Blog.

96.9 Afya Radio - 2025-10-17T12:00:00.622Z

96.9 Afya Radio

--:--
--:--

Significant Highlights

1 Highlight

These are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.

Transcription

Ni kwa sababu ya kujichua kwa kutumia vile vifaa ambavyo walikuwa wakivitumia kwa hapo nyuma, lakini pia kitu kingine ni kupata maumivu ukeni yasiyo na sababu, yaani mwanamke anaweza akawa amekaa ghafla akawa anapata maumivu makali sehemu zake za siri pasipokuwa na sababu hata akienda kupima anaambiwa hana magonjwa yoyote, lakini kutokana na ile hali ya kujichua mara kwa mara ndiko kumepelekea kupata maumivu hayo.

Sehemu za ukeni kitu kingine ambacho kinaweza kikatokea ni kulegea.

Kwa uke mwanamke au sehemu zake za siri zinakuwa zimelegea hasa katika shingo yake ya kizazi inakuwa imelegea na hii ni kwa sababu ya vifaa ambavyo anavitumia.

Aidha anaweza akawa anatumia vifaa vikubwa tofauti na maumbile yake ambayo yanapelekea kulegea kwa kizazi chake.

Kwa hiyo kama wewe mwanamke kizazi chako kimelegea halafu hapo nyuma au mpaka sasa hivi bado unatumia vifaa hivyo kujichua basi nakusihi.

Tuwaache kwani unakuwa unaharibu sisi mzima ya mfumo wa uzazi kitu kingine ambacho kinaweza kikakika kikatokea ni mwanamke kutoka majimaji kila wakati ambayo yanasababisha kukosekana kwa ute katika ule ute ambao unakuwa unatokea pale mwanamke anapokuwa tayari ameshajiandaa kwa ajili ya tendo.

Kwa hiyo yale majimaji yanaweza yakawa yanatokea mara kwa mara pasipokuwa na sababu na kupelekea kukosa ule uteute.

Kabla hajaanza tendo hii ni kwa sababu ya vile vifaa pia ambavyo anakuwa anavitumia afya kujichulia kwa sababu kuna baadhi ya vifaa ambavyo anaweza wakavitumia vikienda vikikaushwa kabisa kule ute wa kule ndani na kupelekea kuanza kutoka majimaji kwa mwanamke ambayo yanakuwa yanatoka mara kwa mara hata kama hajashiriki amekaa na wenzake, lakini yale maji maji yanakuwa yanatoka na hii ni kwa sababu ya hivyo vifaa ambavyo vinakuwa vinatumika katika swala zima la kujichua kitu kingine ambacho kinaweza.

Ikamtokea kwa mwanamke ni kinaweza kikawa anaweza mwanamke akapelekewa kufanya mapenzi ya jinsia 1 ambapo anaweza akakutana na mwanamke kwa mwanamke yeye akawa yaani inapelekea kwamba mwanamke akikutana na mwanamke kwa mwanamke sasa yeye anaridhika kitu ambacho si cha kawaida na hii yote inapeleka inasababishwa na kitendo ambacho anakuwa akikifanya cha kujichua.

Kwa hiyo swala zima la kujichua kwa mwanamke linaweza likasababisha.

Ku kufanya tendo la ndoa au kufanya mapenzi ya jinsia 1 kitu kingine ambacho kinaweza kikatokea ni kuwa na na na hasira za mara kwa mara.

Sasa hapa inatakiwa kuwa makini kuhusiana na swala zima hili la kuwa na hasira za mara kwa mara unapokuwa una una unafanya swala zima la kujichua madhara yake hapo mbele yanaweza yakasababisha kuwa na hasira za mara kwa mara pasipo kujua hasira hizo zimesababishwa na nini? Hasira hizo ina maana zinatokea mtu unaweza labda aidha ukamuona ukaona kitu chochote ghafla hasira zikapanda au ukawa umekaa pasipo kufanya kitu chochote hasira pia zikawa zimepanda kitu ambacho sio kizuri lakini pia kitu ambacho hakijazoeleka kwa hiyo mtu unapokuwa unafanya swala zima la kujichua halafu baadaye ndio madhara haya yanaweza yakatokea hivyo basi kitu ambacho kinatakiwa kufanyika ni nini mara 1 mwanamke unatakiwa waache kwani madhara haya.

Yanaweza pia yakasababisha hata usipate ujauzito kwa sababu tayari unakuwa umeshawathiri mfumo mzima wa uzazi ambapo unakuwa umeshawathiri mji wa mimba umesha athiri ukuta wa mji wa mimba umeshawathiri shingo ya kizazi na viungo vingine vya mfumo wa uzazi.

Kwa hiyo hivi pia vinaweza vitapelekea usipate kabisa ujauzito.

Deal za chimbo.

Thank you asante kwa mtaalamu wa afya man yeah tumeelewana vizuri sana maswali.

Naomba.

Yasikilizwe tena kuhusiana na hiyo kitu by the big time kwa washikaji zetu ambao tunasikilizana poa baada ya dini za chimbo wanajua tuko kwenye mwezi ambao uchaguzi mkuu utafanyika na itakuwa ni tarehe 29 baadaye mgombea wa chama cha cha mapinduzi yuko zake katavi pale.

Good news kama movie jina lake liliitwa katavi mpya na director ni doctor samia suluhu hassan halafu movie lenyewe hili linaletwa kwenu na chama cha mapinduzi cc m lakini hii si sinema hii ni hali halisi maendeleo yanaonekana matumaini yanarudi na katavi inaamka upya.

We do, yes.

And then? Pia katavi mama wa kazi na utu doctor samia suluhu hassan hivyo ombea urais wa CCM anakuja kuzungumza na wewe mkulima, mfugaji, kijana na mama wa Kitanzania.

Sikiliza mipango yake mikubwa ya kuendeleza kilimo kujenga miundombinu kuboresha elimu, afya na utu wa kila Mtanzania karibu kwenye mikutano ya kampeni ya ccm mkoani katavi ikiongozwa na doctor samia suluhu hassan, mgombea wa urais kiongozi wa matumaini mapya anayeamini kwenye kazi na utu kazi na utu tunasonga mbele chagua samia chagua ccm 10/29 tuna.

Your heart weah.

This is 96.9.

Afya redio beat music his heart kitaa kina vibe kinoma kama umeme joga.

Msemaje alikiba na wametupita huku tupite ni huku tupilia kuna wasanii wanaokubalika AH baba alikiba hii yaani ile utu ile achana nayo ile kitu ili semina mko baada ya mondi amina mkubali amonize hii nilicheza na kitaa.

Naitwa verediana yaani kakopa kutoka Shinyanga na sikiliza chimbo la virus ya afya radio naomba ngoma ya big brain iamue live today iwafikie marafiki zangu vipenzi rehema mlaki akiwa Shinyanga mfikie Elizabeth malaria akiwa na Shinyanga imfikie manoela mwaikenda akiwa Shinyanga asanteni.

I AM not cool in the day.

I am alive today.

Baba is by your grace.

I woke up this morning is by your grace those people have tried to get I am no greater than them.

Those people in there much every I am no good in the dead.

Good morning.

No, good morning, Jesus.

Good morning, love.

What did I do for that? What did I do to deserve all your great love? As I wake up this morning, this morning I go on my knees full of tears of tears of joy, tears of praise, tears of Thanksgiving.

Thank you Lord, thank you Lord for the gift of life of life today.

Papa is by your grace I woke up this morning is by your grace.

I am no greater than them.

I am no cool in the I am alive today.

Bye bye.

It's by your grace.

I woke up this morning.

It's by your grace.

Don't people have tried to get I am no greater than that? I am not calling the dead good morning.

So good morning, Jesus.

Good morning, Lord.

Good morning Lord, I am alive.