Blog.

Upendo FM Radio - 2025-10-16T06:00:00.630Z

Upendo FM Radio

--:--
--:--

Transcription

Watu cha kwanza 2026 unaendelea shuleni mkuza kila siku za kazi Jumatatu hadi ijumaa shule ina mazingira mazuri ya kujisomea maadili mema kumcha Mungu na ufaulu ndio kipaumbele nafasi za kuhamia kidato cha kwanza na cha 3 zipo chache wazazi na walezi karibuni sana kuleta watoto kupata elimu bora walielewe katika maadili ya kumpendeza Mungu kwa mawasiliano piga simu nambari 0754631635.

Au 0752151505 na 0718808099 kwa taarifa zaidi tembelea Instagram akaunti mkuza underscore girls Facebook akaunti mkuza High School.

Kongamano la wajane ndio niko kongamano la wajane kamati ya wanawake new life in christ katika mkoa wa dar es Salaam wameandaa kongamano kubwa la wajane la mafundisho na maombi.

Kongamano hilo litafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 18 mwezi wa 10, 2025 katika center ya new life in christ tabata kuanzia 02:00 kamili asubuhi hadi 11:00 kamili jioni hii itakuwa siku ya mafundisho na maombi kwa wajane wote wawili.

Katika kongamano hili ni mchungaji tuli.

Aende salama.

Kushughulika na mambo yako mbona tunaenda mbele za Mungu.

Mama helen bi kijo simba mkurugenzi mstaafu wa kituo cha haki za binadamu na atafundisha kuhusu haki za mjane na nafasi ya watoto watakaohudumu siku hiyo ni pamoja na prince timu ya new life in christ, dar es Salaam pamoja na upendo nkone jinsi ya kufika pande basi la segerea shuka kituo cha posta kuvuka barabara na uliza soko la liwiti nenda na hiyo barabara katikati ya soko na utafika kwenye kongamano usipange kukosa kongamano hili ni la muhimu sana wajane wote.

Unakaribishwa sana joe na moyo wako kwa kupokea kutoka kwa bwana kwa mawasiliano piga simu nambari 0759260490 na 0672788815.

Watu wote mnakaribishwa.

Umewahi vipi mbona mapema yote hii asubuhi asubuhi unakwenda wapi? Ina maana mke wangu hujui kwamba leo ni siku ya kupiga kura najua ndio mapema yote hii mmm nimewahi kuamka mke wangu kwa sababu mpiga kura anatakiwa kufika kituoni kwa muda uliotangazwa na tume kuanzia 01:00 kamili asubuhi mpaka 10:00 kamili alasiri na kwa upande wa magereza kuanzia 02:00 kamili asubuhi mpaka 09:00 kamili alasiri akiwa na klabu yake ya mpiga kura na kujipanga kwenye mstari.

Kumbe nashangaa mpaka sasa hivi bado haijajiandaa we chelewachelewa utakosa haki yako ya msingi basi nisubiri twende wote mume wangu ndio ni vizuri kufika mapema katika kituo chako cha kupigia kura vituo vilivyotumika kuandikisha wapiga kura ndivyo vitakavyotumika kupigia kura ikiwemo vilivyopo katika magereza wakati ndio wakati ndio huu kura yako haki yako jitokeze kupiga kura.

Ujumbe huu umeletwa kwenu na tume huru ya taifa ya uchaguzi ebeneza real estate Company Limited.

Imekuletea mradi mpya wa viwanja eneo la mlandizi cha kenge viwanja vipo karibu na huduma zote muhimu bei ni kuanzia laki 2 tu ukubwa ni kuanzia 18 kuwa 20 na kuendelea ndio laki 2 tu lakini vile vile nipatie mashamba kwa kuanzia shilingi 2,000,000 za Kitanzania siku ya kwenda saiti ni kila Jumamosi tembelea ofisi zetu zilizopo mbezi mwisho au kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0 6 7.

4 20 20 74 au 0 6 7 4 50 50 14 kwenye mitandao ya kijamii ebeneza.

Skt ebeneza real estate Company Limited ujanja ni kiwanja.

Kairuki University kilichopo mikocheni jijini dar es Salaam kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka 20 25 20, 26 katika programu zifuatazo diploma in sociol work kwa miaka mitatu diploma in nafsi yaani midi wifi ambayo inatolewa kwa mfumo wa aina 3 waliomaliza elimu ya sekondari yaani preserves kwa miaka mitatu wanaojiendeleza wakiwa kazini kwa njia ya masafa yaani ile lenin kwa miaka miwili na wanaojiendeleza wakiwa chuoni kwa mwaka mmoja.

Chuo kinatangaza degree programs katika fani zifuatazo bachelor of social kwa miaka mitatu.

Bachelor of sayansi nafsi kwa miaka minne na doctor of medicine kwa miaka mitano pia chuo kinatangaza master programs katika fani zifuatazo master of medicine inayotrend xd gani ekolojia kwa miaka mitatu master of medicine ni surgery kwa miaka mitatu master of medicine ili internal medicine kwa miaka mitatu masters medicine ili pediatrics and child health kwa miaka mitatu masters in public health kwa miezi 18 na master of social kwa miezi 18.

Maombi ya programu zote yanafanyika kupitia tovuti ya chuo www.dot KU dot.

Dot tz kwa mahusiano zaidi piga simu namba 0659371234 au fika chuoni mikocheni ofisi ya udahili wowote anakaribishwa.

Hii ni hali yangu kwa sasa hali halisi ijue hali ilivyo.

Kukicha watu wa magari majumba.

Ila kwa sasa si wenzangu tena si nukta.

Mungu ni wa pekee.

None.

Yaani ni swala la.

The.

The.

Hata nikiwa sina kabisa siku hiyo Mungu anaujua moyo.

None.

Yeah.

The mix killer.

Jicho letu limetazama na kudadavua kwa uyakinifu undani wa habari kubwa kwa siku ya leo imeandikwa vipi ukweli wake uko vipi? Na matokeo yake je huko kwa sana na kutoa nafasi ya majibu kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na hili ni jicho letu.

Je.