Flamingo FM - 2025-10-16T04:00:00.542Z
Flamingo FM
Mwanza
Transcription
Mbalimbali nchini vijitahidi maendeleo na kusisitiza amani.
Katibu mkuu wizara ya nishati, esmi mramba amesema inaendeleza jitihada za kuzalisha umeme kwa kutumia mionzi ya jua na upepo.
Serikali mkoani Ruvuma imesema imeongeza vituo vya kusambaza mbolea za ruzuku katika maeneo ya Vijijini kabla ya kuanza msimu wa kilimo wa mwaka huu.
Na waziri mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake bondo nchini Kenya.
Habari kamili.
Mbeya.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF gombo samandito gombo ameahidi kuvifufua viwanda vyote vilivyokufa nchini mkoani mbeya iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa 10/29 mwaka huu.
Akinadi sera za chama hicho kwa wananchi wa mbeya eneo la kabwe samandito pia ameahidi kuondoa baadhi ya kodi kwa wafanyabiashara ili kukuza uchumi.
Aidha mgombea huyo wa urais kupitia chama cha CUF amesema atahakikisha anaboresha miundombinu ya usafiri na usafirishaji nchini.
Na Tanzania kupitia chama cha mapinduzi systems, samia suluhu hassan ameahidi kutumia rasilimali zilizopo mkoani Kagera ili kuendeleza uchumi mkoani humo.
Akihutubia wananchi katika mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu katika wilaya ya missenyi na Karagwe mkoani Kagera, samia ameahidi kusambaza zaidi miche 2,000,000 ya kahawa na miche laki 5 ya mparachichi ili kuufanya mkoa huo kuzalisha mazao hayo ya biashara pamoja na zao la vanilla.
Kuhusu uwezeshaji wa wananchi kiuchumi, samia amesema ilani ya chama cha mapinduzi imetekelezwa kuanzishwa kwa mfuko wa shilingi bilioni 200 kwa ajili ya mfuko wa wafanyabiashara wadogo.
Aidha ameahidi kujenga uwanja wa ndege katika wilaya ya misenyi pamoja na kuboresha bandari ya bukoba na kemondo bay ili kuboresha huduma za usafirishaji na uchukuzi.
Kilimanjaro.
Chama cha nld imeahidi kushusha bei ya umeme putin nchini ili wananchi wapate kutumia majiko ya umeme na kuondokana na matumizi ya mkaa ambao ni chanzo cha uharibifu wa mazingira ikiwa ni pamoja na kutoa ruzuku kwa wawekezaji wa gesi ili wananchi wapate kutumia gesi hiyo bure.
Na hiyo imetolewa na mgombea urais wa chama cha nld doyo hassan doyo wakati akizungumza na.
Katika soko la manyema moshi mjini mkoani.
Katibu mkuu wa wizara ya nishati, felchesmi mramba amesema serikali kukamilisha mradi wa nishati itokanayo na jua unaotekelezwa katika kijiji cha ngunga wilaya ya kishapu mkoani Shinyanga kutatoa nafasi kwa serikali kufikiria kuanza ujenzi wa mradi mwingine wa nishati ya umeme utokanao na upepo katika mikoa ya njombe na Singida.
Mramba amesema hayo baada ya kutembelea mradi huo unaotarajiwa kuzalisha megawati 150 mara utakapokamilika mwezi Machi mwaka 2026.
Ameongeza kuwa Tanzania itakuwa nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki wana mradi wa nishati ya jua ambalo litasaidia kuongeza wigo wa nishati ya uhakika katika maeneo yote nchini.
Mradi huo utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 300 utakapokamilika utaisaidia Tanzania kuondokana na utegemezi wa vyanzo vingine vya umeme ikiwemo vile vinavyotegemea maji na gesi ambavyo hupata hitilafu baadhi ya nyakati.
Shilingi bilioni 54 nukta 5 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kilwa na daraja la mto mzinga lililopo katika wilaya ya temeke mkoani dar es Salaam na hivyo kuondoa adha ya foleni ambayo imekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi wanaotoka wilaya na mikoa ya kusini mwa jiji la dar es Salaam.
Kufuatia kero hiyo, mkuu wa mkoa wa dar es Salaam, Albert chalamila.
Akiambatana na meneja wa wakala wa barabara nchini tanroads mkoa wa dar es Salaam alinanuswe kayamba ametembelea eneo hilo kuahidi kuwa barabara hiyo itajengwa njia 6 kwa kiwango cha lami.
Viongozi hao wamesema ujenzi wa barabara hiyo kuanzia kongowe hadi mbagala rangi 3 yenye urefu wa kilomita 3 nukta 8 unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 15.
Wananchi wa maeneo ya mzinga na kongowe wamesema ufinyu wa barabara umesababisha poleni katika maeneo hayo.
Aidha mkuu wa mkoa wa dar es Salaam, Albert chalamila ametembelea mradi wa ujenzi wa madaraja ya tungi na nguvu wa wilayani kigamboni, kigogo na jangwani na kujiridhisha na ujenzi huo huku akiwahimiza wakandarasi kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati.
Unaendelea kusikiliza taarifa ya habari kutoka hapa tbc taifa.
Nairobi.
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake bondo nchini Kenya.
Taarifa iliyotolewa na makamu wa rais wa Kenya.
There kindiki imesema mwili wa odinga unatarajiwa kuwa siri asubuhi hii kutoka nchini india alipofariki dunia.
Heshima za mwisho zinatarajiwa kuanza kutolewa leo 06:00 mchana katika majengo ya bunge la Kenya mjini Nairobi.
Habari zinasema ibada ya mazishi ya kitaifa imepangwa kufanyika hapo kesho siku ya ijumaa kwenye uwanja wa nyayo na mwili wake utazikwa siku ya Jumapili tarehe 19.
Wizara ya nishati mhandisi innocent luoga anasema serikali kwa kushirikiana na washirika wa maendeleo wamejenga maabara ya kupima matumizi bora ya nishati nchini.
Mhandisi iliyoaga amesema ujenzi wa maabara hiyo umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 6.
Lengo likiwa ni kupunguzia wananchi mzigo wa gharama za matumizi ya nishati ya umeme na kutunza mazingira nchini.
Alisema maabara hiyo itasaidia kudhibiti bidhaa duni kuingia nchini dhibiti hewa ya ukaa kupunguza upotevu wa umeme na kuimarisha uwezo wa ndani wa kupima vifaa vya umeme vinavyotumika nchini.
Vifaa vitakapopimwa ili kudhibiti matumizi bora ya nishati ya umeme ni pamoja na majokofu, taa theni, majiko na viyoyozi.
Imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa miundo mbinu ya chuo kishiriki cha elimu mkwawa muce.
Ikiwemo hostel na maabara za sayansi unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 30.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa naibu.
Katibu mkuu wa chuo cha elimu mkoa wa musi profesa method simion amesema mradi huo unasimamiwa na wizara ya elimu, sayansi na teknolojia kupitia mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi heat.
Profesa semiono amesema kukamilika kwa mradi huo utawezesha kuanzishwa kwa programu mpya mbalimbali na kuongeza uwezo wa chuo katika kuzalisha wataalam wenye ujuzi na umahiri unaohitajika katika uchumi wa kisasa.
Kwa mujibu wa profesa semiono, hosteli zikikamilika zitachangia ongezeko la udahili wa wanafunzi.
5 hadi kufikia 10,000.
Mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi juni mwakani na kuleta tija kubwa na mageuzi katika sekta ya elimu nchini.
Hofu iliyokuwa imetanda kwa baadhi ya wananchi wa kata ya pasua na bomba boma mbuzi katika manispaa ya moshi ya kupoteza maeneo imeondoka baada ya serikali kuwapimia viwanja vyao na kukabidhi hati miliki.
Akizungumza na tbc wakati wa kukabidhiwa hati miliki zilizorasimishwa wananchi hao wamesema kumekuwa na minong'ono mingi juu ya utapeli wa upatikanaji wa hati miliki hali ambayo ilikuwa ikiwapa hofu.
Umesema kwa sasa ni furaha kwani wamepata hati zao na wameondokana na hofu iliyokuwa nayo juu ya maafisa hao waliokuwa wakiwapigia viwanja vyao ni matapeli.
Katibu wa ardhi manispaa ya moshi, emily Richard amesema bado zoezi la upimaji wa viwanja katika manispaa hiyo inaendelea ambapo viwanja 186 vimepimwa na kusajiliwa.
Kamishna msaidizi wa ardhi mkoa wa Kilimanjaro, rehema mdee amesisitiza wananchi hao kufuata sheria.
Kama ongezeko la vituo vya kusambaza mbolea za ruzuku takriban 400 katika maeneo ya Vijijini kabla ya kuanza msimu wa kilimo wa mwaka huu ili kuhakikisha wakulima wote wanapata mbolea kwa wakati na kufanya mkoa huo kuendelea kuwa kina.