Standard Radio TZ - 2025-10-15T14:00:00.609Z
Standard Radio TZ
Singida
Transcription
Imetimia 11:00 kamili jioni habari kutoka Standard radio.
Msemaji ni fatuma almasi kwanza mukhtasari wake.
Mgombea mwenza wa urais wa chama cha mapinduzi ccm, balozi daktari Emmanuel nchimbi amesema uongozi wa rais samia suluhu hassan umeendelea za maono yaliyoacha hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kupambana na ujinga, maradhi na umasikini.
Makamu wa rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania doctor philip pois dori mpango amewasihi Watanzania kuendelea kudumisha na kulinda amani iliyopo nchini kwa nguvu zote.
Nafasi wa Zambia hakainde hichilema ameahidi kampuni zote zilizoshiriki miradi ya umeme kuharakisha kazi zao ili kusaidia kuchachua msukosuko wa nishati nchini humo.
Ongeza na habari za kitaifa.
Singida.
Mgombea mwenza wa urais wa chama cha mapinduzi ccm, balozi doctor Emmanuel nchimbi amesema uongozi wa rais samia suluhu hassan umeendeleza maono aliyoyaacha hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kupambana na ujinga, maradhi na umasikini.
Ameyasema hayo wilayani mkalama mkoani Singida wakati akihutubia wananchi akiwa ni mwendelezo wa kampeni za uchaguzi mkuu ambapo balozi dokta nchimbi amesema hayati baba wa taifa, Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na rais wa kwanza wa Zanzibar, abeid amani karume ndio waliounganisha nchi yetu kuwa taifa 1.
Aidha amesema hayati Nyerere ni mwanasiasa na kiongozi aliyesimamia usawa utu na upendo.
Hata hivyo hali enzi sera ya ujamaa na kujitegemea ambayo iliwahamasisha wananchi kushirikiana kuheshimiana na kutanguliza maslahi ya taifa.
Mbele amesema Watanzania watafanya makosa sana kama wataiacha misingi ya umoja, mshikamano na amani aliyoipigania.
Arusha.
Naibu katibu mkuu wizara ya nishati, daktari james mataragio ameridhishwa na kasi ya mradi wa utafutaji, mafuta na gesi asilia kitalo kilichopo karatu mkoani Arusha ziara ya naibu katibu mkuu inaeleza kuwa mradi huo ni mkakati maalum wa serikali ya awamu ya 6 na pia unatajwa iwapo utakamilika na mafuta ya kupatikana utasaidia taifa kuokoa fedha nyingi za kigeni na kuwekeza nchini ili kupata maendeleo badala ya fedha hizo kutumika kwenye kuangazia mafuta nje ya nchi.
Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kutembelea mradi huo ambao unalenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki, daktari mataragio amesema kuwa mradi huo ulianza mwaka 2015 wameanza kukusanya data mbalimbali ambazo zilihusiana na mafuta na gesi katika eneo hilo.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania doctor philip pois dori mpango amewasihi Watanzania kuendelea kudumisha amani na kulinda amani iliyopo nchini kwa nguvu zote.
Daktari mpango ametoa wito huo jijini mbeya wakati akihutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria kilele cha mbio za mwenge wa uhuru mwaka 20, 25 ambapo mwenge wa uhuru umekimbizwa katika halmashauri 195 za Tanzania bara na visiwani.
Amesisitiza kuwa amani ni msingi wa maendeleo ya taifa hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kuishi kwa upendo.
Mshikamano na bila ubaguzi wa aina yoyote wakati huo huo makamu wa rais ameukumbusha wananchi kutumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 10/29, 20 na 25 kote nchini.
Waendelee kusikiliza taarifa hii ya habari kutoka hapa Standard redio fm na zifuatazo sasa ni habari za kimataifa.
Si wa Zambia hakaidi hicho lema ameahidi kampuni zote zinazoshiriki miradi ya umeme kuhakikisha kazi zao ili kusaidia kutatua msukosuko na nishati nchini humo.
Rahisi hichilema ameeleza kuwa Zambia imeshindwa kujenga njia ya anuani za kuzalisha umeme katika miaka 50 iliyopita na janga la umeme lilitokea katika msimu wa mvua wa mwaka 20 23 20, 24 limeonyesha haja ya haraka ya kuendeleza nishati mbadala.
Aidha amesema pia miezi hamasisha kampuni kuomba msaada kutoka kwenye serikali ambayo iko tayari kusaidia kuharakisha ujenzi wa miundombinu muhimu ya nishati na kutatua tatizo la uhaba wa umeme nchini humo.
Habari zinasema kabla ya hapo shirika la umeme la Zambia zesco lilitangaza kuwa wateja wengi wanaweza tu kupokea umeme wa mgao kwa 04:00 kila siku.
Lucca.
Wote 16 wamefariki dunia baada ya moto mkubwa wa kuzuka katika kiwanda cha nguo nchini Bangladesh huku maafisa wakionya kuwa huenda idadi hiyo ikaongezeka ndogo waliopoteza maisha walikusanyika nje ya kiwanda hicho cha ghorofa 4 katika eneo huko dhaka kuwatafuta wapendwa wao ambao bado hawajapatikana.
Moto huo ulizuka katika kiwanda hicho majira ya 06:00 mchana wa ulizimwa baada ya saa chache lakini ghala.
Kemikali lililokuwa karibu liliendelea kuwaka mkurugenzi wa huduma ya zimamoto, Mohamed islam ameviambia vyombo vya habari vya ndani kuwa waathirika waliokufa papo hapo baada ya kuvuta gesi yenye sumu kali.
Familia waliokuwa na machozi walisimama nje ya majengo yaliyokuwa yameungua wengi wao wakiwa wameshikilia picha za jamaa zao waliowapoteza mwaka 20, 21 moto katika kiwanda cha chakula na kinywaji uliwaacha watu wasiopungua 52 wakiwa wamekufa na wengine 20 kujeruhiwa.
Na kabla ya kumaliza taarifa hii ya habari kutoka hapa Standard radio fm vochina ni mukhtasari wake.
Mgombea mwenza wa urais wa chama cha mapinduzi smz balozi dokta Emmanuel nchimbi amesema uongozi wa rais samia suluhu hassan wameendeleza maono waliacha hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kupambana na ujinga maradhi pamoja na umaskini.
Makamu wa rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania doctor philip pois dori mpango amewasihi Watanzania kuendelea kudumisha na kulinda amani iliyopo nchini kwa nguvu zote.
Ni wakati wa Zambia hakaidi hichilema amehimiza kampuni zote zinazoshiriki miradi ya umeme kuharakisha kazi zao ili kusaidia kutatua msukosuko nishati nchini humo.
Muundo mwisho wa taarifa hii ya habari kutoka hapa Standard radio fm kwa taarifa nyingine ya habari usikose ungana nasi ifikapo 03:00 kamili usiku mimi ni fatuma mercy.
Asante kwa kusikiliza habari kutoka Standard radio.
Sikiliza 90 nukta 9 Tabora Standard radio fm.
Yeah.
Naam Singida 90 nukta 1.
The OK.