Standard Radio TZ - 2025-10-15T03:00:00.575Z
Standard Radio TZ
Singida
Transcription
Ila wakaisha katika matangazo ya asubuhi.
Imetimia 12:00 kamili Afrika Mashariki 11 Afrika ya kati majira sawa kabisa na hapa Ulaya ya kati hujambo na karibu kwenye matangazo yetu ya asubuhi kwa niaba ya wote.
Jina langu ni Russia chilumba.
Bw.
Habari za ulimwengu.
Msomaji wako asubuhi ni mimi elise sanga na kwanza ni muhtasari wake.
Rais wa madagascar ondolewa kupitia mapinduzi ya kijeshi baada ya wiki kadhaa za maandamano ya vijana Israeli yasema mabaki ya mateka wengine wanne wa gaza yamewasili na rais ahmed ashara kuzuru Moscow leo Jumatano kujadili uwepo wa kambi za kijeshi za urusi nchini syria.
Habari kamili antananarivo rais wa madagascar andry rajoelina ameondolewa madarakani kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyotangazwa Jumanne baada ya wiki kadhaa za maandamano makubwa yaliyoongozwa na vijana kupinga umasikini kukatika kwa umeme na ukosefu wa ajira baada ya bunge kupiga kura ya kumuua madarakani.
Kamanda wa kikosi maalum cha jeshi kapsabet kanali, Michael andrian lina alitangaza kuwa jeshi limechukua madaraka na litaunda baraza la mpito litakalojumuisha maafisa wa jeshi na polisi kabla ya kuunda serikali ya kiraia.
Andrina alisema mamlaka ya katiba na mahakama kuu ya katiba yamesitishwa na kwamba kura ya maoni itafanyika ndani ya miaka miwili.
Rajoelina ambaye amekimbia nchi kwa hofu ya usalama wake, alijaribu kuvunja bunge lakini wabunge walipuuzia amri hiyo na kupiga kura ya kumwondoa madarakani.
Ofisi yake imepinga hatua ya jeshi akisema ni tangazo haramu na uvunjaji wa utawala wa sheria.
Mapinduzi hayo yanaongeza orodha ndefu ya migogoro ya kisiasa nchini humo tangu ilipojipatia uhuru wake mwaka 1960.
Jerusalem, Israeli.
Pia mabaki ya mateka wengine wanne waliokabidhiwa na hamas Jumanne katika hatua nyingine katika utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha vita yaliyosimamiwa na rais wa Marekani Donald Trump, miili hiyo ilikabidhiwa kwa shirika la Msalaba Mwekundu kabla ya kupelekwa Israeli kwa uchunguzi wa kitabibu siku 1 kabla hamasi alikuwa imekabidhi mabaki ya mataika wengine wanne saa chache baada ya kuwachiliwa mateka 20 walio hai.
Wakati huo huo, hospitali ya gaza imesema imepokea miili ya Wapalestina 45.
Waliorejeshwa na Israeli chini ya mpango huo kubadilishana miili waziri mkuu, Benjamin netanyahu amesema Israeli bado imejizatiti kuhakikisha wote wanarudishwa nyumbani huku familia za mateka waliobaki zikisubiri kwa wasiwasi.
Cairo rais wa syria, ahmed ashara atazuru Moscow leo Jumatano licha ya kuahirisha mkutano wa kilele wa Kiarabu huko ambao walikuwa wamepanga kuhudhuria afisa wa syria, amesema shara atafanya mazungumzo kuhusu kambi ya kijeshi.
Kambi ya jeshi la majini ya urusi huko tartous pamoja na kambi yake ya jeshi la anga mjini mainin pia atawasilisha ombi rasmi la kumkabidhi rais wa syria aliyeondolewa bashar al assad.
Mshirika wa urusi kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka ya uhalifu wa kivita dhidi ya wasyria.
Kimesema chanzo chenye ufahamu kuhusu suala hilo tangu kuondolewa kwa asadi mnamo mwezi Desemba mwaka uliopita, urusi imejaribu kuhifadhi uhusiano na watawala wapya wa syria ikiwemo kuipatia damascus uungwaji mkono wa kidiplomasia wakati wa mashambulizi ya Israeli katika ardhi ya syria.
Mwezi Julai, rais wa urusi Vladimir putin na waziri wa mambo ya nje, sergei lavrov walikutana na waziri wa mambo ya nje wa syria assad mashabane mjini Moscow katika ziara yake ya kwanza.
Tangu kuondolewa kwa bashar al assad ni taarifa ya habari za ulimwengu inayokujia kutoka idhaa ya Kiswahili ya dw mjini bonn.
Kiev.
Rais wa Ukraine volodymyr zelensky amemvua uraia meya wa odessa genadi trhk nov kufuatia madai kwamba anamiliki pasi ya kusafiria ya urusi idara ya usalama ya Ukraine SBU imesema uamuzi huo umetokana na amri iliyoidhinishwa na zelenski ikimtuhumu turchynov kuwa na uraia wa nchi mvamizi turchynov ambaye amekuwa meya wa bandari kubwa ya odessa tangu 2014 amekanusha madai hayo akisisitiza kuwa yeye ni raia wa Ukraine.
Wataendelea kutekeleza majukumu yake hadi mwisho.
Wakati huo huo, vyanzo vya serikali vimesema rais zelensky pia amemvua uraia mwanadensi mashuhuri sergey polonini anayejulikana kwa uungaji wake mkono wa rais Vladimir putin.
Beijing.
Marekani na china zimeenea.
Sasa kutozaa na ada mpya za bandari kwa kampuni za usafirishaji majini.
Hatua inayoongeza mvutano katika vita vya kibiashara kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
China imesema ada hizo zitahusu meli zinazomilikiwa au kuendeshwa na Marekani huku ikitoa msamaha kwa meli zilijengwa nchini humo.
Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa utawala wa rais Donald Trump kulenga kudhoofisha ushawishi wa China katika sekta ya usafiri wa baharini na kuimarisha ujenzi wa meli nchini Marekani.
Wataalamu wanasema hatua hizo za kulipiza kisasi zinaweza kuvuruga mfumo wa biashara ya kimataifa kwa mizigo ya mafuta na bidhaa za kilimo na huo ndio mwisho wa habari za ulimwengu kutoka dw.
BW.
Leo asubuhi.
Safi uchambuzi wa ripoti ya asubuhi hii itaanza kwa kumulika mzozo wa kisiasa nchini madagascar.
Baadaye jeshi la nchi hiyo kutangaza kutoa madaraka na kuzivunja taasisi ya karibu zote za dola.
Keter utasikia uchambuzi ijue vizingiti vinavyokabili mkataba wa kusitisha vita ukanda wa gaza uliosimamiwa na rais Donald Trump wa Marekani na huko nchini Tanzania.
Swala la bima ya afya kwa wote ni swala ambalo limesheheni imepita na na kiukweli tunatamani utekelezaji uweze kutokea jinsi wanavyo wanavyouza kwa sababu gharama za matibabu ni makubwa lakini watu wetu.
Ya wengi hawawezi kulipa gharama za matibabu tumekuandalia ripoti ya namna wagombea wa kiti cha urais wanavyo 8 sera zao hususan kuhusu maboresho ya sekta ya afya.
Asubuhi hii msikilizaji tumekuandalia vilevile makala fupi ya sema uvume kuanza lakini ni uchambuzi wa ripoti tulizo kukusanyia na tunaanzia nchini madagascar.
Taifa hilo limetumbukia kwenye mzozo mpana zaidi wa kisiasa baada ya kikosi cha jeshi kutangaza kutoa madaraka muda mfupi baada ya bunge la nchi hiyo kupiga kura iliyomwondoa madarakani.
Rais andry rajoelina kulikuwa na wimbi la furaha na shamrashamra kwenye mitaa ya mji mkuu antananarivo pale tangazo hilo kuondolewa madarakani.
Rajoelina lilipotolewa zaidi na asimulia.
Idriss angaa muda mfupi baada ya bunge kupiga kura ya kumwondoa madarakani andry rajoelina ambaye alikimbia nchi kwa hofu ya usalama wake kiongozi wa kikosi maalum cha jeshi kapsabet kanali, Michael andrew nirina alisema majeshi ya ulinzi yameunda baraza la mpito litakalojumuisha maafisa wa jeshi la polisi na kwamba baraza hilo litamteua waziri mkuu ata kiunde serikali ya kiraia haraka iwezekanavyo, julio kidike, niko hapa kusoma tamko la jeshi kuanzia leo tumeshika madaraka na tunavunja taasisi kadhaa.
Za taifa ikiwemo seneti mahakama ya katiba mahakama kuu ya haki, baraza la ulinzi wa demokrasia na utawala wa sheria pamoja na tume huru ya uchaguzi, bunge la taifa litaendelea kufanya kazi kama kauli ya tutaunda baraza litakalojumuisha maafisa wa jeshi na polisi na pengine kwa wakati mwafaka washauri wa kiraia.
Lakini kuanzia sasa mamlaka rasmi yapo mikononi mwa 20.
Tangazo hilo lilitolewa mbele ya ikulu ya rais mjini antananarivo huku umati wa watu ukishangilia baadhi ya wakiwa wamebeba bendera na kuimba nyimbo za uzalendo.
Kanali landry irina alisema mamlaka ya katiba na mahakama ya katiba yamesitishwa na kwamba uchaguzi mpya utafanyika baada ya kipindi cha miaka miwili ya mpito.
Mna pili tulichukua uamuzi huo kwa sababu kama nilivyoeleza mara kadhaa hakuna kinachoendelea kufanya kazi nchini madagascar.
Hakuna rais hakuna rais wa seneti, hakuna serikali hakuna kinachoenda sawa.
Hivyo tunapaswa kubeba dhamana ndio hivyo.
Rais rajoelina mwenye umri wa miaka 51 alionekana kwa mara ya kwanza kupitia video ya mtandaoni akisema amejihifadhi katika eneo usalama baada ya jaribio la mauaji na mapinduzi aliahidi kulinda taifa huku akikana kujiuzulu, lakini wabunge walipuuza amri yake ya kulivunja bunge na kupiga kura kwa wingi mkubwa kumng'oa madarakani ikulu yake ililaani hatua ya jeshi ikisema nitangazo haramu na uvunjaji wa utawala wa sheria huku ikisisitiza kuwa Jamhuri haiwezi kuchukuliwa mateka kwa nguvu kwa wiki kadhaa.
Mji wa antananarivo umekuwa ukitikiswa na maandamano makubwa yanayoongozwa na kizazi kipya cha vijana wanaojiita jenzie wakilalamikia kukatika kwa maji na umeme na hali ngumu ya maisha.
Harakati hizo zilipanuka haraka zikageuka kuwa vuguvugu la kupi.