Blog.

Radio Kwizera - 2025-10-14T10:00:00.475Z

Radio Kwizera

--:--
--:--

Transcription

Dw idhaa ya Kiswahili.

Inawakaribisha katika matangazo ya mchana.

Naam msikilizaji na yule ambaye anatufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ni wakati mwingine wa kuisikiliza dw kwa niaba ya wote.

Mimi ni sudi mnette.

Bw.

Habari za ulimwengu.

Kwanza ni habari hizo kwa ufupi msomaji wako mchana huu ni mimi jacob safari, polisi ya madagascar yajiunga na waandamanaji huku bunge likivunjwa kiongozi wa upinzani cameroon adai kumshinda rais bia katika uchaguzi na iran yasema wito wa amani wa Marekani unakinzana na vitendo vyake.

Habari kamili antananarivo.

Rais wa madagascar andry rajoelina amelivunja bunge la nchi hiyo.

Rais huyo ametangaza hayo kupitia taarifa aliyoichapisha kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook hii leo.

Lakini kiongozi wa upinzani bungeni amesema kuwa hajashauriwa kuhusiana na amri ya rais ya kulivunja bunge.

Tangazo la rajoelina limetolewa katika wakati jeshi la polisi la madagascar limeungana na maandamano yanayoongozwa na vijana ya kumpinga kiongozi huyo.

Haya ni kulingana na shirika 1 la habari nchini humo.

Mkuu wa polisi ameongeza kuwa inashikamana anajeshi akisisitiza uungwaji mkono mkubwa wa kitaasisi kwa maandamano hayo.

Rais rajoelina alikimbia madagascar Jumapili kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari vya Ufaransa.

Rais huyo alisema kwamba amekimbia ili kuyalinda maisha yake.

Rajoelina ambaye alipata uraia wa Ufaransa mwaka 2014 hajatangaza alipo kwa sasa.

Yonder.

Pinzani nchini cameroon issa chiroma bakari amedai kushinda uchaguzi leo dhidi ya rais paul biya aliye madarakani kwa miaka 43 sasa.

Chiroma amedai kushinda ingawa matokeo rasmi yatatolewa baada ya wiki 2.

Katika ujumbe aliouandika kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook chiroma amesema kuwa ushindi wao ni wa wazi na unastahili kuheshimiwa.

Ameitaka serikali kukubali matokeo au itumbukize nchi hiyo kwenye machafuko.

Chiromo vile vile ameahidi kuchapisha matokeo ya kina kwa kila eneo.

Bia alikabiliana na wapinzani 11 akiwemo chiroma aliyejiuzulu kutoka serikalini mnamo mwezi juni kujiunga na upinzani baada ya kuhudumu chini ya bia kwa miaka 20.

Mwaka 2018 mwanasiasa wa upinzani, maurice kamto ambaye mwaka huu walizuiwa alipigwa marufuku ya kushiriki uchaguzi na baraza la katiba nchini humo.

Alijitangaza mshindi baada ya uchaguzi alikamatwa baadaye na maandamano ya wafuasi wake kutawanywa kwa mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha.

Bia ambaye ndio kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi duniani anawania muhula wa 8 kama rais wa cameroon.

Unaendelea kuisikiliza taarifa ya habari za ulimwengu kutoka idhaa ya Kiswahili ya dw hapa mjini bonn.

Tehran.

Iran imesema leo kuwa wito wa rais wa Marekani Donald Trump wa amani na iran haulingani na vitendo vya Washington akiashiria yale mashambulizi ya Marekani katika vinu vyake vya nyuklia mwezi Juni katika taarifa iran imesema wito huo unakinzana na tabia ya kihalifu inayoonyeshwa na Marekani kwa watu wa iran.

Wakati wa hotuba yake katika bunge la Israel knesset hapo jana, rais trump alisema anataka makubaliano ya amani na iran na kwamba makubaliano yoyote kupatikana itategemea iran yenyewe.

Iran.

And as you know, this is.

Na kwa iran kama mnavyojua hili halisemwi kutokana na unyonge hakuna unyonge ila nitasema hivi tuko tayari nyie mkiwa tayari na utakuwa uamuzi bora zaidi ambao umewahi kufanywa na iran na utafanyika.

Tatiana hapa.

Trump pia alisema itakuwa vyema kama iran itawaacha kuwaunga mkono magaidi site kuwatishia majirani zake na iwache kwa wafadhili wanamgambo wake na pia itambue haki ya uwepo wa Israel.

Tehran ilimjibu trump kwa kusema matamshi yake ni ya ovyo na ya kutia aibu.

Washington marais wa zamani wa Marekani joe biden na bill Clinton wamechukua hatua nadra ya kumsifu rais Donald Trump kwa kusaidia katika usitishwaji wa vita vya gaza katika ujumbe aliyoandika kwenye mtandao wa kijamii, wa x biden amesema kwa kuungwa mkono na Marekani na washirika wake duniani mashariki ya kati kwa sasa iko katika mkondo wa kupatikana kwa amani.

Biden vilevile amezungumzia dhima ya utawala wake katika mazungumzo ya amani akisema walijitahidi kuhakikisha wanamgambo wa hamas wamewaachia mateka kufikisha misaada kwa Wapalestina na kuvitisha vita hivyo vilivyoanza wakati wa utawala wake mwaka 2023.

Clinton kwa upande wake amesema trump katar na wahusika wengine wa kikanda waliopelekea kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha vita wanastahili pongezi kubwa.

Inaitaka Israel na wanamgambo wa hamas wadumishe amani ya kudumu na huo ndio mwisho wa taarifa ya habari za ulimwengu kutoka hapa dw mjini bonn.

Bw.

Dunia yetu.

Leo mchana.

Naam msikilizaji na mtazamaji kama ulivyokwisha asikia katika taarifa ya vitu hiyo ya habari iliyosomwa na jacob safari ni kwamba rais wa madagascar ametangaza kulivunja bunge kabla ya kuanzishwa kwa mchakato wa kumwondoa madarakani.

Mgombea wa urais wa upinzani nchini, cameroon amejitangazia ushindi wa uchaguzi huo na mkutano wa amani kuhusu mzozo wa gaza na miss wa misri umewezesha kusainiwa kwa makubaliano ya unatazamwa kurejesha.

Utulivu huko mashariki ya kati.

Msikilizaji kama ilivyo ada ya matangazo haya muhimu ushiriki 1 kwa 1 utumie tu ujumbe mfupi katika ukurasa wetu wa Facebook, Instagram pamoja na chaneli yetu ya youtube.

Ripoti za hivi karibuni zinasema rais wa madagascar andry rajoelina.

Ametangaza kulivunja bunge kabla ya kuanzishwa mchakato wa kumwondoa madarakani hatua ya arejee ulina inakuja baada ya hapo jana kuthibitisha kuwa alilazimika kuondoka nchini humo na kujificha katika eneo salama baada ya kile alichokiita jaribio la kupindua huku maandamano yanayoongozwa na vijana wa kizazi kipya gnz yakiendelea kutikisa taifa hilo la kisiwa taarifa zaidi na ili ssessanga kwa wiki kadhaa madagascar imekabiliwa na machafuko makubwa ya kisiasa.

Maelfu ya vijana wameshiriki maandamano ya kupinga utawala wa rais andry rajolina wakilalamikia ukatikaji wa mara kwa mara wa maji na umeme gharama kubwa za maisha na madai ya ufisadi serikalini mivutano ilifikia kilele mwishoni mwa wiki baada ya kikosi maalum cha jeshi kapsabet kujiunga na waandamanaji na kutangaza kwamba kinataka rais na mawaziri wajiuzulu.

Hatua hiyo ilitafsiriwa na rais rajoelina kuwa jaribio haramu la kuchukua madaraka kwa nguvu na akalazimika kuondoka nchini.

Katika hotuba yake ya usiku wa Jumatatu iliyocheleweshwa mara kadhaa baada ya wanajeshi kujaribu kuteka kituo cha utangazaji cha taifa, rajoelina alisema amelazimika kujilinda taifa na miskiti raia ni kufuru pia kina afc.

Baadhi ya marais wa Afrika walijitolea kutuma wanajeshi kuleta amani madagascar.

Nililikataa hilo kwa sababu halilingani na maadili yetu ya kimalagasi.

Kwa sababu hiyo nililazimika kwenda katika eneo salama kuyalinda maisha yangu gizani ya dhifa ndiye afcon love.

Ripoti za vyombo vya habari vya nchini Ufaransa zinasema rais huyo mwenye uraia wa Ufaransa tangu mwaka 2014 alitoroshwa kwa ndege ya kijeshi ya Ufaransa.

Hata hivyo, serikali mjini paris haijathibitisha taarifa hizo.

Rajoelina amesema hafikirii kujiuzulu, lakini ametoa wito wa kuheshimu katiba na kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa.

Rima la ghasia adhab mwenzia lala wamalagasi, familia yangu njia pekee ya kutoka katika hali hii ni kuheshimu katiba ya nchi tukivuka mipaka hiyo.

Tutazama katika umaskini mkubwa na taifa letu.

Itapoteza mwelekeo nunua isi itwa munishi lenny uasi wa jeshi umezua hofu ya kurudiwa kwa machafuko ya mwaka 2009 wakati rajoelina mwenyewe alipoingia madarakani kupitia mapinduzi yaliungwa mkono na jeshi Umoja wa Afrika umelitaka jeshi la madagascar kurejea kwenye wajibu wake wa kikatiba.