Blog.

Radio Kwizera - 2025-12-18T02:00:00.468Z

Radio Kwizera

--:--
--:--

Transcription

The.

The.

Kwa jina la baba na la mwana na la Roho Mtakatifu.

Njoo ewe roho muumbaji njoo katika mioyo yetu fanya maskani yako.

Tupe hisani zako za daima.

Sisi tunaoishi na kumudu.

Kwa nguvu zako na wako uweza.

Washa miili yetu kwa moto wako.

Elekeza tena yetu mioyo.

Kwenye upendo wako wa Kimungu.

Miili yetu iliyo dhaifu sana.

Hiyo itie nguvu ya kudumu.

Umfukuze mbali shetani.

Alo adui yetu duniani.

Tupate ishi kwa amani.

Baya au uovu halitakupata.

Wewe ukiwa kiongozi wetu.

Kwa njia yako basi tujifunze.

Tukamjue baba pia mwana.

Na tunakufahamu wewe roho.

Uliyetoka kwa hao wawili.

Ili tuabudu kwa imani kweli.

Yeah.

Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi.

Mariam mama yake alipokuwa ameposwa na yusufu kabla hawajakaribiana alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Naye yusufu mumewe kwa vile alivyokuwa mtu wa haki asitake kumwaibisha aliazimu kumwacha kwa siri.

Basi alipokuwa akifikiri hayo tazama.

Malaika wa bwana alimtokea katika ndoto, akisema yusufu mwana wa daudi usihofu kumchukua Mariamu mkeo.

Maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Naye atazaa mwana nawe.

Watamwita jina lake.

Yesu maana yeye ndiye atakayewakomboa watu wake na dhambi zao.

Hayo yote yamekuwa ili litimie neno lililonenwa kwa bwana kwa ujumbe wa nabii akisema.

Tazama bikira atachukua mimba naye atazaa mwana nao watamwita jina lake imanueli yaani Mungu pamoja nasi.

Naye yusufu alipoamka katika usingizi alifanya kama malaika wa bwana alivyomwagiza akamchukua mkewe.

Injili ya matayo sura ya kwanza aya 18 hadi 24.

The.

The.

None.

The.

The.

The.

Mungu pamoja nasi yaani emanueli.

Yesu ni imanueli yaani Mungu pamoja nasi.

Ili yesu akae kati yetu na akae na mtu ni lazima mtu atambue kweli kuwa Yesu ni emmanueli.

Anayebadili mitazamo.

Kama anavyomuona yosefu mwenye haki anavyokubali hali halisi bila ya hasira bila kujibu lolote bali kama mpango wa Mungu.

Akampokea maria aliyekuwa mjamzito na kumtunza na mtoto.

Ndio uweza wa Mungu kuwa nasi kweli kwani kwa mtazamo wa kawaida mwanamume mwingine angesema hilo haliwezekani.

Hapa inaonesha yosefu alijiandaa pia kumpokea Mungu maandalizi ya kumpokea Yesu kwa yosefu kutambua kuwa yeye ni kiumbe cha Mungu na ya kuwa Mungu amependa kukaa kwake.

Kipindi hiki cha majilio tujitathmini je.

Ninaweza kumpokea Kristo.

Ninazo sifa zinazomwezesha Kristo kuja kukaa kwangu.

1 ya kitu kinachomfanya Kristo asije kukaa kwetu ni dhambi.

Kumkaribisha Kristo kukaa kati yetu inamaanisha kuondokana na dhambi katika maisha yetu.

Yosefu anatupa mfano huu mzuri kwa kutopenda kwa kumwaibisha maria.

Tunapojiandaa kwa sikukuu ya noeli tufanye toba ya kweli ili Mungu apate kukaa nasi daima.

Ee bwana.

Uje ukae nasi daima.

Tumsifu Yesu Kristo.

The.