HABARI NJEMA RADIO - 2025-12-19T03:00:00.476Z
HABARI NJEMA RADIO
Dar es Salaam
Transcription
Maji haya ataona kiu tena.
Walakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujikia uzima wa milele bwana unipe maji hayo nisione kiu wala nisije hapa kuteka 7.
Ndio unaskiliza hivi sasa.
Malaika wa bwana alimpasha habari maria naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu salamu maria umejaa neema bwana yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa mariam mtakatifu, mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu amina ndimi mtumishi wa bwana nitendewe ulivyosema salamu maria umejaa neema bwana yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Mariam mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu amina neno wa Mungu akatwaa mwili akakaa kwetu salamu maria umejaa neema bwana yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa mariam mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu amina tuwaombee mzazi mtakatifu wa Mungu tujaliwe ahadi za Kristo tuombe tunakuomba ee bwana utie neema yako mioyoni mwetu.
Ls sisi tuliojua kwa maelezo ya malaika kwamba mwanao amejifanya mtu kwa mateso na msalaba wake atufikishe kwenye utukufu na ufufuko.
Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo bwana wetu amina.
Rushwa nusu mlingoti na kutakuwa na ukimya wa dakika 1.
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri kuu ya kuainisha tena bangi kama dawa isiyo hatari sana zaidi na florian kaijage.
Hatua hiyo ni mabadiliko makubwa zaidi katika udhibiti wa bangi katika zaidi ya miaka 50 ila serikali kuu haijalisha dawa hiyo kwa matumizi ya burudani.
Amri hiyo inaainisha upya bangi kutoka kiwango cha kwanza hadi cha 3 ambapo dawa za viwango hivyo zinadhibitiwa kwa matumizi halali ya matibabu.
Rais trump amesema hilo litaruhusu utafiti zaidi kuhusu dawa hiyo majimbo mengi ya Marekani tayari yamehalalisha bangi.
Mapendekezo yatahitajika kupitiwa upya na utawala wa utekelezaji wa dawa za kulevya.
Naam kwingine kuwa ni kuwa nyota aina ya comet ambayo ni kitu cha 3 kinachojulikana kati ya nyota kuingia kwenye mfumo wa sayari inakaribia zaidi dunia three i atlas iligunduliwa kwa mara ya kwanza mwezi Julai mwaka huu na tangu wakati huo imetoa mkia unaungana vumbi na gesi ilivyokuwa ikipashwa na jua wanasayansi wanasema hakuna ushahidi kuwa ni kitu chochote zaidi ya comet licha ya nadharia maarufu kwamba ni uchunguzi uliotumwa na wageni yaani elias wanaastronomia wanachunguza kitu hicho cha miaka bilioni 8 ili kujifunza zaidi kuhusu historia ya galaksi yetu.
Kabla ya kutoweka hata kwa karibu zaidi bado iko zaidi ya kilomita 270,000,000 kutoka duniani.
Hii ni bbc.
Naam taswira habari za ulimwengu umesema kwako na sarah Nairobi akiwa Nairobi inayosikiliza mkanda bbc kutoka idhaa ya Kiswahili ya bbc ikikutangazia kwenye fm radio washirika na kwenye tovuti katika bbc swahilidot.com ukiwa Kenya unatupata kupitia must fm ya Uganda ni voice of muhabura Tanzania unatupata kupitia cgf fm na pale Zanzibar ni zenj fm na iwapo drc ya tegea sikio kupitia alizade redio aidha unaweza kutufuatilia 1 kwa 1 kupitia ukurasa wetu wa Facebook wa bbc Swahili ukaweka maoni yako pale.
Na tukipata wasaa basi msikilizaji tunayesoma 1 kwa 1 tunaanzia huko ulaya ambapo licha ya kuendelea na mazungumzo yao hadi usiku wa viongozi usiku, viongozi wa ulaya wanaokutana mjini brussels wameshindwa kuafikiana kuhusu matumizi ya mali ya urusi inayoshikiliwa kufadhili vita dhidi ya urusi nchini Ukraine wanaendelea kujadili uwezekano mbadala kukopa kwa kutumia bajeti ya Umoja wa Ulaya ya usalama, lakini wanasemekana kutaka muda zaidi wa kuangalia maelezo kuanzisha ufadhili kulingana na mahali ya urusi, Florence kaijage anaarifu zaidi Ubelgiji ndiko ambako mali nyingi za urusi zimehifadhiwa.
Nchi ambayo iko chini ya shinikizo kubwa kuacha kupinga pendekezo la kutoa fedha hizo.
Nchi hiyo ina hofu ya kulipiziwa kisasi na inataka kuwepo kwa ulinzi thabiti wa kisheria usiotiliwa shaka rais volodymyr zelensky amewahimiza viongozi wa ulaya kufikia makubaliano kuhusu matumizi ya mali za urusi zilizozuiliwa ili kupata mkopo kwa ajili ya kiev na kuonya kuwa Ukraine italazimika kupunguza uzalishaji wa ndege zisizo na rubani.
Iwapo hatua hiyo haitachukuliwa.
Pesa hasi inahitajika ili kuhakikisha kuwa urusi au mtu mwingine yeyote duniani hatumii mali hizi za urusi kama chambo cha kutushinikiza tunataka.
Kamali hizi zisiwe sehemu ya mchakato wa mazungumzo bali zitumike 1 kwa 1 kutuunga mkono.
Rais zelensky amewaambia washiriki wa mkutano wa kilele uliofanyika mjini brussels kwamba nchi yake inakabiliwa na upungufu wa fedha unaoweza kufikia dola za Marekani bilioni 60 mwaka ujao.
Wakati hayo yakijiri Ubelgiji yenye mali nyingi za urusi ina wasiwasi kuhusu hatua za kulipiza kisasi na hivyo inataka ulinzi madhubuti wa kisheria, Ufaransa na Poland zimeongoza wito wa kuzikabidhi fedha hizo ili kuimarisha upinzani wa Ukraine ni florent kaijage.
Serikali ya Nigeria izifungulie tena shule za sekondari 47 zilizofungwa mwezi uliopita kufuatia wimbi la mashambulizi makali na utekaji nyara mkubwa wa watoto wa shule katika mikoa kadhaa nchini humo.
Shule hizo ambazo zimeenea kote nchini zilifungwa mnamo Novemba baada ya kuongezeka kwa ukosefu wa usalama Kaskazini magharibi, Kaskazini, mashariki na Kaskazini kati na sehemu nyingine za kusini zaidi na esther luambano kufungwa kwa shule hizo kulitokana na ongezeko la matukio ya utekaji nyara.
Vinavyotekelezwa na magenge yenye silaha yaliokuwa yakilenga wanafunzi na walimu hali iliyozua hofu kubwa kuhusu usalama wa wanafunzi na kuwalazimu viongozi kusimamisha masomo kote nchini Nigeria.
Taarifa iliyotolewa jana Alhamisi jioni na wizara ya elimu imesema uamuzi wa kufungua tena shule ulifikiwa baada ya ushirikiano wa kudumu na vyombo vya usalama ili kuhakikisha mazingira salama ya kujifunzia sehemu ya taarifa hiyo inaeleza kwamba taasisi ya serikali kuu inathibitisha tena wajibu wake wa kuwalinda watoto wote wa Nigeria na kulinda haki yao ya kikatiba.
Na kupata elimu katika mazingira salama serikali iliwahakikishia wazazi na walezi kuwa ustawi na ulinzi wa wanafunzi unaendelea kuwa kipaumbele cha juu kabisa na kuongeza kuwa wanafunzi wengi kwa sasa wanakamilisha programu zao za masomo ya mwezi Disemba huku wengine wakihitimisha mitihani yao.
Kwa mujibu wa mamlaka, hatua hiyo inaonesha dhamira ya serikali kutekeleza kalenda ya masomo licha ya vitisho vinavyoendelea kutoka kwa makundi yenye silaha elimu inaelezwa kuwa bado ni nguzo kuu ya maendeleo ya rasilimali watu nchini Nigeria na kichocheo muhimu cha ukuaji wa taifa hilo.
Shule za unity colleges ambazo ni shule za sekondari zinazoendeshwa na serikali kuu zilianzishwa kwa lengo la kukuza mshikamano wa kitaifa.
Hata hivyo, baadhi ya shule hizo katika miaka ya hivi karibuni zimekuwa zikilengwa mara kwa mara na magenge ya kihalifu na waasi kutumia udhaifu wa kiusalama katika maeneo ya Vijijini.
Wimbi la mashambulizi hayo limeongeza hofu kuhusu upatikanaji wa elimu hasa kwa wasichana katika maeneo ambayo tayari anakabiliwa na changamoto za umaskini na migogoro esther luambano.
Msikilizaji sikia hii mchawi ni nani kati ya wasanii wa Tanzania na mashabiki wao mitandaoni kila uongozi mnalalamika haya yalikuwa ni maneno ya nassib abdul maarufu kama Diamond katika kilele cha kampeni za uchaguzi mkuu 2025.
Matamshi hayo yaliyonukuliwa na mashabiki wanaamini walisalitiwa na wasanii wao pendwa walipoonyesha kuegemea upande wa serikali wakati baadhi ya mashabiki walitaka mabadiliko ya katiba kabla ya kuelekea uchaguzi mkuu.
Je nani wa kulaumiwa katika harakati za kususia kuacha kusikiliza muziki wao na kuan follow na kuwapuuza kimya kimya wasanii wa Tanzania.
Kwa kutumbuiza katika mikutano ya kisiasa ya chama tawala, ccm mchawi ni nani kati ya wasanii wa Tanzania na mashabiki wao mitandaoni? Martha saranga ametuandalia tathmini hii.