Blog.

Habari Maalum FM - 2025-10-14T14:00:00.479Z

Habari Maalum FM

--:--
--:--

Transcription

The.

The.

The.

97 nukta 7 habari maalum fm Arusha 100 nukta 5 habari maalum fm Singida.

Baada ya shughuli mbalimbali za kutwa nzima, sayari inakupa pole na kukaribisha katika sayari nyingine itakayokufanya ubadilishe mawazo yako na kuwa mwenye kufurahia uumbaji mkuu wa Mungu huku ukipata mafunzo yatakayokufanya kuwa mkamilifu mbele ya uso wa bwana sayari karibu katika dunia nyingine yenye mafunzo kumjua Mungu huku ukitengenezwa msingi wa daraja la kufanikiwa katika hayo mazingira ambayo unaishi bila kusahau nyimbo za kumrudishia sifa na utukufu Mungu wetu.

Ikiwa ni sehemu ya kipindi hiki sayari ni zaidi ya unavyofikiria.

Ni maalumu sehemu.

Wenye mtazamo mpya wa dunia ya kileo ni sayari yenye mtazamo mpya wa dunia ya kileo.

Music.

Nikukaribishe msikilizaji katika kipindi cha sayari katika siku hii ya leo ni 11:00 na dakika ya 3 na sayari ya leo imeweza kuanza majira haya kutokana na semina ambayo tulikuwa nayo kwa siku hii ya leo na mimi ya kwamba umeweza kuisikiliza na kuweza kubarikiwa na semina hiyo, kwa hiyo ambayo walikuwa wakifuatilia naamini ya kwamba umebarikiwa na umeweza kujifunza mambo kadha wa kadha na wasaa huu ndani ya sayari.

Naye nikukaribishe msikilizaji eeh kuna mambo mbalimbali kabla haija timu majira ya 11:15 ya natamani nipate sehemu 2 ama 3 ama 5 ya tufanye 5 za wale wasikilizaji ambao walikuwa wakisikiliza semina ambayo ilikuwepo mahali hapa japo simu 5 tu au message kwa wale ambao ulikuwa kufuatilia semina hii ya vijana iliyokuwa ikifanyika katika Kanisa la.

Fpct habari maalum huku ngaramtoni Arusha huwezi kutuambia kile ambacho umejifunza katika semina ya vijana lakini wanakipi cha kumwambia yule msikiliza yule ambaye alikuwa hafuatilii semina hii ama hakuweza kufika wewe ambaye ulifika lakini pia kwa wale ambao walikuwa wakifuatilia kuna kitu ambacho umekipata unaweza ukaishia na sisi hapa na yule ambaye alikuwa yuko bize bize hajapata muda wa kusikiliza basi aweze kuokota japo viwili vitatu.

Kutokana na kile ambacho utaweza kushea pamoja na sisi karibu uweze kushea na sisi kwa namba ya 0755442299 au 0686777704 karibu sana uweze kushea na sisi kile ambacho umejifunza kupitia simu na vijana ambao imeweza kufanyika leo katika Kanisa la fpct habari maalum 0755442299.

Au 0 6 nani 6 sabasaba sabasaba 0 4 kumbuka kipindi cha sayari leo utakuwa na mimi naomi ayubu mpaka majeruhi 12 na nusu haya nitaweza kukuaga mahali hapa kwa hiyo.

Karibu sana tuweze kushirikiana kwa pamoja niko tayari kwa ajili ya kuweza kusoma ujumbe wako lakini pia kupokea simu kwa wewe ambaye walikuwa wakifuatilia simu na mahali hapa una kipi cha kushea na sisi kwa kile ambacho wamejifunza katika semina ya siku hii ya leo, lakini unakipi pia cha kushauri kupitia semina hii ya leo ambayo imeweza kufanyika imekuwa baraka imekubali kiasi kwamba unatamani kama habari maalum fm tuweze kuandaa tena semina ya namna hiyo karibu sana uweze kuzushiana sisi mawili matatu kwa habari ya semina.

Ambayo umeweza kuisikiliza hapa ndani ya madhabau hii.

Sawa na nimepokea ujumbe wa kwanza kabisa hapa anasema nimejifunza ndoa njema na mwanamke bora wao.

Mungu akubariki sana kwa kuweza kujifunza kitu hicho ni chema sana kama kijana kitakusaidia sana napokea simu hapa kwenye laini ya simu haloo.

Ee bwana hasa sio amina Bwana Yesu asifiwe ni sauti ya nikutokea wapi? Unaongea na mama kevin kutoka mrombo karibu sana ulishiriki katika semina ama ulikuwa unasikiliza.

Nilikuwa nasikiliza wao karibu tuambie kile ambacho umejifunza kupitia ulivyokuwa ukisikiliza.

Amina mimi nilijifunza vitu vingi sana kupitia vijana walivyofundishwa mm hmm jinsi ya kuwa na Roho Mtakatifu jinsi ya kumpenda Mungu jinsi au safi.

Kwa kweli vijana kama walikuwepo leo wamesema wamefungua mioyo yao wamepokea kitu.

Amina una kipi cha kuwashauri vijana kwa kile ambacho wamefundishwa kwa siku hii ya leo.

Ninawashauri vijana waendelee kuvizingatia vitu vyote walivyofundishwa kwa ajili ya uchumi kwa ajili ya kuacha uvivu.

Mungu awasaidie waendelee kuvifuata yaani hivyo vitivo vitu walivyofundishwa wavifanyie kazi amina barikiwa sana kutokea huko.

Amina nabarikiwa na amina.

K kwenye laini ya simu.

Hello.

Hello.

Kwenye laini ya simu halo.

OK kwenye laini ya simu halo.

K pole sana kwenye laini ya simu.

Hello.

Hello.

Kwenye laini ya simu halo.

K nadhani mtandao haujakaa vizuri kidogo k karibu ni sauti ya nani kutokea wapi? Ni sauti ya simon kutokea kisongo karibu simon utuambie ulishiriki katika semina ama ulikuwa ukifuatilia kupitia madhabahu hii.

Hali ilikuwa anafuatilia kupitia redio.

Mm hmm.

Japo nilikuwa na majukumu hoja kutoa vipindi kipo katikati lakini kwa kweli nimebarikiwa sana na ujumbe wa.

Mchungaji aliyemalizia kuhutubia amenigusa kweli kweli amina.

Ukweli vijana watakuwa tujifunze kuwa tujue kuwa kwamba mm hmm swala la uzinzi kweli so swala zuri kweli ile damu ina ina ina ina tembea inatembea yaani.

Nimejifunza cha kitu sana hicho kitu nimekielewa amina barikiwa sana kwa ujumbe huo ambao umeupokea katika siku hii ya leo ya semina.

Naamini amina amina amina amina.

Kwenye laini simu halo.