Blog.

Clouds FM - 2025-12-22T04:00:00.529Z

Clouds FM

--:--
--:--

Transcription

Baada ya kufunga mwaka kikubwa fanya miamala ya mix upate nafasi ya kushinda hadi 50,000,000 piga nyota 1, 5 0 nyota 0 1 reli au tumia mix super cup.

Uingereza kesho yako unaweza unajua.

The.

The.

Dah couds 26 josha timu yako ya habari ina zaidi ya habari ina ya uhakika na mapya kabisa ndani ya power breakfast news team.

Waziri mkuu dokta mwigulu nchemba amemuagiza waziri wa nchi tamisemi awaandikie barua wakuu wote wa mikoa ili waunde timu za ukaguzi wa majengo na miradi kwenye mikoa yao na mawaziri wa mambo ya nje wa kanda ya kusini mashariki mwa asia wajiandaa kuutafutia ufumbuzi mgogoro kati ya majirani Cambodia na Thailand habari za asubuhi karibu katika bbc news timu kutoka hapa clouds fm mimi ni mahija zayumba.

Waziri mkuu doctor mwigulu nchemba amemuagiza waziri wa nchi tamisemi awaandikie barua wakuu wote wa mikoa ili waunde timu za ukaguzi wa majengo na miradi kwenye mikoa yao kama njia ya kukabiliana na wakandarasi wanaokiuka makadirio ya gharama za ujenzi bq wa miradi ya serikali.

Waziri mkuu ametoa agizo hilo wakati akizungumza na viongozi na wananchi wa wilaya za Ruangwa na Nachingwea mkoani lindi akiwa katika ziara ya siku 3 ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani humo.

Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, waziri mkuu amesema kuna baadhi ya miradi ambayo wakandarasi wake hawafuati bq lakini nimeangalia jengo la hapo.

Nimeangalia na lile jengo pale nimeelekeza.

Kumekuwepo na utaratibu katika baadhi ya maeneo.

Wakandarasi kutokufuata bq kutokufuata mikataba ambayo ilikuwa imetolewa kwamba kwenye jengo ambalo lilitakiwa liwekwe nondo 6.

Zenye milimita 16 kwa kuwa tunapoenda kukagua panakuwa hapa wameshafanikiwa unakuta aliweka ya milimita 12 unakuta aliweka ya 2 mita 9 unakuta badala ya kuweka 6 ameweka 4 na kwa sababu ameweka na mabomba akaweka na zege tunauziwa mbuzi kwenye gunia sasa nimesema.

Kila mkoa kila mkoa uwe na vile vifaa ambavyo vinaweza kuelekeza vyuo kiu imefuatwa bila kubomoa jengo kila mkoa.

Akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi doctor nchemba amesema ameridhishwa na hatua ya utekelezaji wa mradi ambayo yamefikiwa nimeridhishwa na hatua ya mradi ambayo imefikia Mheshimiwa waziri pamoja na timu yako.

Hongera sana na hii inatokana na uchapakazi wako hicho ambacho Mheshimiwa rais ametaka.

Kwamba fedha inapotolewa iendane na kazi ambayo imefanyika hapa taarifa tuliyopewa inaonesha kazi hata ni kubwa kuliko 1/100 ya fedha ambayo imeshatoka.

Hiki ndicho tunachotaka na ndio maana nimetoa raina kwa wakandarasi wengine akishapokea fedha mkandarasi tunataka tuione thamani ya fedha hiyo aliyopokea kwenye kazi ambayo ameshaifanyia nimwelekeze mtendaji mkuu wa ruwasa fanya tathmini ya miradi yote.

Ambayo wameshapokea malipo ya awali na malipo mengine.

Tunataka kuiona fedha.

Tunataka kuiona thamani ya fedha mradi huo ambao chanzo chake kinatoka mito ya nyangao na chiluwa wilayani lindi unatekelezwa na wakala wa maji safi na usafi wa mazingira Vijijini ruwasa na pindi utakapokamilika utanufaisha vijiji 56 katika wilaya za Ruangwa vijiji 34 wilaya ya Nachingwea, vijiji 21 na wilaya ya lindi kijiji kimoja.

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, george simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini na kulinda sauti za viongozi wa kidini kama wadau muhimu katika ujenzi wa taifa linalozingatia haki, amani na usalama.

Simbachawene ametoa kauli hiyo alipokuwa wilayani Karagwe mkoani Kagera wakati wa ibada ya ubarikio wa uchongaji ambapo mashamasi watano wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kkkt walibarikiwa rasmi kuingia katika huduma ya kichungaji.

Amesema serikali inawatambua viongozi wa dini kuwa ni nguzo muhimu katika kudumisha amani umoja na mshikamano wa kitaifa na itaendelea kushirikiana nao katika kuimarisha ustawi wa jamii.

Aidha amewataka Watanzania kuendelea kuwa wavumilivu na kushikamana huku akisisitiza kuwa serikali ipo tayari kusikiliza na kuchukua hatua stahiki katika maswala yanayohusu maslahi ya wananchi na ustawi wa taifa kwa ujumla.

Tunapaswa kutambua madhara ya kweli si zoezi la si.

Baa.

Evil, Evil Cable or.

K ase za dini kwa sehemu yake binafsi za kiraia na wananchi wote kwa kutuma neno la Mungu linasema ni dhahili kudumisha Umoja wa roho kwa kifungo cha amani wakiso 4 mstari wa 3 kwa niaba ya serikali napenda kuwahakikishia Watanzania wote kwamba tuko tayari kama serikali kusikiliza kujifunza na kurekebisha pale inapobidi kwa lengo la kulinda mmoja.

Mshikamano wa taifa letu katika ibada hiyo askofu wa kkkt dayosisi ya Karagwe askofu doctor benson bagonza amesisitiza umuhimu wa viongozi wa dini kuzingatia misingi ya maadili, uadilifu na mshikamano katika kutekeleza majukumu yao huku akieleza kuwa Kanisa la kkkt hivi sasa halisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo.

Hakuna tambi tunayoitumia ndani ya Kanisa ambayo hatuipendi wenyewe ndani ya Kanisa.

Kama nyie amsubiri kupokea mwisho mnajua kuwa mpaka kabisa naka ubadhirifu wa nahi ndani ya Kanisa ni hadi inakufa watu wapo wanaona ulevi hamne wangapi awali wanyoshe mikono hapa sio turugeti hapa ufisadi uzinzi tumebaki kushughulikiana wenyewe kwenye badala ya kushughulikia bambi.

Na sasa tugeukie kwingineko duniani ambapo mawaziri wa mambo ya nje wa kanda ya kusini mashariki mwa asia wanajiandaa kuutafutia ufumbuzi mgogoro kati ya majirani kama bodi ya nak Thailand.

Serikali ya Cambodia imearifu kwamba zaidi ya watu nusu 1,000,000 nchini humo wameachwa bila makazi kufuatia wiki 2 za machafuko yaliyosababisha umwagaji damu kati ya nchi hiyo na jirani yake Thailand taarifa ya serikali ya mjini phnom mpe imetolewa kuelekea mkutano wa kikanda ulioitishwa kwa lengo la kupunguza mvutano huo.

Mapigano mapya kati ya majirani hao wawili wa kusini mashariki mwa asia mwezi huu yaliyohusisha vifaru vya kijeshi, droni na makombora yamesababisha watu 22 kuuawa upande wa Thailand na 19 nchini Cambodia, Thailand imeweka marufuku ya kutotoka nje wakati mapigano na Cambodia yakiendelea chanzo cha machafuko hayo ni eneo la mpakani la kilomita 800 linalojumuisha gofu la hekalu la kale lililoachwa.

Na wakoloni Cambodia na Thailand zimesema mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa kanda hiyo ya kusini mashariki mwa asia utakaoongozwa na Malaysia unatarajiwa kutatua mvutano huo.

Na hii ndio tamati ya bbc news timu mimi ni mahija zayumba nikutakie asubuhi njema.

Naamka asubuhi niendelee waka.

Nawasha ndinga ya mafuta imewaka.

Na sina hata senti mifuko imetoboka mara selcom pesa wanatuma.