Blog.

RadioOne - 2025-10-16T03:00:00.547Z

RadioOne

--:--
--:--

Transcription

The.

Radio one inakuletea kipindi cha bbc.

Imetimia 10:02 kamili saa za Afrika Mashariki sawa na 10:01 kamili Afrika ya kati bila shaka hujambo msikilizaji karibu katika matangazo ya amka na bbc kutoka idhaa ya Kiswahili ya bbc ikiwa nami sarafu Nairobi.

Tuliyo nayo leo hii mwili wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, raila amolo odinga aliyefariki akipokea matibabu nchini india unatarajiwa kuwasili nchini Kenya leo hii majira ya asubuhi waziri wa ulinzi wa Israel anasema ameliagiza jeshi la nchi yake df kuwa tayari kukabiliana na hamna soko gaza iwapo vita vitaanza upya na kwenye gumzo leo hii tunaangazia ushawishi wa hayati Raila Odinga haswa katika kanda ya Afrika Mashariki na bara Afrika kwa jumla hapa Afrika Mashariki aliweza.

Bwana mahusiano nusu mbali katika mataifa mbalimbali ya Afrika Mashariki, heshimiwa na akiweza kuingia ofisi nyingi za juu za Afrika Mashariki na hali kadhalika katika bara zima la Afrika.

Alhamisi tarehe 16 mwezi wa 10 mwaka 2025, lakini kwanza msikilizaji nampisha mwenzangu david nkya akusomee muhtasari wa habari za dunia karibu mpya asante sarafina Nairobi mwili wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani wa Kenya, raila amolo odinga wanatarajiwa kurejeshwa nchini Kenya hii leo asubuhi kutoka india alipokuwa akipatiwa matibabu kamati ya kitaifa ya inayoandaa mazishi ya waziri huyo mkuu wa zamani imetangaza kwamba mazishi yake yatafanyika Jumapili nyumbani kwake bondo.

Kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya kulingana na familia ya odinga, kiongozi huyo aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Kenya na kimataifa aliomba kuzikwa ndani ya muda wa saa 72 baada ya kufariki kwake.

Odinga amefariki akiwa na umri wa miaka 80.

Waziri wa ulinzi wa Israel amesema ameliagiza jeshi la nchi yake df kuandaa mpango wa kuwashinda hamas huko gaza iwapo vita vitaanza upya baada ya kukutana na majenerali wakuu siku ya Jumatano.

Israel cats amesema jeshi lazima liwe tayari kuchukua hatua ikiwa hamas itakataa kutekeleza matakwa ya amani chini ya rais trump kwa kuwapo kwenye silaha na kurejesha miili yote iliyosalia na mateka hapo awali.

Jeshi la Israeli lilisema shirika la Msalaba Mwekundu limepokea miili ya mateka wengine wawili huko gaza.

Wakati huo huo, mkuu wa Umoja wa mataifa wa masuala ya kibinadamu, templer ameitaka Israel kufungua vivuko zaidi vya giza ili kuruhusu misaada muhimu ya kibinadamu kuwafikia raia.

Mtaala mpya wa kijeshi wa madagascar, kanali Michael randiya ni riara ameapishwa ama ataapishwa siku ya ijumaa baada ya mahakama ya kikatiba kuidhinisha kura ya kumuondoa madarakani.

Rais andry rajoelina kitengo cha jeshi ambacho kilichukua mamlaka kimeahidi kufanya uchaguzi ndani ya miaka miwili zaidi na esther luambano.

Madagascar imeingia katika utawala wa kijeshi na kuwa koloni la hivi punde la Ufaransa kuwa chini ya udhibiti wa jeshi katika kipindi cha miaka mitano iliyopita inaungana na mali, Burkina Faso.

Niger, gabon na Guinea kanali Michael andrew nirina ataapishwa kama rais wa madagascar hapo kesho huyu ni mkosoaji mkubwa wa utawala wa andry rajoelina aliripotiwa kufungwa miaka miwili iliyopita kupanga njama ya mapinduzi.

Umoja wa Afrika umesimamisha madagascar mara 1 kufuatia kutoa mamlaka hiyo huku Umoja wa mataifa ukisema kuwa anasikitishwa sana na mabadiliko ya mamlaka kinyume na katiba.

Na rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kwamba ameidhinisha CIA kufanya operesheni za siri ndani ya Venezuela na kuongeza kwamba kutokana na mashambulizi yatakayolenga makampuni ya madawa ya kulevya nchini humo, hatua hii inafuatia mfululizo wa mashambulizi ya kijeshi ya Marekani.

Dhidi ya boti katika Bahari ya Karibi ambayo Washington yanadai kwamba zilikuwa ama ilikuwa ikisafirisha dawa za kulevya.

Rais wa Venezuela, Nicolas maduro amesema haipaswi kuwa la mapinduzi yanayoongozwana.ca dhidi ya utawala wake.

Venezuela inachangia padogo katika biashara ya dawa za kulevya kwenye eneo hilo na mwandishi wa bbc katika eneo la Amerika Kusini linasema kwamba inadhaniwa lengo kuu la Washington kumuondoa maduro mamlakani kupitia shinikizo la kijeshi, Marekani na nchi nyingine hazitambui kama kiongozi halali wa nchi hiyo kufuatia uchaguzi.

Uliokuwa na utata hii ni bbc.

Taarifa ya habari za dunia zimesomwa kwako na david mke akiwa dar es Salaam unasikiliza amka na bbc kutoka idhaa ya Kiswahili ya bbc.

Matangazo haya yanasikika kupitia redio washirika mbalimbali kama vile radio free africa capital fm na radio one nchini Tanzania, voice of karamoja nchini Uganda, nyota fm mjini Bungoma, Kenya na redio Muungano beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo.

Pia unaweza kusikiliza matangazo haya kwenye mtandao wetu wa bbc swahilidot.com ama kwenye ukurasa wetu wa Facebook.

Bbc Swahili karibu mimi ni sarah Nairobi tukianza 1 kwa 1 ni kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alifariki akipokea matibabu nchini india atazikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake kule bondo kaunti ya kisumu huku Wakenya wakiendelea kuomboleza kiongozi huyo kama mtu aliyepigania demokrasia nchini Kenya.

Mwili wa Raila Odinga unatarajiwa kuwasili nchini Kenya.

Mwendo wa 02:00 asubuhi beldine waliaula na maelezo zaidi hapo jana Wakenya wengi wamekuwa katika hali ya simanzi.

Baada ya kutangaza kwa kifo cha aliyekuwa kiongozi wa upinzani, raila amolo odinga kulingana na familia kinara huyo raila katika wosia wake alisema kuwa azikwe chini ya saa 72 baada ya kufariki kwake.

Naibu rais wa Kenya kithure kindiki akitoa hotuba kuhusu maandalizi ya mazishi ya Raila Odinga.

Alisema kiongozi huyu atapokea heshima ya mazishi ya kitaifa ya siku ya ijumaa.

Mwili wake utasafirishwa hadi nyumbani kwake kule bondo siku ya Jumamosi na kuzikwa rasmi nyumbani kwake siku ya Jumapili.

Viongozi mbalimbali nchini Kenya wakiongozwa na waziri wa maswala ya kigeni walisafiri hadi india hapo jana kuchukua mabaki ya kiongozi huyo wa upinzani na wanatarajiwa kurejea nchini Kenya leo asubuhi na mwili huo utapokelewa na rais William Ruto pamoja na familia yake.

Raila Odinga raila atakumbukwa kwa ucheshi wake tena hili.

Haya.

Anaishi kwa mwili wa binadamu.

Lakini ana tabia ya kinyonga atakumbukwa kama baba wa demokrasia nchini Kenya na aliyepigania utawala bora gharama ya maisha imepanda hapana leta ushuru mengi zaidi.

Hapana ni wesley tele muziki wengine juu yake punda imechoka pia atakumbukwa katika nafasi yake kwenye ulingo wa siasa.

Gari ya Kenya inatembea vina dereva.

Dereva ambaye yuko inakaa pale hajui starehe iko wapi hajui kilashi iko wapi pamoja na maandamano ya kupinga maovu kadhaa serikalini haya.

Vijana wewe.

Na kama kiongozi alienziwa na raia wengi.

Bila shaka sasa hili kufahamu zaidi nimezungumza na mwanahabari wa bbc rockcliffe odit ambaye yuko mjini kisumu nchini Kenya anayeanza kwa kutuelezea hali ilivyo kwa sasa hakuna biwi la simanzi.

Watu wengi bado hata hawajaamini kama raila anayefariki unakutana na watu ambao bado wanatokwa na majonzi.

Watu ambao bado wamekidhi peke yao wamesononeka kwa ujumla hali hapa ni ya simanzi kubwa sana.

Sasataarifa ni kuwa ratiba ya mipangilio ya kurudishwa kwa mwili wake kutoka India na maziko imeshatolewa.

Inasemaje kwa kifupi? Kwa kifupi ni kwamba jana usiku familia ya raila amolo odinga ikiongozwa na mkewe pamoja na baadhi ya wanafamilia na viongozi wakuu wa serikalini wakiongozwa na waziri wa kinara, musalia mudavadi walisafiri kwenda nchini India na wakawa siri India na wameondoka tayari India na leo asubuhi mwendo wa kama 02:30 03:00 saa za Afrika Mashariki watakuwa wawasili jijini Nairobi nafuu mara baada ya kuwasili Nairobi watapokelewa na rais William Ruto pamoja na viongozi wengine wakuu serikalini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kisha wataelekea katika chumba cha kuhifadhia maiti cha lee.

Halafu baadaye 06:00 mchana mwili wa raila amolo odinga utachukuliwa kutoka chumba cha kuhifadhia maiti cha lee hajataka mbunge na taifa ni kingobi ambapo katika bunge la taifa na viongozi wakuu serikalini wataruhusiwa kwenda kuuaga mwili huo lakini pia wananchi wa tabaka mbalimbali watakuwa na muda kati ya 06:00 mchana na 11:00 jioni leo kuuona mwili huo na kuuaga baadaye kesho siku ya ijumaa kutakuwa na hafla ya kitaifa ya kumwaga Raila Odinga katika uwanja wa taifa wa nyayo jijini Nairobi.

Hafla hiyo itakuwa hafla ya kitaifa ni maziko ya kitaifa, kwa hivyo.

Itakuwa na viongozi kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wamealikwa na rais William Ruto Jumamosi mwili utasafirishwa kutoka Nairobi hadi mji wa kisumu ambapo ndipo kwa sasa ambapo wananchi tena watapewa muda kati ya 03:00 asubuhi na 09:00 jioni kuweza kuuaga mwili wa kipenzi chao baadaye raila amolo odinga ama mwili wake utatolewa hapa kisumu na kupelekwa nyumbani kwake katika shamu.