Jembe FM - 2025-12-18T15:00:00.553Z
Jembe FM
Mwanza
Transcription
Sasa na shughuli ya bodaboda leo maafisa usafirishaji kwamba kuna inabidi tukutane kidogo kijiweni tuweze kujipongeza.
Lakini vile vile bado toka shambani wapiga kazi sana basi inabidi kujiburudisha na watu wako wa karibu basi waambie kuondoa shaka timu nzima ya asilia volker tunakufuata kitaani kwako kupa bigapu ya mishe zako huku tukikupa burudani wewe na watu wako kwanza tujue asili ya vodka kinywaji cha asilia volta ina kilevi cha 37/100 nukta 5 lakini pia haina harufu kali.
Haina mning'inio na inashuka taratibu kwenye koo lako na ni burudani tosha inapatikana kwa ujazo wa mililita 200 kwa bei nafuu kabisa.
Narudia kwa bei nafuu kabisa hii ni ya chupa kwa hiyo usiogope ukiona asilia akasema bwana raha hiyo bei nafuu bonyeza chupa huwa bei zake kidogo zimechangamka bwana ya bei asilia wala haijachangamka na wanapata kinywaji murua kabisa ambacho unaweza kuiweka kwenye meza wala hata hauoni haya na kinatumika kwa watu wote wadada ee na sisi wakaka.
Mwisho kabisa asilia ni kinywaji aina ya volks chenye ubora wa kimataifa ambacho unatengenezwa na mega beverages Limited hapa hapa nchini inauzwa kwa walio na umri kuanzia miaka 18.
Tafadhali kunywa kistaarabu asilia vodka yetu kikwetu tunakwenda aje bana kwenye hekaya hekaya yes kwa siku ya leo kupitia 9 3 nukta 7 jembe fm ndani ya drive mix katika hekaya tunaingia kwenye dunia ya mila desturi na imani ambazo.
Zinazua sitofahamu tukiangazia mkoa wa mara pale 1 kati ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa tamaduni, lakini pia changamoto zinazohusishwa na mila zinazotafsiriwa kuwa na unyanyasaji au ukatili hasa kwa wanawake na watoto.
Sasa baadhi ya mila hizi kwa wenyeji ni jambo la kawaida, lakini kwa macho ya dunia ya sasa zinazua hofu na maswali mengi ni mila zipi hizo zinaathiri gani? Na je ni kweli? Kwamba bado zinaendelezwa hadi leo basi kwa siku ya leo kupitia 9, 3 nukta 7 jembe fm drive mix inazungumza na mmoja kati ya akina mama ambao wao wako katika eneo hilo la mkoa wa mara pale tumempata huyu na yeye anazungumza kuhusiana na ile nyuma nyumba ntobu yes wao wanasema kwamba wanaifurahia hii nyumbani tobo na wanaona maisha ni ya kawaida tu je nyumba ntobu iko vipi na je? Kwa sisi watu wa duniani tukitizama tunaona kwamba hii ni sawa.
Hebu tumsikilize hapa uko katika line kwa majina.
Mimi ninaitwa mgosi mwita mwilanga mimi ni mtu wa kabila ya mtuli ya watarime nakaa kata ya bumera kijiji cha.
Wa jinsia 1 watoto hao ni wa kike tu sikupata.
Kuhusiana na mume wako hao watoto wa kike wa econo wamemaliza shule.
Kubahatika kuzaa mtoto wa kiume watoto hao wawili mojawapo wa kwanza ambaye ni pendo alibahatika kuolewa november 8.
Kimila yetu mzee wangu tulikubaliana tutazitunza.
Baada ya kuzitunza tukae.
I.
Kamaliza sasa hapo masomo aitwaye hatua ya mwisho ya miranda amebahatika naye.
Tunayo akabahatika kuolewa ndio mahali ikazidi kukaa hapo mtoto wa 4 atabahatika naye kuolewa katika watoto litaona.
Tangu mwita wameolewa sasa nimebaki na mali na mali 6 ilitumwa tumekubaliana ninachowaambia kwa mzee tata mzee 3 twende kuchumbia na mume wangu tukakubaliana ataenda akakubali chumba tukakubaliana akaniuliza je una mtoto wa kiume nikamwambia mimi sina mtoto wa kiume bali nina mtoto wa mume wangu ambaye ni wa mke mwenzangu ambaye tunaitumia naye ndiye napata anyolewe huyo mkoa mwana ndiye na kukaimisha.
Moyo tulipoenda kwa ajili yangu huyo tukakubaliana alinikabidhi mkamwana hata yupo ile mali ya watoto wengine kipo ina mtunza yule mkamwana watoto ni wakubwa wamesoma nyingine yuko kwenye maendelezo wa shule.
Kwa maana hiyo maalim mila na desturi ambao hamna nyumba mtovu hao hatutaki igawanyike kwa nyumba nyingine.
Tunataka tupate maendeleo ndani ya nyumba yangu ya kikuu.
Duni imezeeka kwenda kupanga mkulima yule mkaa mwana ndiye kuolewa na nchi jana hiyo mke mwenzangu ndiye atakaye kuwa anaangalia mashemeji zake wamekula wa mashemeji zake anahitaji nini na kwa upande wako hii mila ya mtoto wa kiume kuchukuliwa kwa makubwa hayo unaona ina madhara kwa kiasi gani hakuna madhara kabisa mkamwana wangu anamheshimu vile vile na mzee wa.
Nyanyaso huyu mkamwana wa mama yako kumbuka kwamba kuzaa mtoto wa kiume ukinyanyasa imchukulie kama mke wako na jina la mtoto wa mkamwana linaandikwa kwa kupitia jina la kijana yule wa.
To ask.
Kama wanawake wawili mmoja ni mkaa mwanga wa mgosi na mhoja jinsi wake wa halali na vipi kwa hawa watoto wako hawaruhusiwi kumiliki chochote kutoka katika mali zako.
Watoto wa kike haki imetoka.
Juzi namna wangu niseme mahali mke wangu naye sasa tunafanyaje vile pendo tumewaza ngoja na mume wake maisha ni magumu tumsaidie au mume wangu tulikuwa hako ka ******* kangombe ke.
Tatiana tutafanya maamuzi mazuri kwa nia nzuri na kwa upande wako sasa kama ni maoni yako unaona kama mila hizi zikibadilishwa labda zitaleta urahisi fulani hivi kwa hata nyie wa kina mama kuweza kujikwamua katika kiuchumi na vile vile hata kuwa na haki ya kuweza kumiliki mali au kwa upande huo mila yetu hairuhusiwi.
Kaka kakala Kandi naji Kumari amuna kubari.
Piano mimi namna wangu kumsaidia hairuhusiwi kabisa hata nitakapokufa.
You.
Huu sasa hiyo ndio mali wanawe iliiwekea mitazamo kuiangalia na kuilinda wale wajukuu wa mkamwana wangu wa yule kijana aliyenielewa mke mwenzangu au kwa nyumba mtoto au jana wamewapiga wa nyumba nyingine aha na nyuma mpaka ufahamu sasa wanaangalia ile mali ya mashangazi yao waliotoka ndio inawasomesha eneo inawafanyia mwendelezo ah na hii nyumba ntobu ni nyumba gani hasa hii? Unaweza kutupa ufafanuzi ni aina gani ya nyumba hiyo? Nyumba ya mtovu zamani ilikuwa inaitwa nyumba mboga yaani nyumba iamke isitie ikididimiza kuililia mali mm hmm inakuwaje hii inaandikwa nyumba mbovu sasa mama ya nyumba.
Lugha nzuri kila stori imetumika wazee wa zamani.
Mm hmm nyumba ambao.
Mke mwenzangu ana vijana hawana uwezo wa kupata mali.
Nilifunga msemo wenzangu.
Tena wajukuu waone Mungu na wanasoma mnyamani wamesomea wanaenda.
Au k.
Mmh.
Nyumba ntobu tobo mmh bwana tumeielewa juzi kwa tume tunaizungumza.