Blog.

Radio Uhai - 2025-10-17T12:00:00.545Z

Radio Uhai

--:--
--:--

Significant Highlights

2 Highlights

These are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.

Transcription

None.

The.

The.

Teni hili inawatangazia kozi ya pre form one kwa mwaka 2025 kozi hii itaanza tarehe 20 mwezi wa 9 hadi tarehe 12 mwezi wa 12 mwaka 2025 ada ya prefer mwani ni shilingi laki 2 kwa bweni na shilingi laki 1 na nusu kwa kuutwa wanafunzi watakaosoma prefer mwani shule ya sekondari tenshin watapewa kipaumbele kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2026 nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza.

Kidato cha pili na cha 3 kwa mwaka 2026 zinapatikana ada zetu ni nafuu sana na hulipwa kwa awamu 4.

Shule ipo ipuli manispaa ya Tabora kuwasiliana na mkuu wa shule kwa simu namba 0, 6, 21, 15, 51, 98 au kwa meneja wa shule 0, 7 64 99 45, 36 au tembelea wavuti yetu ya www.

10 Hill Schools dot dot Z.

Alitemi hill na nyote mnakaribishwa temi hill schools, transformation and accountability.

Yeah.

Tumia mitandao ya kijamii kwa fursa ukipokea ujumbe wa uzushi au upotoshaji usio usambaze futa delete kabisa ukipokea ujumbe wenye chuki au udhalilishaji usio usambaze futa delete kabisa ukipokea picha mnato au jongefu zilizobadilishwa au kutengenezwa na akili unde kwa lengo la upotoshaji usisambaze hii futa delete kabisa ukipokea maudhui yenye utata.

Au uchochezi usisambaze futa lility kabisa tumia mawasiliano kujiletea maendeleo mawasiliano ni fursa ujumbe huo umeletwa kwenu na mamlaka ya mawasiliano Tanzania ttcl RA.

Uongozi wa shule ya tumaini model open School iliyopo manispaa ya Tabora ambayo ipo chini ya taasisi ya elimu ya watu wazima inatangaza nafasi za masomo ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha 4 kwa mwaka wa masomo unaoanza Januari 2026 kama ifuatavyo masomo ya kidato cha kwanza na kidato cha pili kwa mwaka mmoja maarufu kama kyutie masomo ya kidato cha 3 na kidato cha 4 kwa mwaka mmoja.

Wanafunzi wa kike ambao hawakumaliza kidato cha 4 kutokana na changamoto mbalimbali watasoma na kupatiwa nafasi za malazi bure.

Nafasi za malazi zinapatikana kwa wanafunzi wa kike pekee wanafunzi wote watasoma kompyuta na ujasiriamali bure ili kupata stadi za kujitegemea baada ya kuhitimu masomo yao ya sekondari.

Shule yetu inatoa taaluma bora na ina mazingira na walimu bora kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0, 7, 41, 64, 66, 59 au 0 6 59 100 495 na 0, 6 82 53 37 0 6.

Wote mnakaribishwa.

To my any model open school.

Yes ebana dakika 5 tayari zimeweza kukatika tangu ilipotimu 09:00 kamili za mchana na hivi ndivyo ambavyo tunaendelea na neema ya mchana kwa siku hii ya leo langu jina ni austin yanga inaendelea kukupongeza wewe ambaye umeendelea kuwa pamoja nasi tangu mishale ya 08:00 kamili ambapo tumeanza safari hii na tumeanza mchakamchaka huu wa neema ya mchana lakini pia wewe ambaye ndio kwanza unafungulia redio yako hujachelewa sana kipindi hewani ni neema ya mchana na hivi ndivyo ambavyo tunaendelea kuburudika na kuhabarika lakini pia tunaendelea kupata neema mbalimbali yeye kupitia kipindi cha neema ya mchana.

Basi na kwa wakati huu kupitia nambari za sehemu za 0, 7, 46, 21, 96, 77 na ile ya 0, 7 83 89 34, 34 itakuwa na kupokea simu yako hapa ili uweze kutuma salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Piga simu yako uweze kutuma salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki nikianza na huyu wa kwanza kwenye lines mwalo.

Namwambia tuko pamoja namba 2 nitamkuta huu mfuniko wangu isaya saulo anapatikana makombora amewaambia mkuu tuko pamoja namba 2 nimkute huyu hakuipa casto fredy likitembea kwa wajanja hapa namwambia mkuu endelee endelea sana kuuza hiyo juisi ya ya pilipili katika ujumbe mmh.

Tuko pamoja hii sauti ndio yaami sahani karume na sahihi auti shukran sana.

Wakati ndio huu wawe kuweza kupiga simu hapa studio na kuweza kutuma salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki kupitia nambari zile zile ambazo nimekutajia 0, 7, 46, 21 96, 77 na ile ya 0 7 83 89 34 34 kwenye laini ya simu low.

Habari za hapo studio habari za hapa studio ni njema sana habari ya kwako na habari yangu mimi ni nzuri unaongea na Ramadhani amani anapiga simu kutoka mtibora center karibu waweze kutuma salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Asante za kwanza ziende kwa madogo kulwa anapatikana huko kwake huko.

Za pili zimwendee huyu gasto fredrick mzee kutengeneza juisi ya pilipili anaonyesha hapo itemba na 3 na za mwisho zimwendee ndugu yangu mmoja anaitwa shija kasasi.

Pia neno namtakia wikendi njema.

Ya.se kwenye laini ya simu allow.

Low hii habari ya kwako.

Ndio na habari za hapo 94 nukta 1 habari za hapa ni njema sana wanazungumza na 8 kutoka wapi si mwingine mama sasa ni kutoka Vijijini bora karibu uweze kutoa salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Ambao nambari ya pili baba mke wangu Ramadhani amani akiwa msingi bora na maamuzi ya kwanza nimefikia vyema.

3 na mwisho kila kaacha mwajombe bo nawaambia asaka laini habari za afya nakutakia kazi njema shemeji yangu.

Yeah.

Yesu kwenye laini ya simu allow.

Hapa studio habari za hapa studioni njema sana anazungumza na nani kutoka wapi? Asante nazungumza na mashara samuel kutoka miega uyui Tabora ndio nawakilisha kaka karibu uweze kutoa salamu kwa ndugu, jamaa na marafiki asante namba 1 nianze na huyu kijana mpole sana maana wakimuona wakipinga akiwa pale ndio wanawaambia apande hewani.

Sasa namba 2 ile michango walioitwa mwamba mpaka namwambia tupo pamoja sasa tutakwisha wahehe samora.

Mambo vipi mambo ni safi kabisa habari ya kwako.

Salama habari za hapo studio habari za hapa ni njema sana wanazungumza na 8 kutoka wapi? Bwana misosi imewatia kuongea na sauti ya mtazamaji asiyechoka pia mkulima wa mihogo mkubwa sana.