Blog.

Radio 5 FM - 2025-10-16T09:00:00.539Z

Radio 5 FM

--:--
--:--

Transcription

Radio fight Radio.

Radio, radio fight.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it I love it.

I love it.

Everywhere you go, whatever kind, the.

Radio, Radio.

Radio, Radio.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

I love it.

Kutoka njiro Arusha hii ni radio five radio five naam msikilizaji ikirusha matangazo kutoka njiro Arusha Tanzania hii ni radio five hali gani na karibu katika taarifa ya habari.

Live from the Tan Media Communication Centre in Jiro, Arusha.

This is Radio 5 News.

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, daktari samia suluhu hassan kupitia chama cha mapinduzi ccm leo 10/16 2025 anaendesha anaendelea na kampeni za kunari yaliyomo katika ilani ya uchaguzi ya chama chake mkoani Kagera katika uwanja wa kaitaba uliopo bukoba mjini.

Siku ya jana 10/15 2025 alianza kampeni zake kwa mkoa huo kwa kunadi sera za ccm kwa wakazi wa wilaya ya muleba, misenyi na Karagwe baada ya kuhitimisha kampeni katika mkoa huo wa Kagera, daktari samia suluhu hassan ataendelea katika mikoa mingine kuendelea na kampeni hizo kuelekea uchaguzi mkuu wa 10/29.

Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, daktari doto biteko amezindua mradi wa dunia wa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko chini.

Kwa kuzitaka wizara zote za tawala za mikoa na serikali za mitaa pamoja na taasisi kutekeleza shughuli za kipaumbele katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko na dharura za kiafya, daktari biteko ametoa agizo hilo jijini Mwanza na kusema kuwa mradi huo wenye thamani ya $38,000,000 nukta 7 za Marekani unalenga kuboresha huduma za afya kwa Watanzania na kuchochea maendeleo ya nchi.

Amesisitiza kuwa wizara, taasisi na washirika wa maendeleo wanatakiwa kusimamia utekelezaji katika uwekezaji huo na kuhakikisha anapatikana matokeo chanya kama ilivyokusudiwa.

Amesema kuwa serikali kwa upande wake itaendelea kushirikiana na wadau wote wa ndani na nje ya nchi katika kuimarisha mradi huo ili uweze kuleta matokeo chanya katika kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ambaye amekuwa tishio kwa maisha ya watu na kurudisha nyuma maendeleo.

Kwa upande wake naibu waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, sera, bunge na uratibu Mheshimiwa ummy nderiananga amesema uzinduzi wa mradi huo ni muhimu katika jitihada za kukabiliana na magonjwa ya mlipuko kusema mradi huo unaotekelezwa wako hapa mmoja kati ya serikali chini ya uratibu wa ofisi ya waziri mkuu kupitia sehemu ya afya pamoja na wadau wa maendeleo ikiwemo shirika la afya duniani WHO.

Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto unicef na shirika la chakula duniani, fao na pandemic fund.

Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia chama cha mapinduzi ccm, daktari Hussein ali mwinyi ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za matibabu kwa watu wenye ulemavu.

Hatua hiyo ni sehemu ya azma yake ya kuhakikisha kundi hilo linapata huduma bora za kiafya na haki sawa katika jamii.

Daktari mwinyi ametoa ahadi hiyo kisiwani Unguja na alipokutana na kundi la watu wenye ulemavu Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa mikutano yake ya kampeni ya kunadi sera za ccm katika kuomba kura.

Daktari mwinyi ameeleza kuwa serikali atakayoiongoza itaweka mazingira rafiki.

Itakayowezesha watu wenye ulemavu kupata matibabu stahiki bila vikwazo za kifedha ikiwa ni pamoja na ubaguzi wa aina yoyote.

Kwa maana ya utendaji watendaji wa ndani ya serikali tunapokuwa tunaajiri tutatoa kwa mazingatio maalum kwa watu wenye.

Ameongeza kuwa serikali yake itahakikisha inaongeza nafasi za ajira na uteuzi kwa watu wenye ulemavu ili nao wawe sehemu ya maamuzi ya maendeleo ya taifa ambapo daktari Hussein ali mwinyi ameeleza kuwa pamoja na hatua hizo serikali itaendelea kuimarisha ustawi wa watu wenye ulemavu kiuchumi kwa kutoa mikopo.

Isiyokuwa na riba pamoja na wawezeshaji wa mitaji ili kuendesha shughuli zao za maendeleo kiuchumi.

Ni takriban 14 za Afrika za sub-sahara na kundi la kwanza ambalo ni wanachama wa shirika la fedha la kimataifa, IMF zimekubaliana kuimarisha mikakati ya kukuza uwekezaji kutoka sekta binafsi na kuimarisha mifumo ya makusanyo ya mapato ya ndani katika nchi zao ili kukabiliana na changamoto ya kupungua kwa fursa za mikopo na misaada kutoka kwa washirika wa maendeleo hayo yameelezwa wakati wa mkutano wa 52 wa kundi la kwanza la nchi za Afrika uliofanyika pembezoni mwa mkutano wa mwaka wa shirikisho la fedha.

Mataifa mf benki ya dunia jijini Washington dc nchini Marekani akizungumza baada ya mkutano huo, kiongozi wa ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa huo wa mwaka wa benki ya dunia na shirika la fedha la kimataifa ambaye ni katibu mkuu wa wizara ya fedha na mlipaji mkuu wa serikali, daktari nato el maamry mwamba amebainisha kuwa makubaliano hayo yamelenga kuimarisha upatikanaji wa rasilimali fedha zitakazosaidia kukuza uchumi na maendeleo ya wananchi.

Amesema kuwa.

Katika taarifa iliyotolewa na mkurugenzi mtendaji wa IMF anayesimamia kundi la kwanza la Afrika.

Bwana adan ubisi inaonyesha kuwa Tanzania inafanya vizuri katika mikakati yake ya kuimarisha uwazi na matumizi ya bajeti ya ujenzi na mifumo ya kuimarisha ukusanyaji wa fedha za ndani.

Hatua itakayosaidia kupunguza utegemezi wa mikopo na misaada kutoka nje ya nchi.

Daktari mwamba amesema kuwa Tanzania imeweza kudumisha udhibiti wa uchumi mpana na mwenendo endelevu wa deni la taifa kupitia usimamizi makini wa fedha za umma unaoongozwa na uratibu thabiti wa fedha za kiuchumi.

Na kuleta maendeleo mkutano wa kundi la kwanza la nchi za Afrika chini chini ya wanachama wa shirika la fedha la kimataifa ya mf unahusisha mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu kutoka nchi 14 ambazo ni Angola, Tanzania, Botswana, comoro eswatini, Lesotho, madagascar, Malawi, Mauritania, Msumbiji, Namibia, Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe.

Taarifa ya habari inakujia kutoka radio five.

Mamlaka ya usafiri wa anga nchini kenyak.ca imesitisha kwa muda shughuli zote katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jk i kufuatia hali ya taharuki ya kiusalama iliyoibuka baada ya kuwasili kwa mwili wa aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza raila omolo odinga katika taarifa za vyombo vya habarik.ca imesema kundi kubwa la waombolezaji walivamia maeneo ya uwanja yaliyokuwa yamewekwa vizuizi vya kiusalama hatua iliyozaliwa iliyolazimu uwanja kufungwa kwa tahadhari ili kutoa nafasi kwa vikosi vya usalama, kurejesha utulivu na kuhakikisha.

Usalama wa wasafiri na wafanyakazi uwanjani hapo unakuwepo wananchi na wasafiri wametakiwa kuepuka eneo la jk i kwa sasa.

Hadi itakapotolewa taarifa mpyak.ca imesema shughuli ya kawaida zinatarajiwa kurejelewa pindi tu uwanja itakapothibitishwa kuwa ni salama ndani ya takribani 02:00 zijazo.

Aidha taarifa rasmi kwa mashirika ya ndege northam tayari imetolewa ikieleza kuhusu usitishwaji huo wa muda wa safari za anga.

Pakistan na Afghanistan zimetangaza kusitisha mapigano baada ya siku kadhaa za makabiliano makali ya mpaka ambayo haijapata kushuhudiwa kwa miaka mingi iliyopita.

Taarifa za usitishwaji.