TFF Radio - 2025-11-25T15:00:00.507Z
TFF Radio
Dar es Salaam
Transcription
Ili wasiwe na presha sana wakiwa na presha sana tutazidi kupoteza lakini na imani.
Tutakaa vizuri sana shukran sana na kila la heri kwa mechi zijazo, asante asante.
Juma shemvuni eeh mlinzi wa kmc pia akihitimisha hivyo kwa upande wa wa wa wa kmc na kwenye dakika 60 hizi ambazo zimeshuhudia mechi ambayo haikuzalisha goli lolote, mlinzi na nahodha wa mtibwa sugar erick kyaruzi ndio ambaye amefanikiwa kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huu kwenye mechi ambayo amewaongoza wenzake kutunza clinic muhimu dhidi ya kmc na huu ni mchakato wa kumkabidhi zawadi yake hii ya kuwa mchezaji bora kwenye mchezo huu ukifanyika ama ikifanya hivyo.
Na mwakilishi kutoka mmoja kati ya wadhamini wa ligi kuu hii ya Tanzania bara likiwa nbc kutoka benki ya nbc na mchakato huo wa makabidhiano ya zawadi hiyo ya mwanawe mesh ambayo imekwenda kwa erick kyaruzi ndio ambayo inatuhitimishia hiki ambacho tulikuwa tukikuletea hapa uwanja wa kmc nikurudishe 1 kwa 1 studio.
Naam mchezo umemalizika na wamemaliza kwa kugawana alama sio mwenyeji kmc ambaye alikuwa na presha kubwa baada ya kupoteza michezo takriban 6 mfululizo leo wameambulia sare akiwa nyumbani pengine tukiwa mazuri kwake ukilinganisha na mwenendo wake lakini pia kwa sababu alikuwa nyumbani mechi kwenye presha zaidi kwake lakini full time kmc 0 mtibwa sugar 0 nini ambacho kimesababisha hayo yote tuangalie sasa kipindi cha pili kilikuwa na nini baada ya kuitazama kile cha kwanza mimi Kennedy, moses, niko na bye.
Now good listen more opinions and beside.
Kipindi hiki imekuwa na matukio mengi miongoni mwa matukio ni goli ambalo limekataliwa.
Tunaweza tukasema au nafasi ambayo kwa mujibu mwamuzi haikuwa goli wewe ulitazama kwa mlengo upi kiasi sasa cha kufanya tumalize mechi nzima tukiwa hatujashuhudia raha ya mechi ya mechi.
Rampung is assistant referee and Bomodia.
I don't have to give those, son.
Meja Abdallah al maarufu pipino kiungo wa kmc mmm alipiga shuti zuri kulenga lango na likawa goli lakini mpaka kuwa goli na kuweza kumchenga golikipa mtibwa mm ni kwa sababu nadhani shemvuni juma shemvuni yes beki wa kati alikuwa kwenye eneo lile kwa hiyo alinunua mguu wake anakuwa kwenye eneo la offside na kumchanganya golikipa.
Kwa hiyo mwamuzi alikuwa sahihi kabisa kuona kwamba juma shemvuni ameingilia mchezo kwa kufanya Movement ambayo yameathiri uone wa golikipa kwenye mpira.
Ndio maamuzi alikuwa sahihi kwelikweli haya hapa naona golikipa ameshtuka mpira umekuja hapa sasa hivi lakini asingekuwepo.
When I'm working in a fast Constantine, yeah.
Malimi angeweza kucheza kwa hiyo namsifu sana mwamuzi assistant namba one kwa kuweza kuona iliyotumiwa na kumsaidia mwamuzi wa kati mmm kwamba kweli juma shemvuni alikuwa kwenye faida ya kupotea na halikupaswa kuwa goli? Mm hmm muro umeliona kwa mlengo huo maana mimi pengine ndio nafasi ambayo imemfanya hata marcio maximo tusimuone kwenye mahojiano baada ya mchezo kumalizika.
Yesu Kenya au unajua wengi wanaitafsiri tu ufisaidi mpaka mchezaji aliye kwenye ofisi ya kuugusa mpira mmm lakini sio nyakati zote kuugusa mpira kwenye sheria namba 11 kati ya zile sheria 17 za efpp zinazungumza, anasema itafia ni ndege mama nitafia in the play kuingilia mchezo sio tu lazima uguse mpira kwa hiyo utaona juma shemvuni alikuwa kwenye nafasi ya kuotea maanake yalikuwa mbele zaidi ya vitu viwili mbele zaidi ya mpira na mlinzi wa pili kutoka mwisho wa kmc naamini wa wa wa wa wa.
Kwa mtibwa sugar lakini alichokifanya yeye ni kujaribu ku kuupa mpira muongozo waelekee wapi wanajua keni ukiwa kwenye ufisadi? Position mpira ukijiunga kugonga wewe na bila kureact chochote no problem lakini kilichotokea ni kwamba yeye tayari kitendo cha kunyanyua mguu wake wa kushoto ili mpira utafute mkondo sahihi wa kuelekea tayari amesha itafia the play kwamba hapo kumwona amenyanyua mguu wake wa kushoto maanake ameupa mpira na hereni gani iende bila kuita afia 1 kwa 1.
Kwa hiyo tayari ile.
Kuruhusu tu mpira na erection ni nzuri kuelekea golini tayari na alikuwa kwenye position hiyo ovyo zinaungana na kabisa hivi kwamba ilikuwa ni offside lakini naungana zaidi na mwamuzi msaidizi nambari 2 ambaye alikuwa very close katika kile alichokiamua.
Kwa hiyo wakati tunavyozungumza makosa ya waamuzi za wapembeni au wakati mara kwa mara hicho kinapaswa kisifiwe kwa kiwango kikubwa sana na kipewe krediti zake kwa sababu ya hicho hicho kiliamua adha wise ingeweza kushangaa.
Kmc anapata bao ambalo kwa namna 1 ama nyingine ningekuleta tena kwenye mjadala mzito zaidi ya huu ambao tumemaliza kwa urahisi na kwa hichi ambacho wamekipata kmc mmh pengine nisikie mtazamwe nianze na abisai.
Timu ilikuwa imetoka kupoteza mechi 6 mfululizo kwa leo wana sare lakini wakati huo walikuwa kwenye presha kupata matokeo makubwa wamepata sare wakiwa nyumbani.
Matukio haya yanatufanya tumwone mwalimu pamoja na vijana wake ni kama mafanikio ama bado kuna ugumu na mtihani mkubwa sana kwenye kikosi cha kmc.
Eh huku ni kupiga hatua na kuonyesha utofauti kutokana na matukio yaliyopita mafanikio yao kwanza ni kupata alama 3 halafu atoke kwenye ile hatari ya kuwa kwa hiyo tunahitaji kama tukio chanya licha ya kwahiyo wamepiga hatua ya kuonyesha utofauti kati ya matukio yaliyopita na haya kuanzia hapa ni kama ndio naanza kuandaa matofali sasa ya kupanda kwenda ngazi ya uelewa juu kama ungepata alama 3 leo wangekuwa wanajivunia sana sana kwa sababu alama 6 zingeweza kuwatoa na hapo ndio utamu wa ligi yetu pia ulipo wanamwona.
Ndiyo mwisho alama 3 mm akipata 3 nyingine 6 unashangaa na toka kwenye nafasi za hatari.
Kwa hiyo ndicho ambacho wakilenga kmc kwa sasa lakini ni alama 1 ambayo itawaongezea kitu au niseme imewapunguzia maumivu makali ambayo walikuwa nayo kwa sababu wanaenda kwenye training session wanaongea na kocha wanakuja na gamer wanakuja wanafungwa wanasema haya ni matokeo wanaenda tena wanakuja wanafungwa mechi ya pili wanafunzi watatu mpaka mechi ya 6 mm wanakuwa demolished ni ngumu kuamini kocha ninachowafundisha kwa sababu kila kawaambia akienda kuleta matokeo ya uwanjani.
Wale walikuja kucheza kuonyesha kwamba hebu ngoja tuone na leo tunafanya nini na faida kubwa ni ile breki ya fifa mm kuwafanya wasahau huku sana yale yaliyopita atilio kmc wana energy wana saa kama lango la mtibwa wanafanya temsi wanataka kushinda unaona hawa watu wamechoka matokeo mabaya mentality rais leo walikuwa na utofauti na hii michezo miwili 6 ambayo michezo 6 ambayo imepita kwa hiyo kwenye eneo hilo wanadhani alama 1 kwao ni muhimu sasa wana alama 4 wanaanza kubadilisha jedwali kwa nafasi ya taratibu kutoka chini ya moro.
Na mtibwa tukigeukia walitengeneza nafasi nyingi sana yeye alikuwa na nafasi ya kuondoka na ushindi kwenye mchezo huu.
Ila haijawa hivyo hizi ni baadhi ya mechi ambazo pengine huenda wakaja kuzikumbuka huko baadaye na nafasi walizotengeneza sio yeye sken swala hilo linaweza tukaliangalia kwenye ngo 2 kipindi cha kwanza utasema.
Kwa nyakati tofauti tofauti ilikuwa ni tunasema ni era za za za kawaida za mchezaji kama sehemu mchimba alifanya matukio mawili muhimu kapindua watu wawili kwenye boksi akigongesha nguzo wanasema alikuwa anasimamia kadhaa kuwaona target ya usiende, lakini kassim msafiri mayele.
Alifanya tempi nzuri festus secam daff tunazungumza ubora wa golikipa hamisi yasin kijana kutoka azam yuko kwa mkopo hapa kmc na napata nafasi ya kucheza sio sasa 1 ya vitu ambavyo unapaswa kudhihirisha hapo angalia kama hiyo freekick mm hiyo tunazungumza ilikuwa ni miongoni mwa nafasi bora za mtibwa kuweza kuandikisha bao kipindi cha pili lakini amefanya save ambayo ilikuwa bora zaidi.
Hiyo ni seti ya upande wa mtibwa ya.
Asanteni malim kwa unaweza ukaona kwa upande wa wa wa wa wa wa mtibwa na the way ambavyo umejaribu kuliweka swali lako ni kwamba mtibu unaweza ukasema kipindi cha kwanza walikuwa wana chances nzuri zaidi za kuweza convert bila ya kujalisha juhudi za golikipa.
Lakini kipindi cha pili unazungumza hamisi asili goli kipa kmc ambaye ndio amekwamisha juhudi za yaani unakuta umefanya kila kitu hundred percent kinachosalia ni ule mpira kuvuka tu kwenye goli ambacho ndio kitu amekifanya Alhamisi 50 kwa hiyo.
Naweza nikaona hata baadhi ya mabadiliko yaliyofanyika kama kwa mtibu unaona kina ismail mhesa waliingia kuna namna ambavyo ulikuwa unaona wanaweza wapush wakasababisha timu yao ikasogea kwenye eneo la juu kwa sababu ile kasi waliyokuwa nayo.
Lakini end of the time nimeona kazi nzuri ambayo leo hii golikipa wa kmc kwangu mimi alikuwa na wakati mzuri zaidi wa kuhakikisha anakusanya hata hiyo alama 1 kumbuka kmc kuelekea mechi hii hizo 6 walizopoteza huwezi ukapoteza bila kufungwa bao maanake walikuwa wametoka hizo mechi zote.
Shukran imechafuka lakini leo unazungumza atilist kwa mara ya kwanza wanarudia kile alichokifanya dhidi ya Dodoma jiji kuondoka na creates bila kuruhusu bao ohio hawajashinda mchezo.
Kwa hiyo inawezekana kuanzia hapo ukaanza kusaliti sasa je ilikuwa ni ubora wa kimbinu ama ubora wa mchezaji mmoja mmoja sasa ukirudi kwenye ubora wa mchezaji mmoja mmoja ndio unarejesha credit karibia zote kwa golikipa kwa kile alichokifanya kwa ufanisi sio yes haya hizi ni takwimu za dakika 90 kilichoongezeka ni mashuti matatu tu yaliyolenga.
Asante yes mwanzo kwa 1 kwenye kila timu mmm kwa sasa kmc waliongeza 1 mm na mtibwa sukari waliongeza mashuti mawili.
Naam na mwanzoni kulikuwa kuna mashuti ambayo hayakulenga lango manne kwa kila timu matatu yameongezeka kwa kmc lakini 1 limeongezeka kwa mtibwa m mtibwa alikuwa na 51/100 alihitimu na 54 kulikuwa kuna 49 wamepunguza 3 fou zilikuwa 12 kwa mtibwa mmm zimeongezeka 11 kule zilikuwa chache sana zimetoka kwenye almost 5 zimekuja 13.
Ni kweli mechi inaonekana action ilirudi sana na kwa nini imekuwa hivi kwan?