Jembe FM - 2025-10-16T21:00:00.565Z
Jembe FM
Mwanza
Transcription
Mke uliomo ukimkuta maeneo ya tunasema shamba wanakuwaga na vile vya aibu aibu akaniambia basi ngoja nikufikirie kikweli ikabidi tonio na subira maanake wanasema subira yavuta heri nikawa na subira kweli wikendi ikaisha vizuri Jumatatu tukaenda kazini tuka tunaonana hivyo kila siku nikiona nawaambia anajibu langu vipi ananipiga kalenda jibu langu vipi ananiambia kale nakumbuka mtangazaji ilipita kama wiki.
2 vya utatu ulio akaniambia ana shida na mimi anahitaji tuonane na mimi nikasema haya hamna shida bwana mazingira gani tunakutana ili nitaendelea mazingira yale yale uliokutana siku ya kwanza nikasimama na shida basi ndugu mtangazaji nakumbuka.
Ahadi niliyopewa na yule binti nilitamani nitoroke kazini siku hiyo.
Kiukweli nilikuwa na shauku inakubaliwa au nakataliwa? Kwa kweli nilikuwa na shauku kubwa sana yaani sijui nikuambieje.
Yaani kama umefanya mtihani halafu uka ukawa mtu wa kwanza ile siku ya kufunga shule unasubiria zawadi yako si unakumbuka kipindi kile ndugu mtangazaji madaftari unapewa mstarini wanafunzi wamejaa basi nilitamani ni ni siku kama ile nilitamani dar nenda kupokea zawadi.
Au unaenda kupokea fimbo maanake fimbo nilikataliwa ni zaidi ya fimbo ni zaidi ya kuchapa kweli nimemaliza kazi salama nikawahi pale loji manake mimi nilikuwa ni mtu wa kukaa loji tu lakini ndio maisha ya loji ni simple na kipato changu kweli nikaenda kwenye promise yule mwanamke kweli siku zote alikuwa ni mwanamke bora alikuwa ni mtu wa kukipa promise nilimkuta pale amefika Kikwete alikuwa amependeza nimefika akafika pale akatulia kama kawaida na kinywaji chake kile kile.
Hakuweza kumsubiria nilimkuta anakunywa fantacy ni siku hiyo nikafika pale nikakaa na mimi nikaagiza maji yangu tukaanza kuongea kikuu alikuwa mtu aibu anapita huku anatokea huku anapita huku anatokea huku leo hii mtangazaji alikuwa na nia ya kunikubalia ni sasa unakuja hapo juu fm unatokea unatokea bunju unaozungukia Morocco air teli ili niingie kazi wakati kuna short cut alitumia njia ndefu sana mimi kumwelewa lakini niliona ni bora kwangu maanake ni mtu ambaye nilikuwa nampenda.
Basi pale akanikubalia tukawa wapenzi tukaingia kwenye mahusiano kweli akaandaa chakula pale ni mtu wa mahusiano.
Nilihitaji sana nikae nae niongee naye si unajua mapenzi mdogo mtangazaji nakumbuka siku hiyo.
Nilimwambia ubinti muuza chakula.
Kuwa naomba.
Tukutane mimi na wewe.
Tukutane mimi na wewe unajua mazingira yangu mimi nakaa loji tukutane basi pale loji tukae tupange 1 2 3 na maisha ya jinsi yanavyokwenda tusiende tulivyozoea tulivyozoea kila siku na tulipo zoeleka yule binti.
Ndugu mtangazaji alikataa katakata.
Alikataa katakata manake dah sijui nikuambieje ananiambia mazingira kwao kuingia kwenye maloji ni aibu.
Na jamii ya pale ujue geita ni mji mdogo sana.
Kwa hiyo halisi akiingia kule gesti ndugu zake watawa watapata zile taarifa halafu inakuwa sio picha nzuri akanipa sharti 1 ndugu mtangazaji akaniambia sharti 1 bayana kama unataka mimi na wewe tukae si unajua ndugu mtangazaji sisi wote binadamu yeye wa kike na wa kiume.
Tukutane nyumbani kwao basi pale ndugu mtangazaji kichwa ikaniuma ah leo hii niende nyumbani kwa mwanamke yaani kichwa kiliniuma.
Kwa kweli ndugu mtangazaji niliumiza kichwa sana ndugu mtangazaji pale katika kuumiza kichwa nilipata maswali mengi ya kumuuliza wewe binti nitamuuliza swali la kwanza nikaambia vipi mazingira hapo kwenu ndugu majirani.
Na jamii yako pale yule binti alivyo niambia usiwe na wasiwasi na ondoa shaka kabisa kuhusu yule kaka yangu ambaye mimi na 22 kaka yangu ni mtu wa mabangi.
Huwa hashindi nyumbani kuna siku anaweza asije kuna siku anaweza akaja.
Kwa hiyo kuhusu kaka yangu usio na shida nikasema hamna shida lakini moyoni nikaona wasiwasi kweli.
Nikawaambia siku nitakapokuwa wikendi nitakapokuwa hofu nitakuja nyumbani kwenu akaniambia hamna shida wodi siku zilienda muda na ukafika kwa siku nikampigia si anaingia bana niko nyumbani ilikuwa ni mida ya 01:01 na nusu hivi usiku nikatoka pale loji.
Mpaka nyumbani kwa kina ule binti ikafika pale kiukweli anipokea vizuri sana.
Nilifika pale.
Nilikutaka anaendelea chakula kizuri si unajua hatua kanda ya ziwa nilikutwa hao ndugu mtangazaji ni dah sijui nikuambieje nakumbuka nilikuta amepika ndizi juu kuna samaki mkubwa wa sato si mchezo ndugu mtangazaji mwenye hiyo basi nikagonga pale ndizi zangu akaniambia bado usiwe na wasiwasi hapa ndio nyumbani hakuna mtu yeyote anayekusumbua nina nini maisha gaa yanaenda basi bali tumekaa tunapiga story stori 2 3 tunaenda tunajua tena.
Akaniambia bana hakuna shida tufanyaje tukapumzike hivyo akainuka pale lakini ndugu mtangazaji wasiwasi uliokuwa nao.
Si mchezo na mwenzie kakake je kakake akinikuta veta kuwaje kweli nikaondoka pale akanishika mkono huyo mahaba motomoto mpaka chumbani kwake kufika chumbani kwake akabeba wanajisikia kuwa nyumbani kabisa hamna shida.
Gasita bali nikakaa kwenye kitanda.
Kama tunapiga story akaniambia usio na shaka hana jinsi ya kuwa nyumbani basi pale mboji sio nyumbani ah nikaah changamkieni fursa pale nikapanda kitandani nikawa nimetulia ni kweli dakika 10 wa 20 si nyingi ndugu mtangazaji mara nikasikia mlango unagongwa kwa nguvu sana kwa hiyo ikapasuka ndugu mtangazaji nikasema ningeishi na uvungu au nifanyaje au hii ni zama gani zangu za binti muda chakula nini tatizo? Akaniambia bwana huyu itakuwa ni kakaangu kabisa itakuwaje? Mbona anagonga hivi akaniambia mimi sijui lakini achana naye nikaamua kutulia nimetulia dakika 5 tena si nyingi mgongo mlango tena wa ukoo na wagongwa ni kwa nguvu unagongwa kwa nguvu nataka uvunjwe nikaambia maana yeye vipi ukakaa yako akaniambia bana tulia tu lakini yule binti pia naye alikuwa na wasiwasi akasema hamna shida basi bali ndugu mtangazaji nikatoka nikavaa nguo zangu haraka haraka.
Katika nikachungulia kwenye tundu la kitasa namuona yule kaka yake yuko kakaa kwenye kordo ana anayehusika na kuongea maneno maneno makali.
Nakumbuka mtangazaji mimi niliishiwa na nguvu nikasema mama yangu leo leo ndio siku ya ku kumbuka ukisikia mtu kauawa ukafanyiwa kitu kibaya akafumaniwa kwa kwenye nyumba watu ni leo ikisema nikatupa moyo konde nikasema liwalo na liwe liwalo na liwe.
3 nitoke nje yule binti akaniambia wasifungue mlango mtagombana wamsubiri yetu ataondoka nikasema wacha liwalo naliwe yule binti akanikataza lakini nikaamua bwana liwalo naliwe nikafungua mlango baada ya kufungua mlango unamkuta kaka yake iko kwenye ile kurdo akafunga mlango wa kutokea halafu kashikilia kisu basi ule kakake akaamua kuni kunivamia pale ndugu mtangazaji akanivamia pale basi kwa purukushani purukushani nikasikia kishule kaapuru shani purukushani purukushani.
Akasema nikatupa moyo konde acha nipambane huku unapiga kelele majirani nisaidieni majirani nisaidieni.
Yule kakake.
Akanikosa kisu akakwepa.
Akatupa tuna kitu kingine nakumbuka kilinipata kwenye mkono.
Mkono wangu wa kushoto damu zikawa zinavuja pale nikaona bila kelele majirani ananiua ananiua basi majirani wa eneo lile la la la yule dada mwenye nilikuwa na mahusiano ya muda chakula.
Wakatoka wote.
Nchi wakawa wanataka kuvunja mlango huku ule idadi ya muda chakula naye anapiga kelele.
Anaamua anaamua anaamua anaamua basi pale majirani wakavunja mlango walivunja mlango mimi nikapata upendo ndugu mtangazaji dah sijui nikuambieje sikuwa mwenyeji wa geita lakini nakumbuka Mwenyezi Mungu aliniwekea mikono yake maanake tunajua pale ni kwa mwanamke na yule kijana naye ni kwao yaani nilihofia kuwa nikaitia kaeleza mwizi sijui wale wananchi sijui angeamua aje kwangu, lakini sikufichi Mungu aliniwekea kinga fulani hivi nikachepuka.
Pale nikafanikiwa nikakimbia basi nilikimbia ni black ya kwanza.
Nakumbuka nilifika kituo cha polisi pale kituo cha polisi nikatua statement hatua statement pale kufika kituo cha polisi tunatoa statement i nikabidi pale nichukue namba za simu za mfanyakazi mwenzangu haja atoe msaada kwangu na namba ambayo ilikuwa iko nayo karibu ni yule mfanyakazi mwenzangu mrembo ndio ndio namba ambaye ilikuwa karibu basi baada ya kumpigia simu yule dada zangu pale kazini.
Kiukweli akapokea wito wangu dakika 5 si nyingi akaja pale na taxi akashuka akaja pale na taxi akashuka akaingia vipi tena majeraha hayo akabidhi nimdanganye ndugu mtangazaji maanake siwezi kumwambia ukweli yule ni mwanamke na alikuwa rafiki yangu sana kama bwana nimepita mtakati hapo vibaka.