RadioOne - 2025-12-19T03:00:00.478Z
RadioOne
Dar es Salaam
Transcription
Ya Afrika Mashariki sawa na 11:00 kamili ya Afrika ya kati hujambo leo ni ijumaa Disemba 19, 2025 na kukaribisha katika matangazo ya 1 kwa 1 amka na bbc.
Mimi ni david nkya katika amka na bbc asubuhi viongozi wa ulaya wanaokutana mjini brussels wameshindwa kuafikiana kuhusu matumizi ya mali ya urusi inayoshikiliwa kufadhili vita dhidi ya urusi nchini Ukraine.
Serikali ya Nigeria izifungulie tena shule za sekondari 47 zilizofungwa mwezi uliopita kufuatia wimbi la utekaji nyara wa watoto wa shule.
Katika mikoa kadhaa na katika gumzo tunaangazia fainali za kombe la mataifa ya Afrika afcon zinazotarajiwa kuanza 12/21 nchini Morocco zitakuwa na ushindani kiasi gani ushindani unatarajiwa kuwa mkali zaidi hasa ikizingatiwa kwamba mashindano yanaandaliwa katika taifa la Morocco taifa ambalo hivi sasa tunaweza sema kwamba Morocco inaungua.
Naam tuna mengi tuliyokuandalia lakini awaye yote ni muhtasari wa habari za ulimwengu na msomaji ni sarafina robi karibu sarafina na asante sana Kiyahudi ambao msikilizaji na karibu wamiliki wa mtandao maarufu wa kijamii wa tik tok kutoka china wametia saini mkataba wa kuuza mali ya kampuni hiyo kwa ubia unaongozwa na wawekezaji kutoka Marekani.
Hatua hii itaiwezesha tik tok kuepuka marufuku ya serikali ya Marekani kuhusu umiliki wake wa china, jambo ambalo limeibua wasiwasi wa usalama wa taifa taarifa ya ndani.
Kutoka kwa afisa mkuu mtendaji wa tiktok show ambayo bbc nimeiona inasema mtandao huo na kampuni kuu ya China ya bite dance waliafikiana makubaliano na oracle silver lake na ng x yenye makao yake abu dhabi tiktok ina watumiaji 100,000,070 nchini Marekani.
Waziri mkuu wa Australia, Anthony albanese amesema serikali yake itaanzisha mpango wa kitaifa wa kununua bunduki kutoka kwa raia ili kukabiliana na ufyatulianaji wa risasi uliotokea siku ya Jumapili kwenye ufukwe wa bodi.
Amesema mpango huu utakusanya na kuharibu mamia kwa maelfu ya bunduki zikiwemo zile za ziada, silaha haramu na mapya zilizopigwa marufuku.
Alibainisha pia anasema Jumapili hii itakuwa siku ya tafakari ya kuwaenzi watu 10 na watano waliouawa katika shambulio la tamasha ya Wayahudi bendera kwenye majengo ya serikali zitapeperushwa nusu mlingoti na kutakuwa na ukimya wa dakika 1.
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri kuu ya kuainisha tena bangi kama dawa isiyo hatari sana zaidi na florian kaijage.
Hatua hiyo ni mabadiliko makubwa zaidi katika udhibiti wa bangi katika zaidi ya miaka 50th ila serikali kuu haijalisha dawa hiyo kwa matumizi ya burudani.
Amri hiyo inaainisha upya bangi kutoka kiwango cha kwanza hadi cha 3 ambapo dawa za viwango hivyo zinadhibitiwa kwa matumizi halali ya matibabu.
Rais trump amesema hilo litaruhusu utafiti zaidi kuhusu dawa hiyo.
Majimbo mengi ya Marekani tayari yamehalalisha bangi mapendekezo yatahitajika kupitiwa upya na utawala wa utekelezaji wa dawa za kulevya.
Naam kwingine kwani kwa nyota aina ya comet ambayo ni kitu cha 3 kinachojulikana kati ya nyota kuingia kwenye mfumo wa sayari inakaribia zaidi dunia.
Three i atlas iligunduliwa kwa mara ya kwanza mwezi Julai mwaka huu na tangu wakati huo imetoa mkia unaungana na vumbi na gesi ilivyokuwa ikipashwa na jua wanasayansi wanasema hakuna ushahidi kuwa ni kitu chochote zaidi ya comment licha ya nadharia maarufu kwamba ni uchunguzi uliotumwa na wageni yaani elias wanaastronomia wanachunguza kitu hicho cha miaka bilioni 8.
Ili kujifunza zaidi kuhusu historia ya galaxy yetu kabla ya kutoweka hata kwa karibu zaidi bado iko zaidi ya kilomita 270,000,000 kutoka duniani.
Hii ni bbc.
Naam taswira habari za ulimwengu amesema kwako na sarah Nairobi akiwa Nairobi unasikiliza mkanda bbc lugha ya Kiswahili ya bbc ikikutangazia kwenye fm radio washirika na kwenye tovuti katika bbc swahilidot.com ukiwa Kenya unatupata kupitia most of them ya Uganda the voice of muhabura Tanzania unatupata kupitia cgf fm na pale Zanzibar ni zenj fm na iwapo kuna drc atajisikia kupitia radio redio aidha unaweza kutufuatilia 1 kwa 1 kupitia ukurasa wetu wa Facebook wa bbc Swahili.
Weka maoni yako pale na tukipata wasaa basi msikilizaji tunasoma 1 kwa 1 tunaanzia huko ulaya ambapo licha ya kuendelea na mazungumzo yao hadi usiku wa viongozi usiku, viongozi wa ulaya wanaokutana mjini brussels wameshindwa kuafikiana kuhusu matumizi ya mali ya urusi inayoshikiliwa kufadhili vita dhidi ya urusi nchini Ukraine wanaendelea kujadili uwezekano mbadala wa kukopa kwa kutumia bajeti ya Umoja wa Ulaya ya usalama, lakini wanasemekana kutaka muda zaidi wa kuangalia maelezo kuanzisha ufadhili kulingana na mahali ya urusi.
Florent kaijage anaarifu zaidi Ubelgiji ndiko ambako mali nyingi za urusi zimehifadhiwa nchi ambayo iko chini ya shinikizo kubwa kuacha kupinga pendekezo la kutoa fedha hizo.
Nchi hiyo ina hofu ya kulipiziwa kisasi na inataka kuwepo kwa ulinzi thabiti wa kisheria usiotiliwa shaka rais Salvador mileski amewahimiza viongozi wa ulaya kufikia makubaliano kuhusu matumizi ya mali za urusi zilizozuiliwa ili kupata mkopo kwa ajili ya kivu na kuonya kuwa Ukraine italazimika kupunguza uzalishaji wa ndege zisizo na rubani.
Iwapo hatua hiyo haitachukuliwa.
Besas inahitajika ili kuhakikisha kuwa urusi au mtu mwingine yeyote duniani hatumii mali hizi za urusi kama chambo cha kutushinikiza tuna tusker mali hizi zisiwe sehemu ya mchakato wa mazungumzo baa.
Hii zitumike 1 kwa 1 kutuunga mkono.
Rais zelensky amewaambia washiriki wa mkutano wa kilele uliofanyika mjini brussels kwamba nchi yake inakabiliwa na upungufu wa fedha unaoweza kufikia dola za Marekani bilioni 60 mwaka ujao.
Wakati hayo yakijiri Ubelgiji yenye mali nyingi za urusi ina wasiwasi kuhusu hatua za kulipiza kisasi na hivyo inataka ulinzi madhubuti wa kisheria, Ufaransa na Poland zimeongoza wito wa kuzikabidhi fedha hizo ili kuimarisha upinzani wa Ukraine ni florent kijaji.
Serikali ya Nigeria izifungulie tena shule za sekondari 47 zilizofungwa mwezi uliopita kufuatia wimbi la mashambulizi makali na utekaji nyara mkubwa wa watoto wa shule katika mikoa kadhaa nchini humo.
Shule hizo ambazo zimeenea kote nchini zilifungwa mnamo Novemba baada ya kuongezeka kwa ukosefu wa usalama Kaskazini magharibi, Kaskazini, mashariki na Kaskazini kati na sehemu nyingine za kusini zaidi na esther.
Naomba kufungwa kwa shule hizo.
Walitokana na ongezeko la matukio ya utekaji nyara vinavyotekelezwa na magenge yenye silaha yaliokuwa yakilenga wanafunzi na walimu hali iliyozua hofu kubwa kuhusu usalama wa wanafunzi na kuwalazimu viongozi kusimamisha masomo kote nchini Nigeria.
Taarifa iliyotolewa jana Alhamisi jioni na wizara ya hili limesema uamuzi wa kufungua tena shule ulifikiwa baada ya ushirikiano wa kudumu na vyombo vya usalama ili kuhakikisha mazingira salama ya kujifunzia sehemu ya taarifa hiyo inaeleza kwamba taasisi ya serikali kuu inathibitisha tena wajibu wake wa kuwalinda watoto wote wa Nigeria.
Kulinda haki yao ya kikatiba ya kupata elimu katika mazingira salama serikali iliwahakikishia wazazi na walezi kuwa ustawi na ulinzi wa wanafunzi unaendelea kuwa kipaumbele cha juu kabisa na kuongeza kuwa wanafunzi wengi kwa sasa wanakamilisha programu zao za masomo ya mwezi Disemba huku wengine wakihitimisha mitihani yao.
Kwa mujibu wa mamlaka, hatua hiyo inaonyesha dhamira ya serikali kutekeleza kalenda ya masomo licha ya vitisho inayoendelea kutoka kwa makundi yenye silaha.
Elimu inaelezwa kuwa bado liliuzwa kuu ya maendeleo yake ya rasilimali watu nchini Nigeria.
Kichocheo muhimu cha ukuaji wa taifa hilo shule za unity colleges ambazo ni shule za sekondari zinazoendeshwa na serikali kuu zianzishwe kwa lengo la kukuza mshikamano wa kitaifa.
Hata hivyo, baadhi ya shule hizo katika miaka ya hivi karibuni zimekuwa zikilengwa mara kwa mara.
Kuna magenge ya kihalifu na waasi kutumia udhaifu wa kiusalama katika maeneo ya Vijijini, wimbi la mashambulizi hayo limeongeza hofu kuhusu upatikanaji wa elimu hasa kwa wasichana katika maeneo ambayo tayari yanakabiliwa na changamoto za umaskini na migogoro.
S naomba.
Msikilizaji sikia hii mchawi ni nani kati ya wasanii wa Tanzania na mashabiki wao mitandaoni kila uongozi mnalalamika haya yalikuwa ni maneno yanasikika abdul maarufu kama Diamond katika kilele cha kampeni za uchaguzi ulikuwa 2025.
Matamshi hayo yanayonunuliwa na mashabiki wanaamini walizaliwa na wasanii wao pendwa walipoonyesha kuegemea upande wa serikali wakati baadhi ya mashabiki walitaka mabadiliko ya katiba kabla ya.
Katika uchaguzi mkuu jela ni wa kulaumiwa katika harakati za kususia kuacha kusikiliza muziki wao na quan follow na kuwapunguza kimyakimya wasanii wa Tanzania kwa kutumbuiza katika mikutano ya kisiasa ya chama tawala.
Ccm mchawi ni nani?