FADECO Community Radio - 2025-10-16T13:00:00.488Z
FADECO Community Radio
Bukoba
Transcription
Mpya kabisa mbegu hii ni ya mahindi inazalisha kwa viwango vya kisasa vyenye tija kwa mkulima na mlaji matumizi ya mbegu bora yamepanda kwa zao la mahindi, lakini sasa hivi wakulima wameelewa matumizi ya mbegu bora sasa huhitaji umeanza kuwepo lakini kuna wanaotaka mbegu bora za mahindi yanazaa mawili mawili au 1 kubwa sifa ya mbegu hizi zinazonunuliwa madukani inakuwa ni ndogo zilizopitishwa na ni bora kwa hiyo unapopanda muhindi ule kama ukihudumia vizuri kwa palizi na kuweka busta labda au mbolea unajaza sana? Lakini kama umepanda kwa mstari na vipimo ulioshauriwa na bwana sana tunataka mtu wa kwenye eneo la eka.
1 tunategemea mtu avune gunia 15 mpaka 20 au 25 changamkia fursa hii kwa kuwasiliana nasi kwa namba za simu 0, 7 5, 7 16, 45, 54 na kwa wateja wa Biharamulo unaojumuisha hospitali na maabara za sayansi.
Serikali ya mkoa wa Kilimanjaro imepita.
Kutoa hati kwa baadhi ya wananchi wa kata ya pasua na martini gani katika manispaa ya moshi.
Maelfu ya wananchi wa Kenya wamejitokeza katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuaga mwili wa waziri mkuu mstaafu Raila Odinga aliyefariki dunia mapema siku ya Jumatano nchini india.
Mapema leo baada ya kuwasili kwa mwili wa odinga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta shughuli za anga zilisitishwa kwa saa kadhaa kutokana na idadi kubwa ya wananchi kuingia kwa nguvu katika eneo lililokatazwa na vyombo.
Vya usalama.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, mamlaka ya viwanja vya ndege ya Kenya ya kcb a imesema kundi kubwa la waombolezaji lilivamia maeneo ya uwanja yaliyokuwa yamewekwa vizuizi vya kiusalama hatua iliyolazimu uwanja kufungwa kwa tahadhari kutoa nafasi kwa vikosi vya usalama kurejesha utulivu.
Awali ratiba ya kuaga mwili wa hayati Raila Odinga ilipangwa kufanyika katika viwanja vya bunge la nchi hiyo, lakini kutokana na idadi kubwa ya wananchi waliojitokeza, shughuli hizo zimehamishiwa katika uwanja wa michezo wa moi kasarani.
Rais wa Kenya William Ruto ametangaza siku 7 za maombolezo ya kitaifa na bendera kupepea nusu mlingoti.
Na kusema kuwa mwili wa marehemu raila amolo odinga utazikwa siku ya Jumapili kijijini kwake bondo kwa heshima zote za kiserikali.
Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji Tanzania tbc, dokta ayub rioba chacha.
Amesema waziri mkuu mstaafu wa Kenya hayati Raila Odinga alikuwa ni mwanamajumui ambaye aliipa.
Na kutaka nchi za Afrika ziungane.
Akizungumza katika kipindi cha jambo Tanzania cha tbc one dokta rioba amesema odinga alikuwa ni mwanajumuiya ambaye aliupenda uafrika na fikra zake hazikuwa kwa Kenya pekee bali hata kwa nchi ya.
Ameeleza kuwa hayati odinga ni mmoja kati ya watu walioamini Afrika kuungana zaidi na ndio maana hata mwaka 2018 Umoja wa Afrika AU alimteua kuwa mwakilishi katika mpango.
Katika kutokana na mchango wake.
Raila Odinga mwenye umri wa miaka 80 amefariki dunia siku ya Jumatano 10/15 mwaka 2025 nchini india alikokuwa akipatiwa matibabu.
Kagera.
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ccm samia suluhu hassan.
Ameahidi kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa mabweni ya shule za sekondari na huduma za umeme katika maeneo ya visiwani.
Akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu mgombea samia amesema.
Miradi hiyo ikikamilika itainua ustawi na uchumi wa wakazi wa Kagera ikiwemo kupata umeme wa uhakika.
Sekta ya uvuvi samia amesema serikali yake itawajengea uwezo na nyenzo wavuvi wa mkoa wa Kagera kwa kufanya uvuvi wa kisasa.
Mgombea huyo wa urais kupitia ccm imehitimisha kampeni zake mkoani Kagera kwa kunadi sera za chama chake katika wilaya za muleba, misenyi Karagwe.
Na bukoba mjini.
Dar es Salaam.
Umoja wa mataifa kwa kushirikiana na Umoja wa vyombo vya utangazaji kusini mwa Afrika 7.
Umesema utatekeleza vipaumbele vya kitaifa ili kwenda sambamba na vipaumbele vya Umoja wa mataifa vya maendeleo endelevu sdgs katika ukanda wa Afrika.
Mpango huo mpya unatoa mwongozo wa vitendo kwa nchi kuunda na kutekeleza miradi ya kitaifa kupitia vyombo vya habari.
Ili kuongeza uelewa ushirikishwaji na athari kuhusu mahitaji muhimu katika kuharakisha maendeleo.
Wakizindua mpango huo kupitia mkutano kwa njia ya mtandao mkurugenzi mkazi wa Umoja wa mataifa kanda ya Afrika yakub el hilo.
Amesema kila nchi shiriki itazingatia mada ya maendeleo endelevu ikiwemo ajira kwa vijana usawa wa kijinsia na uhimilivu wa mabadiliko ya tabia nchi.
Kwa upande wake rais wa Umoja wa vyombo vya utangazaji kusini mwa Afrika 7, Stanley s milo amesema ili kuongeza mwonekano na mchango chanya kila mara itakuwa na shughuli itakayohusisha.
Kampeni kupitia vyombo vya habari.
Kilimanjaro.
Serikali ya mkoa wa Kilimanjaro imepiga imepima viwanja na kutoa hati kwa baadhi ya wananchi wa kata ya pasua na matindi gani katika manispaa ya moshi.
Wakizungumza na tbc wananchi waliopimiwa maeneo yao wamesema kabla ya kufanyika kwa upimaji huo walikuwa na mashaka baada ya kuwepo kwa minong'ono ya utapeli wa kupata hati za kumiliki.
Wamesema zoezi la urasimishaji wa maeneo.
Limekuwa ni mwelekeo chanya wa kumaliza mgogoro migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ni changamoto katika makazi yao.
Kwa muda mrefu.
Unaendelea kusikiliza taarifa ya habari kutoka tbc taifa.
Iringa.
Serikali imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa miundo mbinu ya chuo kishiriki cha elimu mkwawa unaojumuisha ujenzi wa hospitali na maabara za sayansi kuwashika kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 30.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, naibu mkuu wa chuo cha elimu mkwawa muce profesa methodist semiono.
Amesema mradi huo unasimamiwa na wizara ya elimu sayansi kupitia mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi.
Mradi huo unatarajiwa kuleta tija kubwa na mageuzi chanya katika sekta ya elimu.
Unaotarajiwa kukamilika mwezi juni mwaka 2026.
Arusha.
Wakadiriaji na wabunifu majengo wameshauriwa kuzingatia mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kujenga majengo salama na kudhibiti kampuni zisizo na usajili halali wa majenzi.
Akifungua mkutano wa 6 wa mwaka wa bodi ya wabunifu na wakadiriaji majengo jijini Arusha.
Naibu katibu mkuu ofisi ya rais tamisemi, mhandisi rogatus mativila.
Amesema wahandisi wawe chachu ya kulinda taaluma yao kwa kuzingatia sheria ili kuepuka majanga na maafa.
Matt vile amesema wakadiriaji na wasanifu majengo wanatajwa kuwa ni kada muhimu katika usalama wa majengo.
Hivyo kampuni zisizo na ubora zinazojishughulisha na ujenzi zidhibitiwe.
Ametoa wito kwa wabunifu na wakadiriaji majengo kusimamia nidhamu ya utani ya utaalamu wao 4 na kwa wale watakaokiuka wafutiwe usajili wao.
Kigoma.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma, balozi simon sirro.
Amewaalika wawekezaji kuwekeza mkoani humo kwa kuweka kwa kuwekeza ili uwekezaji huo uendelee kuwa ni nguvu muhimu ya kiuchumi kwa maendeleo ya taifa.
Balozi sirro ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo na mkufunzi mkuu na kaimu mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu cha jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania jwtz kanali jafari Ramadhani ambaye yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya mafunzo ya ndani.
Amesema uongozi wa mkoa wa Kigoma unaendelea kutumia tafiti kutoka kwa wataalam kubaini vyanzo vya kiuchumi na kuruhusu ubunifu na kutumia nguvu kazi iliyopo ili kuongeza kipato cha wananchi na maendeleo ya taifa.
Aidha balozi siri wameipongeza serikali kwa jitihada za kuimarisha sekta ya uwekezaji ikiwemo kuboresha miundombinu ya uchukuzi.
The.
Salaam.
Mamlaka ya udhibiti mkondo wa juu wa petroli pura.
Umesema wanatarajia kuchimba visima vitatu vya gesi asilia katika kijiji cha Ruvuma mkoani Mtwara.
Akizungumza jijini dar es Salaam, mjiolojia mwandamizi kutoka kura, ebenezer mollel amesema mamlaka hiyo itaendelea kutoa elimu kwa wananchi ili kufahamu miradi inayotekelezwa kabla ya kuanza utekelezaji wake.
Zoezi la kutoa elimu ya uelewa wa mradi wa uchimbaji wa visima vya gesi asilia katika kitalu cha mnazi bay inafanyika katika vijiji vitatu vya ruvu ula msimbati na mtandi vilivyopo katika kata ya msimbati mkoa wa Mtwara.
Washington.
Nchi 14 za Afrika wanachama wa shirika la fedha duniani.
Mf.
Zimekubaliana kuimarisha mikakati ya kukuza uwekezaji kutoka sekta binafsi na kuimarika mifumo ya makusanyo ya mapato ya ndani katika.