HABARI NJEMA RADIO - 2025-10-17T13:00:00.661Z
HABARI NJEMA RADIO
Dar es Salaam
Significant Highlights
1 HighlightThese are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.
Transcription
Mizigo nami nitawapumzisha sikiliza redio habari njema kwa pumziko la faraja.
Yeah.
Zifuatazo ni habari za Kanisa kutoka hapa redio habari njema msomaji wa kunisahau ulipo kwanza ni muhtasari wake Wakristo wameaswa kushikamana na kuishi kwa upendo katika maisha yao.
Wito huo umetolewa kwa Wakristo wote kuwa waaminifu na kuishi maisha ya kiimani na kuepuka dhambi.
Hotuba ya Papa Leo wa 14 mapambano dhidi ya baa la njaa ili kujenga amani.
Ustawi maendeleo na mafao ya wengi na sasa ni habari kamili.
Wakristo wameaswa kushikamana na kuishi kwa upendo katika maisha yao hayo yameelezwa na frateli benedicti kinachotoka wa shirika la wamisionari wa damu takatifu ya yesu kutoka seminari kuu ya mtakatifu gaspar del bufalo kola Morogoro wakati akitoa tafakari ya neno la Mungu leo Kanisa linafanya kumbukumbu ya mtakatifu 2 na sio ndio kia askofu na shahidi wa imani alizaliwa mwaka 35 kabla ya Kristo na ni mmoja wa wanafunzi wa mtuhumiwa.
4 baada ya kufundisha imani alichaguliwa kuwa askofu wa Antiokia mji uliokuwa kiini cha Ukristo wa mwanzo na ndiko Wakristo waliitwa kwa jina hilo kwa mara ya kwanza ukirejea matendo ya mitume sura ya 11, 26 wakati wa mateso makali chini ya kaizer georgian ignas alikamatwa kwa kosa 1 tu kwamba alikuwa mkristu na aliongoza Kanisa alisafirishwa kutoka Antiokia hadi roma akiwa kifungoni akijua fika kwamba huko Roma angeuliwa hadharani kwa wanyama porini.
Safari yake ya kufungwa ikawa safari ya mahubiri ya mwisho akiwa njiani aliandika barua maarufu kwa kama kwa makanisa mbalimbali akiwatia moyo waumini washikamane na Kristo waishi katika upendo wa t wachungaji wao na wasalie katika imani yao katika ekaristi takatifu 1 ya kauli zake mashuhuri ni ninaandikwa kwa meno ya wanyama ili nipate kuwa mkate safi wa Kristo.
Maneno haya yanaonyesha moyo wake wa imani thabiti.
Usiwe na hofu ya kifo bali ukitamani kuunganishwa kabisa na mateso na ushindi wa Kristo.
Hapa tunaona kwa namna ya pekee Injili ya leo ikitimia yesu anasema msiwaogope wale wauao mwili kisha hawana zaidi ya kufanya kurejea Injili ya luka sura ya 12 i 4 mtakatifu highness hakumuogopa kaizali hakuwaogopa mtesaji wa la simba, bali alimtumainia Mungu alijua kuwa mwili.
Tunaweza kufa lakini loho iko mikononi mwa Mungu mwenye uhai wa milele.
Hii ndiyo imani ya kweli imani isiyo na unafiki pia frateri kinachotoka, amesema kila Mkristo anatakiwa kujihadhari na chachu ya mafarisayo.
Yesu pia anatuonya jihadharini na chachu ya mafarisayo ambayo ni unafiki mafarisayo walionekana wacha Mungu mbele ya macho ya watu, lakini walijaa hira na kiburi ndani yao.
Mtakatifu ignus anakuwa kinyume cha mfano huu aliishi maisha ya unyofu na kweli hakuvaa sura ya imani wakati moyo wake huko mbali na Mungu bali aliunganisha ukweli na Kristo kwa moyo maneno na matendo yake.
Katika Injili hii, yesu anasema, je shomoro watano hawauzi kwa $0.02, lakini hakuna hata mmoja wao aliyesahaulika mbele za Mungu.
Hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa vyote msiogope nyinyi ni wa thamani kuliko shomoro wengi.
Nikirejea Injili ya luka sura ya pombe na 2 mstari wa 6 mpaka wa 7.
Maneno haya yana tufariji leo kila mmoja wetu ana thamani kubwa machoni pa Mungu kama Mungu anamjali shomoro mdogo je si zaidi wanadamu aliyewaumba kwa sura na mfano wake mtakatifu ignance alielewa hili vyema hakuji hesabu mpotevu bali mtoto wa Mungu mwenye thamani kubwa kiasi kwamba maisha yake yote yalikuwa sadaka safi kwa Mungu.
Kwa hivyo mfano mtakatifu idd na.
Wanatufundisha mambo makuu kadhaa kwa maisha yetu ya sasa ujasiri katika imani tusiishi kwa uoga mbele ya dunia.
Wengine wanaita kutoa kudhihaki kwa imani yetu.
Lakini kama mtakatifu hiki, nasi tumshuhudie Kristo waziwazi, tuepuke unafiki tusiwe Wakristo wa maneno au sura ya nje pekee.
Baadhi ya Wakristo wa moyo ulio safi, Mungu hawezi kudanganywa yote yaliyofichwa yatafunuliwa kujua thamani yetu mbele ya Mungu.
Hivyo amehitimisha kwa kumtaka kila mkristu kuiga mfano wa mtakatifu ignasi wa Antiokia askofu na shahidi wa imani katika maisha yao ya kila siku.
Wito umetolewa kwa wakristu kuwa waaminifu na kuishi maisha ya kiimani na kuepuka dhambi wito huo.
Umetolewa na mchungaji sebastian barite wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kkkt usharika wa mburu wakati akitoa tafakari ya neno la Mungu.
Mkristo anapaswa kuwa mwaminifu kwa Mungu wake katika maisha ya imani ishi maisha ya imani kwa kukataa maisha ya uasi na ya dhambi ili aweze kufaa hata wakati ule wa mwisho bwana anapokuja kulinyakua Kanisa lake aione imani ndani ya maisha ya muumini.
Ili aweze kufaa kuwa mrithi wa uzima wa milele, lakini jambo la pili tulikuwa tunazungumza ni juu ya ugeuzi wa kiimani kwamba maisha ya muumini yanapaswa kugeuzwa na Mungu kupitia ujumbe wa neno la Mungu unapoingia ndani ya nafsi ya mtu neno la Mungu linaloleta mageuzo na kubadilisha maisha ya mtu ili kumkiri Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yake na.
Ili siku bwana atakapokuja kulinyakua Kanisa lake aweze kufaa kuwa mrithi wa maisha yale ya uzima wa mlele muumini anapaswa kuwa na Agano la upendo na uaminifu kwa Mungu wake.
Aishi maisha ya upendo kati ya yeye na wanadamu anaokaa nao wakati wote waishi maisha ya upendo, lakini pia waweze kuishi maisha ya upendo na uaminifu yeye na Mungu wake aishi katika maisha ya imani na kuwa mwaminifu wakati wote kwa Mungu katika ufuasi wake, kwa matendo yake na kwa maneno yake.
Aweze kudhihirisha uaminifu wake katika imani ya Kikristo pia mchungaji barite amewasihi Wakristo kuishi maisha ya kusameheana napenda kuwaasa waumini wote waishi maisha ya kusameheana wenyewe kwa wenyewe.
Wanadamu lakini pia aishi maisha ya kusamehewa na Mungu ili wakati wote aishi katika maisha haya ya msamaha kama Kristo alivyotusamehe na sisi tusameheane na tufanye kuwa wana wa Mungu katika maisha yale ya uzima wa milele.
Maisha ya baraka, amani na upendo, uvumilivu maisha ya kusameheana na maisha ya kuchukuliana sisi kwa sisi awabariki Mungu Mwenyezi baba mwana na Roho Mtakatifu amina hotuba ya Papa Leo wa 14.
Mapambano dhidi ya baa la njaa ili kujenga amani ustawi maendeleo na mafao ya wengi.
Kwa taarifa zaidi tuungane na padre Richard mjigwa kutoka vatican, shirika la chakula na kilimo la Umoja wa mataifa fao tarehe 16 Oktoba mwaka 2025 inaadhimisha kumbukizi ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwake sanjari na maadhimisho ya kimataifa ya siku ya usalama wa chakula kwa mwaka 2025 yanayoonyeshwa na kauli mbio tuungane pamoja kupata chakula bora kwa maisha bora ya baadaye.
Sherehe hii imehudhuriwa na baba mtakatifu leo wa 14 ambaye katika hotuba yake elekezi amegusia kuhusu mapambano dhidi ya baa la njaa ili kujenga amani ustawi maendeleo na mafao ya wengi.
Fao haina budi kutoa kipaumbele cha kwanza kwa uhakika na usalama wa chakula duniani kwa kutumia maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia ya kilimo ili kuokoa maisha ya mamilioni ya watu wanaoteseka kwa baa la njaa ambalo wakati mwingine linatumika kama silaha ya vita.
Vita kinzani na mipasuko ya kijamii ni chanzo kikuu cha baa la njaa na umaskini duniani.
Kuna umuhimu wa kujenga na kudumisha umoja mshikamano na udugu wa kibinadamu ili kuelekeza sera na mikakati ya kuwa na uhakika na usalama wa chakula duniani kwa kuwezesha wanawake katika sekta ya kilimo pamoja na kuhakikisha kwamba watu wengi zaidi wanapata maji safi na salama, sanjari na huduma bora za afya.
Kuna watu wanapoteza maisha kutokana na vita changamoto.