Shalom FM 97.3 - 2025-12-19T10:00:00.454Z
Shalom FM 97.3
Arusha
Transcription
The.
Congo.
Imetimia 07:00 mchana.
Shalom.
Kutoka shalom redio msomaji ni samuel wilson chota, lakini kwanza ni habari za kitaifa.
Pwani.
Serikali imeanza kutekeleza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha taifa, nida na huduma nyingine za kiserikali ikiwemo bima ya afya, leseni ya udereva na masuala ya mifuko ya hifadhi ya jamii kwa lengo la kuondoa utitiri wa vitambulisho kwa wananchi wanapohitaji huduma mbalimbali.
Kauli hiyo imetolewa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi, george simbachawene wakati akizungumza katika kikao kazi cha tathmini ya.
Utekelezwaji wa ahadi ya siku 100 ya Mheshimiwa dokta, samia suluhu hassan ambaye ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zanzibar.
Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais Muungano na mazingira, mhandisi hamad masauni amesema mpango wa elimu kwa umma kuhusu Muungano utakuwa ni mpango endelevu ili kuhakikisha elimu hiyo inamfikia kila mmoja ameyasema hayo leo asubuhi na kubainisha kuwa waandishi wa habari wana nafasi kubwa katika utoaji wa elimu hiyo kwa umma na ndio maana ofisi ya makamu wa rais imewapa nafasi na itakuwa ikishirikiana nao kwa 1/100 kubwa.
Ambapo leo kuna mkutano wa mpango wa elimu kwa umma kuhusu Muungano wa ambao ni mkutano wa waandishi wa habari.
Geita.
Mkoa wa geita umepokea jumla ya tani 94 za mbegu za zao la alizeti kutoka mamlaka ya udhibiti wa nafaka na mazao mchanganyiko kopra ili kuimarisha zao hilo na kuwa na zao la kibiashara mkoani humo.
Hayo yamejiri katika kikao cha wadau wa mazao ya biashara kwa ajili ya tathmini ambao wamekutana na kuketi kwa ajili ya tathmini ya utekelezwaji wa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao umekuwa ni mfumo wa 2024.
2025 na maandalizi ya mwaka 2025 2026 ambapo mkuu wa mkoa wa geita, martin shigela amepongeza wakulima hao wa mkoani humo kwa ajili ya kazi wanayoifanya kuongeza pato la taifa kupitia sekta ya kilimo na kimataifa tuanzie huko lusaka.
Rais wa Zambia haitaenda hichilema kwa siku ya Alhamisi amesaini sheria ambayo inapanua bunge la nchi hiyo hatua ambayo wakosoaji wanasema inayoweza kukinufaisha chama chake miezi minane kabla ya uchaguzi wa kitaifa.
Mabadiliko hayo yataongeza idadi ya wabunge hadi takriban wabunge 280 badala ya wa hapo awali ambao ni 167.
Na kuundwa kwa majimbo zaidi ya uchaguzi huku pia vikitengwa viti 40 kwa ajili ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu na kumruhusu rais kuteua wabunge 11 badala ya wanane waliokuwa wakiteuliwa hapo awali.
Nahatimae bra salt katimum.
Mkuu wa Umoja wa mataifa, Antonio guterres ameelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu vikwazo vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya majaji wawili wa mahakama ya kimataifa ya jinai.
ISA akisisitiza kuwa jukumu la mahakama hiyo katika kuhakikisha haki inatendeka kimataifa litaendelea kufanywa ipasavyo.
Kauli hiyo imekuja baada ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani, marco rudio kutangaza vikwazo dhidi ya majaji hao wawili.
Akiwatuhumu kwa kuhusika 1 kwa 1 kuilenga Israel kinyume cha sheria na huo ndio mwisho wa habari.
Kwa ufupi kutoka chalo fm radio 97 nukta 3 meghji sauti ya Mungu na ungana nasi majira ya 10:00 kamili kwa taarifa kamili.
Habari mimi ni samuel wilson chota nikutakie usikivu mwema wa ibada inayofuatia hivi punde.
Jina la Yesu ni moto lao usikose kuhudhuria katika ibada zetu za katikati ya juma maombi ya asubuhi ya morning glory na maombi ya mchana ya lanchi your hapa kanisani kaloleni Pentekoste niwakumbushe kwamba Jumatatu mpaka ijumaa.
Hapa.
Kuna ibada asubuhi kuanzia 12:00 mpaka 01:00 ambayo tunaita.
Morning glory? Halafu kuna nyingine 07:00 mpaka 08:00 mchana.
Ambayo tunaita ranchi au.
Hizi ibada kwa wale mnaoshiriki mnajua kwamba upo moto unawaka kwenye ibada hizo unaswe sana.
Kwa hiyo kumbuka hii hizo pia na jipange kushiriki kama kwa sasa hivi.
Hauji haleluia mto Mungu mtoto mwadhimishe bwana katika ibada hizi hapa katika madhabau ya kaloleni Pentekoste asubuhi mchana na wakati wote.
Naam Bwana Yesu akubariki sana wewe msikilizaji ambaye unaendelea kuwa nasi kwa wakati wote na ndivyo ambavyo ninakuambia shalom shalom nikikusalimu kwa jina la lipitalo majina yote jina la bwana wetu Yesu Kristo, na hivyo kwa wakati huu karibu sana na ungana nasi katika ibada ya maombi ya mchana ambayo ni ibada inakujia 1 kwa 1 kupitia masafa haya ya 97 nukta 3 shalom fm kwa niaba ya wote watakaofanikisha matangazo haya ya kufikia kwa uzuri langu jina ni samuel wilson chota.
Karibu na tuwe sote mwambie baba ninakushukuru watakuwa hii mada pao omary chache.
Mariapa, Mariapa, Mariapa, Mariapa and.
Kwa sauti yako zaidi ya hapo.
Heena wa sauti yako zaidi ya hapo.
When you do my.
Tuone tufuatilie kupitia redio ungana pamoja nasi ni swali 1 la majibu yako nini salim 1 la mtembeo wa nguvu za bwana kuungana pamoja na si mchana wa leo lenoir shina la bwana letu akoze china.
One BA barbarina kosoko Santa quo.
Santa Quo.
Kuna tokoza jina la bwana tafakari uweza wake tafa kaliua.
I'm a chinda *****.
I'm a chinda ***** once a January pakadi simbai one.
I'm a chinda one.
I'm a Chinda Paza saltiako, Paza saltiako, Paza saltiako.
Tanzania.