Blog.

Shalom FM 97.3 - 2025-12-18T02:00:00.531Z

Shalom FM 97.3

--:--
--:--

Transcription

Umejawa utukufu pia na Abdullah huku kila mahali.

7 point 3.

FM.

Sasa misa kumina moja al faji matao sura.

15.

Ndipo baadhi ya mafarisayo na walimu wa sheria wakamjia yesu kutoka Yerusalemu na kumuuliza.

Mbona wanafunzi wako wanakiuka mapokeo ya wazee waliopita kwa maana wao hawanawi mikono yao kabla ya kula.

Yesu akawajibu.

Mbona ninyi mnavunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu.

Kwa maana Mungu alisema, waheshimu baba yako na mama yako na yeyote amtukanaye baba yake au mama yake na auawe.

Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake kile ambacho ningeweza kukusaidia kimewekwa wakfu kwa Mungu, basi hana tena sababu ya kumsaidia baba yake.

Basi kwa ajili ya mafundisho yenu, mnavunja amri ya Mungu ninyi wanafiki isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami.

Kuniabudu kwao ni bure nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu mnapofika sayuni wana wa sayuni wazee wa zayuni wanaume wa sayuni usisahau shalom.

Jamani mahali pa amani.

Shalom 97 nukta 3.

Shalom Arusha 97 nukta 3.

Shallow.

Africa.

Tukae na Kristo hapa shalom radio kila siku Jumatatu mpaka Jumapili 10:01 mpaka 12:00 piga simu amka na wapendwa wako hapa hapa shalom fm hii aliyah kipindi hiki cha amka na Kristo usikikose 10:01 alfajiri mpaka 10:02 asubuhi hapa hapa 97 nukta 3 shalom fm.

Anka Kuma Kucha Ankana Crystal Shalom Radio.

Kila siku Jumatatu mpaka Jumapili 10:01 mpaka 12:00 piga simba amka na wapendwa wako hapa hapa shalom fm hii aliyah kipindi hiki cha amka na Kristo usikikose 10:01 alfajiri mpaka 10:02 asubuhi hapa hapa 97 nukta 3 shalom fm.

The.

Ni siku nyingine tena ya Alhamisi yatolewa kabisa tarehe 18 mwezi wa 12 mwaka ukiwa ni 2025 hujambo na karibu sana msikilizaji popote pale ambapo unaendelea kuitegea sekta ya usalama fm kuwa kituo chako bora kabisa cha matangazo kanda hii ya Kaskazini ni siku ya baraka sana tukiamka na mvua mvua za hapa na pale ni baraka jambo la baraka sana eeh kwa hiyo karibu sana kwenye kipindi hiki utapata fursa ya kupiga sehemu yako kuamka na watu watano.

Tembelea pia atapata pia nafasi ya kuandika ujimbo wako na nambari ziko wazi kabisa nambari ya kupiga simu ni 07689730000768.

973000 wakati nambari ya kuandika ujumbe mfupi ni 0, 7 53 97 30 0 0 2 0 7 53 97 30 0 2 karibu sana msikilizaji kuanzia sasa mpaka pale majira ya 12:00 kasoro za asubuhi.

Baba anasema ni asante kwa siku nyingine tena akiwa baraka.

Asante kwa baraka ya mvua mfalme wa amani ambao umeachilia kwetu asante baa maana wewe ni mwongozo shindwa dona naye asante kwa siku hii ya leo na ikabidhiwe mikononi mwako ulinzi ukiwa pamoja nami katika jina lako takatifu kibali na neema yako iwezeshwe iliwezesha ya kushinda kila kila za adui mfalme amani vikao juu yangu katika sekta nzima hii ya leo asante kwa maana wamekuwa ni mkuu kwenye maisha yangu umenilinda wamelipigania kila itwapo leo adonai asante kwa siku nyingine tena hii ya leo ya amkana Kristo mfalme wa amani.

Nakabidhiwa kipindi hiki mikononi mwako huenda ukawa dereva wa kukiongoza kuanzia mwanzo mpaka tamati tubarikiwe tena kazi wote wa dar es Salaam.

Kila mmoja usituache dunai usitupite yamkini kuna sehemu tumeteleza kwa maneno ya kinywa chetu kwa mawazo yetu mfalme wa amani katoshi atutakase mfalme amani kwa damu yako siku nzima hii ya leo na mawazo ya kinywa chenye mawazo yetu na fikra zetu na maana maneno ya kinywa chetu akapata kibali mbele zako siku nzima na wiki nzima hii mfalme wa amani bariki msikilizaji huyo alama FM.

Ambaye anazidi kufanyika baraka kama uongeze pale pale kupunguka mfalme wa amjaze kamjaza pale ambapo yamepunguka mfalme wa amani katika jina la kuwatakatifu namba hayo nikiamini aime.

Karibu sana msikilizaji 1 kwa 1 kama ilivyo kawaida kama ilivyo ada tunaanza na taarifa za kihabari na 1 kwa 1 tuanze na taarifa kuhusu makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, daktari Emmanuel nchimbi amemwakilisha rais samia suluhu hassan katika mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa nchi wanachama jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika sadc uliofanyika kwa njia ya mtandao.

Mkutano huo umeongozwa na mwenyekiti wa mpito wa sadc ambaye ni rais wa Jamhuri.

Ya Afrika Kusini cyril ramaphosa aidha mkutano huo imepitisha mapendekezo mbalimbali kwa lengo la kuimarisha hali ya amani na usalama katika Jamhuri ya madagascar pamoja na kutoa wito wa mazungumzo ya kitaifa yatakayowezesha kufanyika kwa uchaguzi huru na wa Kidemokrasia nchini humo.

Hali kadhalika mkutano huo umepitisha umepitisha Jamhuri ya Zambia kuwa mwenyekiti ajaye wa mpito wa jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika, sadc.

Taarifa nyingine hapa mkoani Arusha waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, tawala za mikoa na serikali za mitaa tamisemi Mheshimiwa profesa riziki shemdoe amewataka wakuu wa shule za sekondari nchini kutokuwa kikwazo cha utendaji kazi wa waalimu wanaowasimamia akibainisha kuwa jukumu lao la msingi ni kuweka mazingira wezeshi yatakayowawezesha waalimu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi.

Profesa shemdoe ametoa wito huo wa kwa wakuu wa.

Shule nchini wakati akifungua mkutano wa 20 wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania tahosa uliofanyika hapa jijini Arusha katika ukumbi wa Tanzania convention centre, ngurdoto mountain lodge.

Profesa shemdoe amesema haipendezi kwa mkuu wa shule anapoonekana mwalimu wa taaluma anatafuta njia tofauti ya kupita ili kukwepa wakati mwalimu mkuu anapaswa kuwa na mahusiano mazuri na walimu mahusiano ambayo yatajenga umoja na ari ya walimu katika kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na weledi hizo ni taarifa za nyumbani Tanzania kimataifa.

Sudan inaongoza kuwa kwenye orodha ya nchi zenye migogoro ya kibinadamu duniani kwa mwaka wa 3 mfululizo.

Kulingana na ripoti iliyochapishwa siku ya Jumanne na kundi la kimataifa la misaada huku vita vikali vikiana angamiza taifa hilo la Kaskazini mashariki mwa Afrika katika kamati ya kimataifa ya harakati za uokozi, IRC imeiweka sudan katika orodha yake ya kila mwaka.

Ya nchi zilizo katika hata hali za dharura ambayo inajumuisha nchi 20 zilizoko katika hatari ya kuona migogoro yao ya kibinadamu ikizidi kuwa mbaya ifikapo mwaka 2026.