiyo alipozungumza na wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini wilayani kahama baada ya kukagua soko la madini wilayani humo.
Kwa upande wake baadhi ya wachimbaji wadogo wilayani humo wamesema wameridhika na utaratibu wa mamlaka hiyo wa kuelimisha wananchi juu ya maswala mbalimbali kodi na kuiomba mamlaka hiyo kuendelea kutoa elimu ya mlipa kodi hasa kwa wadau wa madini.
Chato.
Serikali imesema 30/100 ya zaidi ya shilingi trilioni 1 ambazo serikali inapata kama maduhuli kutokana na dhahabu inatoka mkoa wa geita waziri wa madini.
Na mgombea ubunge wa jimbo la mtumba mkoani Dodoma Mheshimiwa Anthony mavunde amesema hayo alipozungumza na wananchi wa chato mkoani Geita katika mkutano wa kampeni.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha mapinduzi doctor samia suluhu hassan.
Bwana mavunde amesema mchango huo mkubwa katika pato la serikali unatokana na utekelezaji wa maendeleo ya serikali katika kuinua na kuwezesha wachimbaji wadogo wa madini katika mkoa wa geita.
Pemba.
Mgombea wa kiti cha urais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT wazalendo Mheshimiwa othman masoud othman amesema migogoro mingi ya ardhi katika visiwa vya Unguja na pemba inasababishwa na usimamizi mbovu wa sheria za ardhi.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni huko furaha jimbo la wawi Chake Chake mkoa wa kusini pemba amesema suala la umiliki wa ardhi halikupaswa kuwa kama lilivyo hivi sasa kwa sababu sekta ya ardhi ni miongoni mwa sekta zenye sheria bora Zanzibar.
Amesema kwamba jambo hilo limekuwa likiendelea kufanywa na watawala kutokana na kutoheshimu sheria.
Na taratibu kuwadhulumu nyonge ardhi zao kwa visingizio kuwa ardhi ni mali ya serikali.
Mheshimiwa othman amesema akipata ridhaa ya kuunda serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kupitia uchaguzi mkuu ujao.
Chama cha ACT wazalendo kinakusudia kuunda serikali itakayowajibika kwa wananchi waliowachagua na kuiweka madarakani na kuimarisha nidhamu ya serikali na viongozi wake walioteuliwa kusimamia sekta mwalami.
Unaendelea kusikiliza taarifa hii ya habari kutoka redio one zifuatazo sasa ni habari za kimataifa.
Kisha sana.
Wapiganaji wa kundi la allied Democratic forces adf wanaohusishwa na dola ya Kiislamu wamewaua takriban watu 19 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo.
Drc wakichoma nyumba na maduka na mamia ya wakaazi wakikimbia makazi katika eneo la lubero mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo drc eneo lenye utajiri wa rasilimali linapakana na Rwanda limekumbwa na ghasia kwa zaidi ya miongo mitatu mara nyingi zikisababishwa na makundi ya waasi wenye silaha.
Kwa mujibu wa maafisa wa jeshi, kundi la adf ambalo lilianzishwa na waasi wa zamani wa Uganda.
Anakula kiapo cha utiifu Kiislamu state ilishambulia wakazi wa kijiji cha mukondo katika eneo la lubero na kuua takriban watu 19 kikatili.
Kamanda wa kijeshi eneo hilo alifanikiwa amesema nyumba na maduka kadhaa michuano moto na kusababisha wimbi kubwa la wakaazi kukimbia makazi yao.
Watu 10 na wanne wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi eneo la el kalau nchini Venezuela baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo la kusini mashariki mwa taifa hilo.
Kwa mujibu wa shirika la uokoaji vifo hivi vimetokea katika maeneo matatu tofauti ya mgodi huo wa kuwait roho esquina sede cartel ulioko karibu kilomita 850 kusini mashariki mwa mji mkuu caracas, Venezuela.
Kwa mujibu wa idara ya zimamoto ya el kalou, operation za kuitafuta miili ya watu hao 10 na.