FADECO Community Radio - 2025-10-17T13:00:00.510Z
FADECO Community Radio
Bukoba
Significant Highlights
4 HighlightsThese are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.
Transcription
Hili ni eneo tunalolipata kipaumbele hasa kwa vijana wetu wachimbaji wadogo wadogo sababu hili lililo eneo linalowapa ajira zao 40/100 ya mapato tunayoyapata kwenye sekta ya madini yanatokana na wachimbaji wadogo.
Ndugu zangu maendeleo ni safari unaanza hatua unakwenda hatua unakwenda hatua.
Kwa hiyo kipindi cha miaka mitano iliyopita Katoliki tumekwenda hatua 10 na tunaamini kosoa dunia kwa kushindwa kuwahudumia mamilioni ya watu na kusababisha.
Rais William Ruto wa Kenya amesema hayati Raila Odinga ataendelea kukumbukwa na vizazi vya sasa na vijavyo kutokana na mchango wake usiokuwa na mfano wa uliotoa kwa nchi yake bila kuchoka.
Rais ruto amesema hayo wakati wa hotuba yake kwa taifa katika uwanja wa michezo wa nyayo wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa waziri mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga.
Kwa upande wake rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema historia ya demokrasia utetezi wa haki za binadamu nchini Kenya haiwezi kuandikwa bila kutaja jina la Raila Odinga ambaye alikuwa kiongozi mashuhuri aliyepigania haki za Wakenya wote bila kujali rangi wala kabila.
Makamu wa rais dokta philip mpango ni miongoni mwa viongozi mbalimbali walioshiriki katika ibada ya kuuaga mwili wa hayati odinga akimwakilisha rais samia suluhu hassan.
Maziko ya mwili wa hayati Raila Odinga yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumapili kijijini kwake bondo mkoa wa Nyanza mahali alipozaliwa.
Dodoma.
Mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzan.
Juzi ccm.
Balozi dokta Emmanuel nchimbi.
Amesema endapo chama hicho kitachaguliwa kuendelea kuongoza serikali kitaendelea na mfumo wa elimu bila malipo kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha 6.
Dokta nchimbi amesema hayo alipokuwa katika mkutano wa kampeni wa chama hicho uliofanyika katika kata ya bukulu, jimbo la kondoa Vijijini mkoani Dodoma.
Amesema azma ya chama hicho ni kuendelea kuongeza miundo mbinu ya elimu katika jimbo hilo ambapo ameahidi ujenzi wa shule mpya 5 za msingi na 4 za sekondari katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kwa upande wa sekta ya ufugaji dokta nchimbi amesema serikali ya ccm itajenga majosho 15 minada 10 pamoja na kuimarisha huduma ya maji safi na salama katika jimbo hilo kutoka 70/100 hadi 85 ifikapo mwaka 2030.
Zanzibar.
Baadhi ya viziwi wamesema uwepo wa wakalimani wa lugha za alama katika mikutano ya kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa 10/29 mwaka huu visiwani Zanzibar umewasaidia kupata taarifa muhimu kuanzia sera za wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo ya urais na wawakilishi.
Katibu wa jumuiya ya wakalimani wa lugha ya alama Zanzibar mashavu rajab mzee amesema uwepo wa wakalimani ni daraja muhimu kati yao na watu na viziwi ambapo kunasaidia kupata taarifa muhimu kama kujiepusha katika matokeo ya kuvuruga amani ya taifa.
Mashavu wameishauri vyama vya siasa kuhakikisha vinakuwa na wakalimani wa lugha ya alama katika mikutano yao ya hadhara ili.
We ili watu wenye ulemavu wa kutokusikia wafuatilie sera zao.
Mbeya.
Naibu katibu mkuu wa wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, lucy kabyemera amewashauri wanaume nchini kuwashirikisha wenza wao katika umiliki wa ardhi ili kuepuka migogoro ya kifamilia baada ya mzazi wa kiume kufariki.
Babyemera amezungumza hayo wakati wa zoezi la kliniki ya ardhi ya urasimishaji maeneo ambayo yalikuwa hayajapimwa katika kata ya igurusi wilayani Mbarali, mkoa wa mbeya.
Kwa upande wao wananchi wamesema wamenufaika na kliniki hiyo ya urasimishaji wa ardhi ikiwemo ardhi yao kupata kupanda thamani pamoja na kuwa makini na migogoro iliyokuwa ikiwakabili.
Iringa.
Naibu katibu mkuu wa wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum, felista mdemu.
Amesema wataalam wa maendeleo ya jamii wana jukumu la kuhakikisha jamii inaishi katika maadili kwa kuzingatia mila na desturi za Kitanzania zinazofaa.
Naibu katibu mkuu huyo amesema hayo baada ya kutembelea chuo cha maendeleo ya jamii ruaha mkoani Iringa na kusema nidhamu katika jamii imepotea na wimbi la mmomonyoko wa maadili limeongezeka.
Naye mkurugenzi wa maendeleo ya jamii kutoka wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum Patrick gowile.
Amesema serikali inapambana kuhakikisha vyuo vya kati vinatoa mafunzo stahiki kwa wanafunzi na kunufaisha jamii za sehemu husika kupitia afua mbalimbali.
Unaendelea kusikiliza taarifa ya habari kutoka tbc taifa.
Rukwa.
Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru krispini chalamila.
Ameziagiza shule.
Sote kuanzisha vilabu vya takukuru ili kuwajengea wanafunzi elimu ya uadilifu katika kupambana na vitendo vya rushwa kuanzia elimu ya msingi.
Chalamila ametoa agizo hilo wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la ofisi za takukuru wilaya ya nkasi mkoani Rukwa.
Lililogharimu zaidi ya shilingi 362,000,000 na kusema lengo la kuanzisha vilabu hivyo ni kujenga kizazi chenye maadili kinachotukia rushwa na kuthamini uwajibikaji.
Aidha amesisitiza kuwa mapambano dhidi ya rushwa hayawezi kufanikiwa bila kuwekeza kwenye elimu ya vijana kwa kuwa wao ndio nguzo ya taifa la kesho.
Zanzibar.
Zaidi ya watu 400 wamepatiwa vipimo na matibabu ya macho katika kambi ya siku 1 iliyofanyika katika eneo la ikijumuisha shehia 5 za jimbo hilo katika wilaya ya Mjini Magharibi.
Zoezi hilo limefanikiwa kuwaona zaidi ya mia ya watu 200 ambao wamepatiwa miwani na matibabu mwingine.
Wakiwemo matibabu ya mtoto wa jicho.
Mratibu wa huduma za afya ya macho Zanzibar dokta fatuma juma omar amesema katika zoezi hilo wamepima na kuwapatia miwani zaidi ya watu 400, watu 400 na wengine kupewa rufaa katika hospitali ya mnazi mmoja kwa matibabu zaidi.
Upande wao baadhi ya wananchi waliopatiwa huduma hizo wameishukuru serikali ya mapinduzi Zanzibar kupitia wizara ya afya na kuwasihi wananchi kutumia fursa za matibabu zinazotolewa kwenye jamii.
Roma.
Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo wa 14 ameikosoa dunia kwa kushindwa kuwahudumia mamilioni ya watu ikiwemo kuwapatia msaada wa chakula na kusababisha kufa kwa njaa.
Papa ametoa kauli hiyo kufuatia baadhi ya maeneo ikiwemo sudan, ukanda wa gaza na sehemu nyingine duniani ambapo kuna migogoro na huku watu wakiripotiwa kufa kwa kukosa chakula.
Amesema ni wakati sasa kwa mataifa kufikiria upya mtindo wao wa maisha.
Kivyao ili kuzuia watu kufa kwa njaa na kuongeza kuwa hali hiyo ni kupotoka kwa maadili na ni dhambi ya kihistoria.
Kauli ya kiongozi huyo watolewa wakati shirika la mpango wa chakula duniani wfp akitahadharisha kuwa takriban watu 300,000,019 wanakabiliwa na uhaba wa chakula.
Antananarivo.
Kiongozi wa jeshi la madagascar, kanali Michael r andrian nirina ameapishwa kuwa rais mpya wa nchi hiyo siku chache baada ya kutua mamlaka ya kijeshi katika taifa hilo.
Kanali Michael randy nirina amesema kwamba jeshi hilo litaunda serikali na kufanya uchaguzi ndani ya miaka miwili ijayo.
Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Express ya madagascar, kanali la andrea canal ryan nirina.
Anamrithi rais andry rajoelina ambaye ya nchi na baadaye kuondolewa madarakani kufuatia wiki kadhaa za maandamano yaliyoongozwa na vijana wanaodai uwajibikaji kutoka serikalini.
Sherehe za uapisho zimefanyika katika mahakama ya kikatiba katika mji mkuu wa nchi hiyo, antananarivo, huku martin mkubwa wakiwemo vijana walioongoza maandamano wakishuhudia tukio hilo.
Kabla ya kuapishwa kwa hakika nali rand ryan nirina amesema anatarajia kufanya mageuzi katika tume ya uchaguzi na ikiwemo orodha ya wapiga kura kabla ya uchaguzi mpya kufanyika.
Umoja wa Afrika AU wametangaza kuisimamisha uanachama madagascar hadi utaratibu wa kikatiba utakapo rejeshwa baada ya mapinduzi yaliyomwondoa madarakani.
Rais andry rajoelina.
Taarifa hiyo imetolewa na AU ikisema jumuiya hiyo itawekewa viongozi.
Wale wa kiraia hauta rejeshwa nchini humo awali jumuiya hiyo ilisimamia nchi kadhaa ili zilisimamisha nchi kadhaa wanachama baada ya mapinduzi ya kijeshi zikiwemo nchi za mali, Burkina Faso na Guinea.
Na kwa kumaliza taarifa ya habari sikiliza tena muhtasari wake.
Rais William Ruto amesema hayati Raila Odinga ataendelea kukumbukwa na vizazi vya.