Safina Radio - 2025-10-17T13:00:00.586Z
Safina Radio
Arusha
Significant Highlights
1 HighlightThese are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.
Transcription
Ujumbe huu umeletwa kwenu na wizara ya afya kupitia idara ya kinga sehemu ya elimu ya afya kwa umma.
The.
Sassari wa habari muhtasari wa habari.
Imetimia 10:00 kamili jioni habari kwa ufupi.
Gavana wa benki kuu ya Tanzania, Emmanuel tutuba amekanusha taarifa zinazodai kwamba benki hiyo inachapisha fedha za kusambaza kwa ajili ya kugharamia uchaguzi akisema kuwa taarifa hizo ni upotoshaji hivyo zipuuzwe.
Tutuba ametoa kanusho hilo leo kupitia taarifa iliyotolewa kwa umma na benki hiyo ambayo pia imeeleza kuwa wananchi wanapaswa kupuuza ikiwa ni pamoja na kuwakemea wote wanaopotosha umma kuhusu swala hilo.
Jeshi la polisi Tanzania limetoa kauli kutokana na taarifa zilizotolewa na mwanasiasa na mjumbe wa kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, godbless lema kupitia mitandao ya kijamii akidai kuwa usalama wake upo hatarini kupitia taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo kutoka makao makuu ya polisi Dodoma.
Msemaji wa jeshi hilo, david misime amesema jeshi linafuatilia kwa karibu taarifa hizo huku likimtaka lema kufika kituo cha polisi.
Ili kutoa maelezo rasmi kwa mujibu wa taratibu za kisheria.
Serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu, kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu.
Imetangaza kupandisha kima cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi kutoka shilingi laki 2 75 $0.60 hadi shilingi laki 3 58, 322 ikiwa ni ongezeko la 33/100 nukta 4.
Hayo yameelezwa na waziri ofisi ya waziri mkuu, kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu ridhiwani Kikwete ambapo amesema kuwa ongezeko hilo.
Ni kwa.
Sekta binafsi ili kutekeleza kwa matakwa ya kisheria.
Mjane wa waziri mkuu wa zamani na kiongozi wa upinzani nchini Kenya, ida odinga amesema marehemu Raila Odinga alikuwa mtu aliyependa aliye asiyependa asiyependa tamaa na vitendo vyovyote vinavyoharibu maadili katika jamii.
Akizungumza leo wakati wa ibada ya kitaifa ya kuaga mwili wa raila katika uwanja wa nyayo jijini Nairobi, ida amesema mumewe alikuwa mstari wa mbele kupiga unafiki rushwa.
Ubadhilifu wa mali ya umma.
Na urusi imeshambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine kwa mamia ya droni za dazen na makombora katika mashambulizi yake ya hivi karibuni zaidi dhidi ya.
Gredi za umeme za kiev mashambulizi hayo yamesababisha mikoa 8 ya Ukraine kukosa umeme huku kampuni kubwa ya binafsi ya nishati nchini humo ikiripoti kukatika kwa umeme katika mji mkuu wa kiev na kusitisha uchimbaji wa gesi asilia katika mkoa wa kati wa poltava kutokana na mashambulizi hayo.
Na huo ndio mwisho wa habari kwa ufupi kutoka hapa redio safina kwa taarifa kamili ya habari ungana nasi ifikapo 02:00 kamili usiku mimi ni miriam sarakikya.
Mara 100 nukta 5.
Tumuone basi mrejee ili dhambi zenu zifutwe zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake mwaah toba ni njia ya kwanza.
The.
The the.
20, 25.
Mwaka 20 20 na.
Nitafikia hatma yangu iliyotupu 10 dalili za mtu ambaye hatma yake imevamiwa.
Nimesema dalili za mtu ambaye hatma yake imevamiwa hapa ni kwa kutaja tu msikilizaji wetu hatuta aelezea hatima iliyoharibika mtu huishi maisha ya kuiga wengine hana maamuzi yake mwenyewe katika maisha ni mtu anayeishi kwa ubishi wa kila jambo mtu ambaye hatima yake imetekwa anaishi kwa kulinganisha maisha yake na wengine.
Hatma iliyoharibika mtu anaishi kwa kubahatisha tu ni mtu wa kujitenga na wengine au kutaka kuhurumiwa sana kila wakati mtu hatima yake iliyoharibika ni mlalamikaji sana hata ukimtendea jema hana shukrani maana haoni uthamani mtu hatima yake imeharibika ni mtu wa kuvunjika moyo haraka tena saa zote na huyu mtu anahisi kukataliwa na wengine.
Mtu kama huyu akianzisha jambo hawezi kulikamilisha na kadhalika na kadhalika msikilizaji wetu ili mradi tu wakati wote ni mtu wa wasiwasi.
Hebu tutaamka useme kwamba nitafanya bidii na Mungu anisaidie 20 25 nitafikia hatima yangu iliyotukuka.
Vijana leseni mchanga huku simba mwanangu nimekukataza kucheza huko wanakojenga mama seba injinia wa kesho huyu.
Subiri anakuwa fundi ndio maana sitaki acheze hapa vumbi linamfanya hakohoi bosi hiki sio kikosi cha kawaida unasikia anavyopumua haraka na kwa shida.
Inaweza kuwa dalili ya nimonia ni hatari kwa watoto nifanyeje mpeleke kituo cha huduma za afya akapata vipimo na matibabu umejuaje wakati wewe ni fundi tu? Mwanangu alikuwa na dalili kama hizi nilipompeleka kituo cha afya niliambiwa na nimonia na alitibiwa bila malipo kweli hakufai kwa wiki ndiye rafiki nampeleka sasa hivi kama mtoto wako anakohoa na kupumua haraka na kwa shida yuko kwenye hatari ya kupoteza maisha mpeleke kituo cha huduma za afya kwa matibabu zaidi tunza afya yangu ujumbe huu umeletwa kwenu na wizara ya afya kupitia idara ya kinga.
Sehemu ya elimu ya afya kwa.
Oh my.