Blog.

Testimony FM - 2025-12-19T05:00:00.590Z

Testimony FM

--:--
--:--

Transcription

Mkazi.

Na.

Na namna yoyote.

Yeah, yeah, yeah.

Oh.

Wiki maana Mungu amesema asiyefanya kazi na asile na unafikiri unaweza kufanya tu kazi yoyote ile namna hiyo ni Mungu wako ni chumbo unajua kanga hivi za maandishi ndio zina biashara sana ee yuko kaka mmoja ananiambia hivyo, anasema mchungaji.

Yaani kanga hizi za mwandishi ndio zina biashara wako watu wengine wanakuja tu wanataja maandishi yaani sio hawajali maua kwenye kanga yakoje wanasema siku nataka mtanikoma mtaa wa pili 2.

Anamaanisha nataka kanga 2 zilizoandikwa mtaa wa pili mtanikoma.

Namna hiyo kwa hiyo kaanga hizo kiliziondoa ukauza tukanga ambazo hazina maandishi tayari biashara yako inaharibika.

Kwa hiyo huyu mtu anayesema ni Mkristo atauza kanga za namna hiyo ili apate pesa na apate biashara ya haraka tayari ameipenda dunia ataona mapambo ya wanawake yanatoka zaidi na ataona bingwa wasivae lakini nikiuza haya yanatoka yanakwenda kasi zaidi.

Tayari ameipenda dunia tayari Mungu wake ni chombo namna.

Now now ili kupata kula.

Lakini tayari tunachokifanya sicho ambacho kinalingana na neno la Mungu tayari ni kuipenda dunia tayari ni.

Ni kuipenda ko.

Pia namna hiyo kurekodi miziki ya dansi.

Ile maana nipate tu pesa tunashawishika namna hiyo.

Itashika namna hiyo.

In embrace you towards the kupata further to the taxi.

Na tukashawishika kutimia teksi ile kufanya mambo mengine ili tumbo tu ili shibe kwani kuna tatizo gani? Nina ninapika cup sasa mtu anakuja kukodi ebu mara 1 kaka hebu ni mp kapeleka mara 1 ebu nibebe hizi kesi za bia mara 1 na niwahi mara 1 nazipeleka pale mbele utahitaji shilingi ngapi na tayari kwa sababu huyu mtu Mungu wake ni chombo anachukua nikikosa hii tripu hii ya pesa hizi sasa tayari sasa unamkuta huyu mtu.

AHO jina la bwana libarikiwe tutakula hela za mataifa.

Kwa hiyo amebeba makesi ya bia sasa tayari anakwenda nao kwa barabarani ooh wanamuunga mkono he mpendwa eeh mbarikiwe na kesi za bia ziko mpaka juu.

Huyu mtu Mungu wake ni chombo.

Maana anajua nikiikosa hela hii hapa je ninaweza kukaa kituoni muda mrefu bila kupata namna yoyote ya kazi Roho Mtakatifu anakuwa na mbinguni hawezi kubeba kreti za bia kwenye gari yake kamwe kamwe kamwe kamwe.

Ole na mzigo wangu hapa tupeleke mahali fulani au utakaa hapo hapo nakua kukaa hapo ina maana unaweza kulala njaa siku hiyo maana unaweza kukuta mizigo inayokuwepo siku hiyo ni sigara tu na na pia na utalala njaa kabisa sasa utakatifu ni kulala njaa.

Hapo ndipo pazito na.

Unapokuwa utaki sasa kulala njaa.

Mungu wako ni chombo angalia maandiko.

Hawapelekwi sasa.

What Philippe Surya tattoo? What Philippe Surya tattoo? Unsari Wakominatisa.

3.

Msari wa 19 labda tukianza mstari wa 18 utapata picha halisi.

Maana wengi huenenda ambao nimewaambieni mara nyingi habari zao na sasa nawaambia hata kwa machozi kuwa ni adui za msalaba wa Kristo.

Mtu akiipenda mtu akiwa na rafiki wa dunia anakuwa ni adui wanani.

Abdul Mungu ni adui wa msalaba wa Kristo vilevile mwisho wao ni uharibifu Mungu wao ni tumbo.

Utukufu wao u katika fedheha hayo.

One year.

Naomba mambo ya duniani ili mradi tu bali shein ni mradi timboni shibe n namna hiyo.

Tunnel Tunnel.

Cosmos, dunia.

Kila kilichomo duniani.

Ambacho hakiko mbinguni.

Kerashi, Kericho.

Duniani, Ambati, Akiko Minguni.

Hiki nacho kina hicho dunia.

Kwa haraka kwanza hana 2 mstari wa 15 mpaka 16.

Usipende dunia wala mambo yaliyomo katika dunia.

Mtu akiipenda dunia kumpenda baba hakumo ndani yake maana kila kilichomo duniani.

Anaendelea kusema.

Yaani tamaa ya mwili na tamaa ya macho na kiburi cha uzima havitokani na baba bali vyatokana na dunia.

Kila kilichomo duniani ambacho hakiko mbinguni kinacho kinajumuisha katika cosmos katika dunia.

Binguni hakuna hasira.

Hakuna chuki.

Hakuna kinyongo.

Hakuna kutokusamehe kwa watu wengine ambao hawajui kusamehe.

Yale yale tiamo katika mioyo yao miaka nenda rudi miaka nenda rudi.

Yaani yule aana.

Siwezi kuzungumza naye.

Ni kinyongo tu ndani ni kisasi tu ni uadui.

Viti vya viko mbinguni.

Matusi uzinzi.

Uasherati mawazo machafu.

Muziki wa dansi sasa hivi haviko mbinguni.

Sinema zilizo chama chukizo.

Si naye maskini sinema za za watu walio kauchi viti vya viko mbinguni.

Kuvuta bangi au kula madawa ya kulevya.

Kuabudu sanamu.

Kati ya viko mbinguni.

Na vyote hivi na kila namna ya dhambi.

Vinajumuishwa katika cosmos ugomvi.

Namna yoyote kupenda ugomvi wako watu ni wako watu ambao ni wagomvi sana.

Yaani mtu utamkuta mtu anapigana na mke wake na anafikiri akimpiga mke wake ni tofauti na ugomvi mwingine ukimpiga mke wako ni sawasawa tunapigana na mtu yeyote na ni dhambi ya ugomvi kama dhambi nyingine zilivyo.

Na.

Vyote hivi mgomvi wote wanaodai hauko mbinguni kwenye dhambi zote za namna hii vyote hivi ambavyo mbinguni.

Cost more.

Nidunia sita Sami amwili.

Kwanza hana 2 17 tumesoma maana kile kila kilichomo duniani yaani tamaa ya mwili tamaa ya mwili nayo ni kosmos na hapa tamaa ya mwili inayozungumzwa hapo ni anasa zozote zinazotokana na tamaa ya mwili.

Yakobo 5 5 hapo maandiko yanasema mmenifurahisha kwa anasa anasa zozote zile za zinazotokana na tamaa ya mwili.

Hizi ni cosmos.

Kama ya mwili linamfanya mtu kucheza dansi na kumkumbatia mwanamke huyu na muziki umeisha amkumbatie na mwingine namshukuru maisha amkumbatia na mwanamume mwingine na muziki umehama ya mwili inamfanya mtu kucheza dansi mwingine na kumkumbatia sio tu kwamba mwanamke huyu huwa social tumeisha amkumbatie na mwingine huwa social tumeisha amkumbatia na mwanamume mwingine tamaa cosmos.

Kwamba zinazohusika kwamba nilikuwa ambacho ya mwili.

Katika hadharani tani ya mwili inaweza kufanyika katika nidhamu ya mwili 6 watu wanacheza mambio kukumba, lakini kumbe huyo mwanamke na mwanaume ayari tamaa ya mwili.

Wanasema msami ukakuta watu nikicheza pambio saa hii lakini ni huyu mwanamke ameshikana na mwanamke huyu huyu uchaguzi shana halafu wanatupa na mikono iko juu sana sana shilingi.

Cosmos.

Tayari na utaona kana ada kwa namna nyingi sana na kutuingiza katika natumia tamaa ya mwili.

Ahah anasa zote za namna hiyo tayari baba utaona zinatokana na tamaa ya macho.

Kwa haraka mwaka jana 2 19 tunaona tena hapo na na tamaa ya mwili chochote.