FADECO Community Radio - 2025-11-24T20:00:00.466Z
FADECO Community Radio
Bukoba
Transcription
Kwa hiyo kilichoikuta sisi mawe yalionyeshwa sana kama kama muda kama 01:00.
Kwa hiyo maharage yote hayapo mahindi hatuna hatuna hata hata na na na migomba yote ilianguka chini.
Kwa hiyo sasa hivi tuko tunalia hatuna chochote cha kutusaidia sisi huku ambao sisi sote tuko mahali hapa ni sisi sote ni majirani kibaka kabanga a na kabanga b kwa hiyo tunaomba msaada serikalini viongozi wa tuangalie sisi hatuna lolote labda kama upande wa nyumba kama sisi huku nyumbani wengine nyumba zipo sawa lakini mazao yote yaliharibika kwa hiyo tunaomba mtusaidie kama serikali, viongozi wa serikali, watu waangalie kwa hilo sisi yaani tunalia kila siku kila siku.
Tunaomba mtusaidie asante akaona kwa jina naitwa willy Patrick kutoka kitongoji kabanga sisi ambao tulikuwa mahitaji yetu ambayo tulikuwa tunahitaji serikali watusaidie sisi angalau kwa sababu yale mazao kwenye maharage tulikuwa tunategemea kusomesha watoto hata ya mahindi tulikuwa tunategemea kwa ajili ya chakula hata hizi zikawa tulikuwa tunataka tunasomesha watoto halafu tunapata michango mingine ya na ni kuhudumia kwenye kijiji sasa sasa hivi kitu mawazo yetu ambayo tulikuwa tunataka serikali itusaidie.
Angalau serikali ingetusaidia tukamaliza angalau mwaka mzima kwa sababu mwaka mzima kwa ajili ya kwa ajili ya kupunguzia hii michango kwa sababu inawezekana siku za mbeleni tukapata changamoto la michango.
Sasa tulikuwa tunategemea mazao tutumie watoto tuwalishe watoto sasa hii migomo yote imeanguka sisi tutaishi wapi? Tulikuwa tunataka serikali itusaidie kwa hili janga angalau atuepushie michango inawezekana mbeleni akaingia michango mingine kwa ajili ya kuchangia kijiji au kitongoji sasa serikali si matakwa yetu tulikuwa tunataka angalau serikali itusaidie hatuna tuna watoto nyumbani wanahitaji kula chakula huu hii na ni hii wiki tukimaliza kula chakula ambayo tulikuwa tumetunza ndani ya familia kikiisha si hatutaendelea kutekelezeka kwa hiyo tulikuwa tunahitaji angalau serikali watusaidie.
Faili kwa hili tatizo ambalo limepata mawe na nina cha kupata chafu.
Asante haya abdi vitambulisho unaitwa nani na utatuambia kilichotokea na mpaka sasa unaishi mimi naitwa stadi.
Ushairi ninatokea kitongoji kabanga b kijiji nyarutuntu kata yanakwenda kwa kweli sisi kilichokupata ni kitu ambacho tulikuwa tuna akisikilizia kwa sehemu za mbalimbali lakini awamu hii kwa kweli tumekumbwa na janga kubwa.
Upepo umevuma na mawe yakadondoka kwa kweli wametuacha midomo wazi kila kitu kimeharibika mahindi yameharibika mikopo maana yaani kila kitu maharage yao yote sasa ndo usiseme yaani tulikuwa tunatarajia kuvuna lakini kwa awamu hii kwa kweli tunaomba serikali tuangalie itusaidie maana ni changamoto ni changamoto kubwa tuna yaani vitu vingi vinategemea lakini.
Hatuna hatuna namna ni hilo limeshatokea kwa kweli serikali itusaidie kwa sasa ana watoto wangapi? Labda na kwa sasa mnaishije naamini nina watoto wawili na mke wangu tunaishi mimi nyumba haijadondoka lakini migomba yote iko chini yaani kila kitu kiko yaani kimeharibika migomba iko chini mahindi yameharibika mengine yamekatika yalikuwa yameanza kuchanua kwa hiyo yaani kwenye upande wa mahindi na migomba hatuna tumaini tena mpaka.
Mpaka Mungu akipenda mpaka mwaka kesho nadhani hapo ndio tutakuwa angalau lakini mwaka huu kwa kweli tumepata taabu.
Mashauri ambayo ni kamati ya maafa ya wilaya na pia tuko na Mheshimiwa katibu wa mbunge.
Wamekuja kusalimia na kutupa pole kwa maafa ambayo yametokea.
Naomba niwakaribishe kwanza wajitambulishe halafu tutaweza kuendelea mbele.
Tupo na jamani habari za mchana.
Poleni na jua pia poleni na maafa.
Mimi kwa majina yangu naitwa Emmanuel lyanga.
Ni mratibu wa maafa katika halmashauri ya wilaya ya kyerwa.
Tulishafika kipindi fulani jana kujuzu ile.
Tarehe 21.
Tukatembea.
Kwenye maeneo yote.
Ambayo mvua ilinyesha na ikaleta maafa.
Tunaendelea kuwapa pole.
Baada ya kupata taarifa.
Ili taarifa ikawa imefika sehemu mbalimbali.
Sasa baada ya kufika sehemu mbalimbali.
Wenzetu washikadau.
Ee wana maendeleo wenzetu wa wilaya ya kyerwa wakasema na wao waje watutembelee.
Nitaongea mbele zaidi tunakoelekea lakini hapa kumeambatana.
Na mbunge nikisema mbunge ana mwakilishi wake, yaani katibu wa Mbunge katika jimbo hili la kyerwa.
Mbunge wetu Mheshimiwa.
Aah harold nsekela.
Mheshimiwa hali nsekela.
Ametuma ujumbe.
Kuja kuwashika mkono wenzetu wa kijiji cha nyarutuntu kitongoji cha kinaitwa kabanga b.
Kwa haya yaliyowakuta.
Lakini ni poleni sana.
Kabla sijachukua muda mrefu kwa vile anasema nitaongea huko mbeleni basi nimkaribishe katibu wa mbunge.
Ili awasalimie tuendelee na utaratibu nawashukuru sana.
Tanzania.
Samatta.
Tuma mtu.
Kitongoji cha kabanga b poleni sana.
Kwa mambo yaliyowapata.
Mheshimiwa mbunge wetu wa jimbo la kyerwa.
Ndugu hadid mussa nsekela.
Pamoja na timu hii ya maafa ya wilaya.
Ametutuma tuje kwenu kuwapa pole kwanza.
Lakini juzi alipowasili na Mheshimiwa mkuu wa wilaya.
Na mkuu wa wilaya akamwambia kwamba tayari wameshatuma timu ya kuja kufanya tathmini kwa maafa haya yaliyotokea katika kitongoji cha kabanga 2.
Na leo.
Tumekuja pamoja na timu hii.
Kwa ajili ya kuwapa mkono kidogo tu ambacho Mheshimiwa mbunge wetu wa jimbo la kyerwa amenituma kwenu kwa ajili ya ku ya hatua ya dharura kwa sababu tumepata taarifa.
Kuna nyumba zimezuka lakini bado mlipata mvua ya mawe.
Na imeathiri mazao yetu.
Sasa kutokana na hali hiyo.
Mheshimiwa mbunge kuna baadhi ya vitu amenituma.
Viwe sehemu ya hatua ya mwanzoni kabisa ya dharura wakati utaratibu mwingine wa serikali pamoja na ofisi ya mbunge wakienda mchakato wa kuangalia namna ya kusaidia zaidi baada ya kupata tathmini ya kujiridhisha kada zote zilizoathirika nisiwe na mengi ya kuzungumza labda kwamba utakuwa nusu nusu.
Tutakuwa baadaye kwa hiyo hizo ndio salamu za Mheshimiwa mbunge anawapa pole lakini amesema tu.
Siku akitoka bungeni lazima sike na kuwapa pole yeye mwenyewe wakati mimi ninatumia.
Tunakushukuru kama alivyosema hapa katibu wa mbunge bado tunaendelea na zoezi la tathmini sindio tulipita baadhi ya kaya tukafanya tathmini.
Kwa sasa basi mimi iliyokamilika.
Ambao tunaweza alitolea taarifa ni kaya 12.
Ambazo zenyewe zimeathirika kwa namna.
Zaidi kwanza nyumba zimebomoka.
Mazao yameharibika.
Lakini kuna kaya ambazo zimeathirika.
Kwa kwa mazao.
Sio nyumba nasema uongo.
Sehe kwa hiyo sasa ndugu zangu pamoja na kwamba tumekuja wote wana kitongoji na wanakijiji cha nyanya.
Rutundu tunawaomba kwa leo tutaanza na zoezi la hao ambao tayari tulishafika 1 kwa 1 mpaka wapi? Mpaka kwao wale ambao walikuwa wameathirika.
Nyumba.
Pamoja na mazao sindio.
Wale wengine ambao mazao waliathirika mazao bado tunaendelea na tathmini mpaka sasa tumeshafikisha watu 30 kwa hiyo tunaendelea kuwafikia wengine ambao mazao yao imefanya nini.
Yameathirika kwa hiyo tuwaombe muda wowote tutakapokuwa tumekamilisha tuna wao tunawaita hili na wao waje hapa faini wapokee mkono wa pole kutoka kwa Mheshimiwa mbunge hapa tumeelewana kwa hiyo kwa sasa tutaanza na zile kaya ngapi.
12 zilizoathirika majengo.
Pamoja na nini? Na mazao wale walio washirika mazao peke yao.
Tunaomba tukamilishe tathmini ndani ya muda mfupi kufikia kesho na keshokutwa.
Tutakuwa tunakamilisha na wao watakuja kupokea mkono wa pole jamani tumeelewana eeh kwa hiyo mtuvumilie mmekuja hata kama umekuja ulikuwa tu kwenye upande wa mazao lakini uliitwa.