Radio Maria Tanzania - 2025-10-14T14:00:00.597Z
Radio Maria Tanzania
Dar es Salaam
Transcription
Alifariki katika hospitali ya mtakatifu thomas jijini London, Uingereza.
Mwalimu Nyerere alizaliwa Butiama mkoani mara pembezoni mwa ziwa Nyanza 04/13 1922 na alikuwa rais wa kwanza wa Tanzania ndiye mwasisi wa itikadi ya ujamaa na kujitegemea iliyotangazwa hasa katika azimio la Arusha.
Kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mwalimu kwa taaluma.
Kazi hiyo ndiyo iliyompatia jina ambalo lilimkaa maisha yake yote la Mwalimu Nyerere.
Yaani mimi hapa ni mtangazaji Elizabeth masanja, lakini ni kazi yangu.
Nitalima yangu ya kuwa mtangazaji na mwanahabari mwandishi wa habari sasa yeye taaluma yake ya ualimu ilijikita kule mpaka akaitwa jina kabisa.
Mwalimu Nyerere kwa maneo wanafunzi mnaonisikiliza sasa hivi ambao mlikuwa hamjui.
Kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ile mwalimu ni taaluma yake basi leo fahamu kwamba mwalimu ni taaluma ya.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Wakati huo ni kati ya viongozi wachache wa Afrika ambao wameacha madaraka kwa hiari baada ya kutawala kwa muda mrefu akiwa bado anapendwa na wananchi walio wengi katika nchi hapo.
Mwanzo aliongoza Tanganyika mwaka 1961 hadi 1962 kama waziri mkuu na baadaye akawa rais kuanzia mwaka 1963 hadi mwaka 1964 baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar aliongoza Tanzania kuanzia mwaka 1964.
Hadi mwaka 1985 wengine tulikuwa bado hatujazaliwa.
Alipost hayo alipostaafu urais mwaka 1985 alirudi kijijini kwake Butiama ambako aliendesha shughuli za kilimo.
Hata hivyo aliendelea kuwa na athari kubwa katika siasa ya Tanzania hadi kifo chake kwa ruhusa ya makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani, Jimbo Katoliki la musoma linashughulikia mchakato wa kumtangaza mwenye heri na hatimaye mtakatifu.
Kwa sababu hiyo anaitwa pia mtumishi wa Mungu ni miaka 26 sasa.
Tangu kifo chake tuzidi kumwombea baba yetu apate pumziko la amani mbinguni amina ndio hicho ambacho nilitaka kufunga kwa siku ya leo.
Swali hili limekaa sehemu zote 2 kama umegundua lipo kijamii lipo katika imani katika imani ni hapa kwa kumuombea ili.
Kwa sababu yeye anaitwa mtumishi wa Mungu tumuombee ili awe mwenye heri na kisha awe mtakatifu.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere asanteni Mungu awabariki sana nimekula muda kidogo wa kipindi cha ujumbe wa Biblia.
Mungu awabariki sana kwa yote ambayo tumeendelea tukijifunza tumeanza kwa sala karibu tamatishi kwa sala kwa jina la baba na la mwana na la Roho Mtakatifu amina.
Atukuzwe baba na mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina kwa jina la baba na la mwana na la Roho Mtakatifu amina tumsifu yesu kristu milele amina nawapenda sana tukutane juma lijalo katika darasa hili la pata potea mwalimu wa zamu, Elizabeth masanja kwa niaba ya mwalimu mkuu, padre dominic mavula, ninawapenda sana kwa elimu.
The.
The.
Msikilizaji mpendwa radio maria Tanzania sauti ya Kikristo nyumbani mwako karibu sasa usikilize kipindi cha ujumbe wa Biblia.
Karibu msikilizaji wa radio maria Tanzania sauti ya Kikristo nyumbani mwako katika kipindi cha ujumbe wa Biblia tunaye padri titus amigu kutoka kule chuo kikuu cha sauti mtakatifu agustino malimbe jimbo kuu la Mwanza yeye anaendelea kujibu maswali ya wasikilizaji ambayo yameulizwa kulingana na vipindi mbalimbali alivyokwisha kuvifanya hapa redio maria Tanzania nimualike sasa padri ili aweze kufungua kwa sala na kisha kuendelea tumsifu Yesu Kristo baba.
Milele amina bado za huko dar es Salaam kwema kabisa habari ya jimbo kuu la Mwanza hapa Mwanza hatujambo jua na mvua na wakawaka ndio basi namshukuru Mungu.
Hongereni sana kwa neema hiyo Mungu aendelee kuwajalia.
I.
Tu eleza.
Masanja afya kutukaribisha katika kipindi chetu cha ujumbe wa Biblia.
Tunaahidi kutumia dakika hizi 60 na au saa hii 1 iliyo mbele yetu.
Wa kujibu maswali.
Nawakaribisha wapendwa wasikilizaji wote wa radio maria.
Pamoja na redio washirika redio mbiu radio mwangaza na redio Tabora.
Kwenye kipindi hiki cha ujumbe wa Biblia tuwe pamoja kuanzia sasa mpaka mwisho wa kipindi chetu tuona kusudia kujibu maswali.
Ambaye ni wasikilizaji nauliza na ni haki yenu kuuliza kwa sababu unapouliza wanataka kujua.
Na mimi nimeahidi kwamba hata maswali yale ambayo.
Pengine wangeweza kufoka nayo kwa sababu labda yanajaribu kukejeli kituo au kupima kitu fulani hayo nayo wala sitawaacha pembeni.
Nitajibu kama kawaida.
Basi tumwalike Mungu tumtambue uwepo wake.
Na kazi yake kwetu na baraka zake anazotujalia siku zote.
Kwa kuswali.
Afc wamewahi kila maria.
Yaendelee kutusaidia katika nafasi yake ile ya wagombeaji wa dunia nzima.
Kwa jina la baba na la mwana na la Roho Mtakatifu.
Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako ufike.
Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
Ulitolewa mkate wetu wa kila siku utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
Usitutie katika kishawishi.
Wageni.
Salaam, Maria.
Zote na milele.
Arusha baba na mwana na Roho Mtakatifu.
Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele.
Abdullah.
Na milele amina.
Afc karibuni wapenzi wasikilizaji wangu.
Na tunaendelea na swali lile ambalo tulianza jana.
Nah, sorry you so.
Mambo.
Ya kufanywa au kitu gani cha kufanywa ili? Kuwazuia watu wanaohama katika Kanisa letu.
Sari somaka E Fatah.
Kutokana na wimbi kubwa la Wakatoliki kuhamahama makanisa.
Kwa lengo la kutafuta.
Uponyaji.
Wa matatizo yao.
Je Kanisa Katoliki lina mkakati gani kuhakikisha jambo hili linakwisha na Kanisa linabaki salama.
Go to Jibo.
Kusema kwamba.
Kanisa juhudi zake zinazofanya.
Ni za aina 2 tu.
Kuelimisha na kutoa mpano.
Kuelimisha na kutoa mpano.