Upendo FM Radio - 2025-10-17T12:00:00.555Z
Upendo FM Radio
Dar es Salaam
Significant Highlights
1 HighlightThese are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.
Transcription
Kuimba kuna ondoa msongo wa mawazo na wasiwasi na kuongeza msukumo mzuri wa hewa safi kwenye mapafu na kukupatia muonekano mzuri unasikiliza talanta Afrika show number one.
Karibu shule ya sekondari aaron harris shule yenye usajili namba 2 3 8 9 inayopatikana pugu kichangani dar es Salaam shule ni ya bweni kwa wasichana na wavulana na sasa shule inatangaza nafasi ya pre form one kwa mwaka 2025 na form one kwa mwaka 2026.
Shule na michepuo yote ya sayansi, sanaa na biashara shule yetu inafanya vizuri kitaaluma kwa ufaulu wa daraja la kwanza la pili na la 3 pekee tutajenga mwanao vizuri kitaaluma na kinidhamu kwani tuna walimu waadilifu waliobobea kwa kiwango cha juu katika malezi na ufundishaji na pia.
Kuna ofa kubwa za mwanafunzi kupata unifomu za bwenini na darasani bure kabisa pia kuna 10/100 ya punguzo la ada kwa wanafunzi 10 wa mwanzo na ofa ya vitambulisho NIDS kama za nida navyo watapata bure kabisa kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0787884745 na 0676622684 kwa elimu bora ya mwanao mlete aaron harris Secondary School.
Aaron harris elimu ni rasilimali endelevu.
106 1.106 nukta 1 upendo fm radio Dodoma Dodoma msikilizaji bado tuko nawe kaa tayari kwa kusikiliza habari kwa ufupi.
Imetimia 09:00 habari kwa ufupi.
Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani ya nchi kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR wamefunga shule zote za sekondari na msingi katika kambi ya wakimbizi, nyarugusu na nduta ili kushinikiza wakimbizi kutoka nchini Burundi kurejea mara 1 kujenga nchi yao huku mahitaji mengine ya kibinadamu yakitajwa kupunguzwa kwa wakimbizi hao.
Akizungumza katika mkutano uliohusisha viongozi wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi, shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR pamoja na viongozi wengine kutoka Burundi.
Mkurugenzi sudi mwakibasi na mwakilishi wa shirika hilo Tanzania, babra dutse wamesema zaidi ya wakimbizi laki 1 wapo mbioni kufutiwa hadhi ya wakimbizi ifikapo juni 2026 ikiwa ni hatua ya serikali ya kuwarejesha nchini kwao kutokana na hali ya amani kuimarika nchini Burundi.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma, balozi simon sirro amesema Afrika itajengwa na Waafrika wenyewe na kwamba wajibu ni kupinga misaada kutoka mataifa ya magharibi ili kujenga Afrika yenye umoja na kudhibiti raia wake kuishi kwa ukimbizi naye balozi mdogo Burundi mkoani Kigoma kiken wa jeremiah amesema Burundi kwa sasa imeweka kipaumbele katika kulinda amani na kuongeza uzalishaji na kuwataka wakimbizi kurudi kwao huku wenyewe wakiahidi kurudi kwa hiari kuepuka kukosa misaada.
Mkuu wa mkoa wa mbeya, beno malisa amewataka waajiri wa sekta binafsi kuhakikisha wanatimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria ambao ni kuandikisha na kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwa wakati kwenye mfuko wa nssf kwani ni msingi wa haki ustawi na heshima kwa wafanyakazi ametoa wito huo wakati wa hafla ya kugawa majiko ya gesi kwa mama lishe.
Babalishe wanachama wa hiari na baadhi ya wastaafu ikiwa ni hatua ya kuunga mkono ajenda ya kitaifa ya matumizi ya nishati safi kama njia ya kuboresha maisha ya wananchi na kulinda mazingira.
Mkurugenzi mkuu wa nssf, masha mshomba amesema kuwa utoaji wa majiko hayo ya gesi Ni sehemu ya mpango wa mfuko kurudisha kwa jamii ili kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya 6 katika kulinda mazingira kuboresha afya na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Mkuu wa wilaya ya mbeya, Solomon tunda ameshukuru nssf kwa kuhamasisha ya kuendelea kuchangia kupitia mpango wa hiari badala ya kutoa fedha zake, timu ambalo amesema limekuwa na manufaa makubwa kwa haki binafsi.
Zaidi ya watu 400 wamepatiwa vipimo na matibabu ya macho katika kambi ya siku 1 iliyofanyika katika eneo la mtoni ikijumuisha shehia 5 za jimbo hilo kutokana na maombi yaliyofanywa na wananchi wa eneo hilo.
Mratibu wa huduma za afya macho Zanzibar, daktari fatuma juma juma omar amesema katika zoezi hilo ameweza kuwapima na kuwapatia miwani zaidi ya watu 400 na wengine wakipatiwa rufaa katika hospitali ya mnazi mmoja kwa kufanyiwa matibabu zaidi.
Naye mwakilishi kutoka shirika la maisha meds fadhili zaidi amesema kupitia shirika hilo amekuwa akiisaidia jamii kuipata vipimo na miwani.
Kwa kusomea kutokana na ongezeko la watu wanaosumbuliwa na tatizo la uoni wa karibu na mbali baadhi ya wananchi waliopatiwa huduma hizo wameishukuru serikali ya mapinduzi Zanzibar kupitia wizara ya afya na kuwataka wananchi kutumia fursa za matibabu zinazotolewa kwenye jamii.
Na kiongozi wa mapinduzi ya madagascar, kanali Michael London nirina ameapishwa kuwa rais kufuatia maandamano yaliyoongozwa na vijana ambayo ilimlazimisha rais aliyekuwepo madarakani andry rajoelina kulikimbia taifa hilo katika hafla iliyofanyika katika mahakama ya juu ya katiba mjini antananarivo kanali Michael andrian ni river nirina amekula kiapo na kuahidi kutimiza kikamilifu haki majukumu makubwa ya nafasi yake kama rais wa Jamhuri ya madagascar.
Awali la adrian nirina alitangaza kuwa jeshi limechukua madaraka.
Na kuvunja taasisi zote isipokuwa bunge la kitaifa ameeleza kuwa kamati inayoongozwa wanajeshi itatawala kwa kipindi hadi cha miaka miwili sambamba na serikali ya mpito kabla ya kuandaa uchaguzi mpya Flandria nirina alikuwa kamanda wa kikosi maalum cha kapsabet ambacho kilihusika katika mapinduzi ya mwaka 2009 iliyomleta andy jerry na madarakani.
Hata hivyo, wiki iliyopita alijitenga na rajoelina akiwahimiza wanajeshi wa sufetula risasi waandamanaji wakati vijana wengi wakishangilia kuanguka kwa utawala wa rajoelina.
Baadhi yao wameanza kuonyesha wasiwasi kuhusu kazi ya jeshi.
Katika kujaza nafasi ya uongozi.
Na huu ndio mwisho wa habari kwa ufupi kutoka upendo fm radio taarifa kamili ya habari itakujia itakapotimu 12:30 jioni.
Jamani je ni hivi vyombo vipi mgoni tena majani karibu kaka yangu wao dadangu hii nyumba si umeweka juzi tu yaani mwenzangu mimi najuta freddy s ndio akanipeleka sema fredy.
Usinicheke mwenzako si kanipeleka kwenye duka lile pale kwenye kona suko baada ya cheka mazuri ila wacha nikwambie ukweli achana na maduka yao kwenye kona ona sasa mabati ya nyumba kwa iliyopauka sio kupauka tu yaani ukizunguka nyuma ule upande wa pili kote kwenye misumari kunavuja jamani ungeniambia mapema haya yote yasingetokea yaani kakaangu hapa mimi natamani hata kesho imezua nizeeke mengine mabati bora Tanzania hawa ni wazalishaji na wasambazaji wa bati Original batiza migongo mipana na midogo na bati za mfano wa kigali kwa vijiji 30 na 28 kwa bei nafuu kabisa.
Lakini huwa mabati katika kiwanda cha mabati bora Tanzania utapata ofa ya usafiri bure popote ulipo Tanzania ni utapata ofa misumari bure kabisa usidanganyike njoki wa ndani uziwe bati kwa bei yakiwa ndani ndio utapata waranti ya miaka 10 ndio kiwanda kipo tabata matumbi dar es Salaam au piga simu namba 0 6 5 9.
6 0.
73.
050659.
6 0.
73.
0 5 kiwanda cha mabati bora Tanzania ndio habari ya mjini.
Benfica real estate Company Limited imekuletea mradi mpya wa viwanja eneo la mlandizi cha kenge viwanja vipo karibu na huduma zote muhimu bei ni kuanzia laki 2 tu ukubwa ni kuanzia 18 kuwa 20 na kuendelea ndio laki 2 tu lakini vile vile nipatie mashamba kwa kuanzia shilingi 2,000,000 za Kitanzania siku ya kwenda saiti ni kila Jumamosi tembelea ofisi zetu zilizopo mbezi mwisho au kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0 6 7.
4 20 20 74 au 0 6 7 4 50 50 14 kwenye mitandao ya kijamii ebeneza.
SKT ebeneza real estate Company Limited ujanja ni kiwanja.
Habari njema toka docking oganiki Company Limited ni kampuni ya kizalendo ya Kitanzania yenye kukuletea bidhaa mbalimbali kwa afya yako.
Unga wa ndizi kitarasa wenye kusaidia kuondoa vitambi presha pamoja na kutibu kisukari unga wa maboga ya kienyeji ambayo ni suluhisho ya mifupa inayomwagika na una madini ya zinki kwa wingi ungo virutubisho bora sahihi ambayo ni suluhisho la vidonda vya tumbo, upungufu wa nguvu za mwili na huongeza cd for unga wa bayana ambayo ni mchanganyiko mzuri wa mboga, nafaka na vinginevyo ambayo huzalishwa kwa mfumo wa kilimo hai.