Blog.

Shalom FM 97.3 - 2025-10-17T13:00:00.650Z

Shalom FM 97.3

--:--
--:--

Significant Highlights

1 Highlight

These are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.

Transcription

Nimesoma kimandolu umesoma kimandolu shule ya msingi yesu, kwa hiyo haya nimeishi sekei.

Coil Russian? Ni ni my second home ilikuwa juu kama sasa.

Aah kila kitu ni mipango ya Mungu.

Lakini mzaliwa wa Arusha.

Hapana alikuja kusoma yeah k kwa hivyo hapa ni nyumbani.

Kuna mambo ambayo yanaendelea chini ya kapeti kuhusu huduma yako mtumishi wa Mungu, nyimbo video yaani na nyimbo mpya nashangaa mzee chezi unazicheza nina nyimbo msingi kazitoa kwenye albamu ya the later glory nimetoa nilirekodi nyimbo nafikiri mwaka jana nilirekodi nyimbo kama 13 hivi na tayari nimeshatoa nyimbo 4 ziko kwenye akaunti yangu ya youtube na kwenye platform zote.

Zinazopatikana nyimbo kwa hiyo waende watabarikiwa kuna nyimbo nzuri nzuri nzuri sana zinakuja tunakuabudu Mungu yanayokuja kutokea kwako yanayokuja kutokea kwangu ni mengi sana wao wakae tayari yanayokuja yanafurahisha sawa kabisa kaka mashauri tupe namba kwa msaada kwa wale ambao wanatamani kufika pale lakini pia kuna utaratibu wa mabasi labda ungesema kama upo.

Na utaratibu wa magari ya kufika kule upo kwa upande wa kutokea Arusha huko kutakuwa na magari yanayotokea kwa morombo mengine.

Tutaendelea kuwapa 5 lakini kuna kwa morombo lakini kuna pia Kilombero ukipanda gari costa kuna kosa ambalo utaona zina zina chata za mtumishi wa Mungu nabii utukufu wa bwana ambazo kambi anaenda mlima wa maombi kwa hivyo utapanda pale utaletwa 1 kwa 1, lakini pia maeneo ya crdb bank pale.

Na kwa morombo utakuta pale kuna costa zinakuwa ziko pale maeneo ya intel kule utapata kuna kosa ambazo watu wanaotokea na dos oito wanakuja mpaka pale kuna kosa ambazo watazikuta zikingojea kuwapakia na kuwaleta kwenye kongamano.

Asante sana nambari ukiwa umekosa kabisa basi panda ukifika kwa morombo kuna hes zinazoelekea mirongoine unapanda zile gari unashukia kituo cha veta oljoro halafu kuna bodaboda pale unawaambia tupeleke.

Mlima wa maombi kwenye kongamano, kwa hiyo ziko pale bodaboda zitamfikisha lakini sasa kwa namba za simu ambayo yanataka mawasiliano zaidi au maelekezo zaidi akiwa ameshtakiwa wamekwama popote atumie namba ya 0 7 5 6.

Narudia tena 0 7 5 6 22.

5 6 8 1 nairudia tena namba hiyo 0756225681 piga simu hiyo kwa maelekezo na msaada wa haraka sana kuelekezwa kufika mahali.

Kongamano lilipo kaka mashauri sana kwa muda wako nashukuru sana ndugu mtangazaji kwa muda wako pia kaka john lisu barikiwa sana karibu sana shalom fm nashukuru sana asante sana na 50 kk Mungu akubariki sana msikilizaji asante sana kwa muda wako asante sana kwa state one kwa wakati wote wa sisi tunaondoka kupisha wengine waweze kufuata humu ndani Bwana Yesu.

Asante umekuwa nasi kuanzia mwanzo wa kipindi hiki cha gospel explosion hata sasa ni tamati ya kipindi hiki a wanaomba neema yako.

Endelea kuwa na watangazaji wenzangu wanaofuata baada ya kipindi hiki naomba hayo nikiamini nakushukuru Bwana Yesu a yemen a man a men shalom radio 97 nukta 3.

Shule mwa msikilizaji hujambo na karibu sana katika taarifa ya habari kutoka hapa shalom fm.

Lakini kwanza ni muhtasari wake.

Serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu, kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi kutoka shilingi laki 2, 75,060 hadi shilingi laki 3 58,322 ikiwa ni sawa na ongezeko la 33/100 nukta 4.

Katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia, profesa carolyne nombo amesema kuwa mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi veta inaendelea kuimarisha ushirikiano na sekta ya viwanda ili kuhakikisha mafunzo yanayotolewa yanaendana na mahitaji halisi ya soko la ajira ndani na nje ya nchi.

Na kimataifa maelfu ya waombolezaji wamehudhuria ibada ya mazishi ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya.

Raila amolo odinga huku ulinzi mkali ukiimarishwa baada ya hapo jana maafisa kufyatua risasi kuwatawanya umati wa watu waliojitokeza katika uwanja wa michezo wa kasarani kuaga mwili wake.

Habari kamili msomaji wako ni William mmbando.

Dodoma.

Serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu, kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi kutoka shilingi laki 2, 75,060 hadi shilingi laki 3 58,322 ikiwa ni ongezeko la 33/100 nukta 4.

Akizungumza hii leo, waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu ridhiwani Kikwete amesema kuwa ongezeko hilo kwa sekta binafsi ni utekelezaji wa matakwa ya kisheria.

Kwa mujibu wa waziri ridhiwani, mapitio ya kima cha chini cha mshahara hufanyika kila baada ya miaka mitatu ambapo tangazo la mwisho lilitolewa mwaka 2022 ambapo ameeleza kuwa serikali inataka waajiri wote wa sekta binafsi kuhakikisha wanazingatia na kutekeleza kima hicho kipya cha mshahara kwa mujibu wa sheria.

Ameonya kuwa ofisi yake haitasita kuchukua hatua kwa kwa waajiri watakaokaidi au kushindwa kutekeleza agizo hilo kwa makusudi.

Akisisitiza kuwa serikali itaendelea kufuatilia kwa karibu utekelezaji wake.

Dar es Salaam.

Katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia, profesa carolyne nombo.

Amesema kuwa mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi veta inaendelea kuimarisha ushirikiano na sekta ya viwanda ili kuhakikisha mafunzo yanayotolewa yanaendana na mahitaji halisi ya soko la ajira ndani na nje ya nchi.

Akizungumza mkoani dar es Salaam, kileo katika mkutano wa kuimarisha ushirikiano kati ya veta na wamiliki wa viwanda, profesa nombo amesema kuwa ushirikiano kuwa umekuwa na mchango mkubwa katika kutoa mafunzo ya vitendo wa kwa vijana.

Kwa mujibu wa profesa nombo veta kwa sasa inavyo zaidi 80th nchini vinavyoweza kupokea wanafunzi 10,332 kwa mafunzo ya muda mrefu kuvyo vipya 65 vikiendelea kujengwa katika wilaya mbalimbali nchini.

Profesa naomba ameongeza kuwa udahili wa veta kwa sasa umefikia wanafunzi 90,000.

Ambao wanapata mafunzo ya muda mrefu na mfupi hatua inayodhihirisha jitihada za serikali katika kuijenga nguvu kazi yenye ujuzi na tija kwa maendeleo ya taifa.

Dodoma.

Jeshi la polisi Tanzania limekanusha taarifa zinazosambazwa kupitia vyombo vya habari zikidai kuwa watu 7 wamekamatwa katika mazingira ya kutatanisha.

Nikisema kuwa waliokamatwa walitiwa nguvuni kwa mujibu wa sheria kutokana na tuhuma za uhalifu.

Kupitia taarifa yake kwa umma iliyotolewa hii leo makao makuu ya polisi Dodoma kupitia msemaji wake dcp david misime jeshi hilo limesema miongoni mwa watu wa 6 waliotajwa katika taarifa hizo wamekamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria kutokana na ushahidi uliokuwa umekusanywa kabla ya kukamatwa kuhusiana na tuhuma mbalimbali za kihalifu.

Jeshi hilo limefafanua kuwa watuhumiwa hao walikamatwa kwa kosa la matumizi mabaya ya mitandao kwa kufanya uchochezi na kuhamasisha maandamano kinyume cha sheria.

Limewataja waliokamatwa kuwa ni chief adoni husika aluma paul c si jalson musisi, daniel damian lubigisa.

Aloyce kukilenga Ramadhani.

Padili naba baziri waziri Dar es Salaam.

Gavana wa benki kuu ya Tanzania iman alitohotuba amekanusha taarifa zinazodai kwamba benki ikiwa inachapisha fedha na kuzisambaza kwa ajili ya kugharamia uchaguzi.

Akisema taarifa hizo ni za upotoshaji hivyo zipuuzwe.

Aidha katika taarifa kwa umma iliyotolewa hii leo na kusainiwa na gavana benki kuu immanuel tutuba bot imesema kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa wakihamasishwa kuondoa fedha zao kwenye benki za biashara kwa madai kuwa zinaishia.

Zinaishia wa fedha kutokana na uchaguzi.

Kwa mujibu wa kifungu cha 26 cha sheria ya benki kuu.