RadioOne - 2025-10-14T06:00:00.547Z
RadioOne
Dar es Salaam
Transcription
Nukta wakili dokta wa miss mwakinyuke ambaye ni mchambuzi wa maswala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa katika maduka ya redio one leo ikiwa ni kumbukizi ya miaka 26 ya kifo cha baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere unauzungumziaje baba wa taifa temeke hapa kupitia namba yetu ya ujumbe mfupi ya 0, 7 5 9 32 27 11 0 7 5 9 32 27, 11 tuandikie ujumbe wako namna ambavyo namkumbuka baba wa taifa anakwenda gani ambavyo wewe kama Mtanzania uta mwenzi ama una mwenzi baba wa taifa katika maisha yako.
Yale ya kila siku mimi Abdallah kurwa.
Imetimia 03:00 kamili, james news feed radio station.
Ni miaka 26 sasa Watanzania bado tunamkumbuka na kumuenzi hayati baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mambo haya huko mbezi yana taabu sana nchi inayosaidia sana hatima yake unatokea uhasama baina ya nchi ile inayosaidia na hawa wanaosaidiwa wanatokea uhasama mkubwa.
Frelimo tunawashukuru ni tukitokea migogoro migogoro lakini kwa bahati njema tumekaa vizuri.
Ndugu zetu wameondoka salama.
Zimebaki siku 15 kuelekea uchaguzi mkuu wa urais, wabunge na madiwani tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 kura yako haki yako jitokeze kupiga kura.
Barua kwa mwanawe.
Nimeamua kukuandikia barua hii leo nikikukumbusha jambo la thamani kubwa mwanangu kumbuka taifa letu ni nyumba yetu.
Thamani yake ndio hurithiwa.
Usikubali kuichezea kwa sababu ni urithi ya dinu uliotunzwa kwa damu ya show na hekima za waliotutangulia mwanangu.
Nakusihi usifuate mkumbo historia ya taifa letu iko wazi mabadiliko yote makubwa yaliletwa kwa njia ya mazungumzo na si kwa vurugu.
Ndio maana leo viongozi wetu wanasimama kuendeleza urithi huo.
Mwanangu kumbuka ahadi ya mgombea urais doctor samia suluhu hassan ya kuunda tume ya maridhiano ya kitaifa na kuanzisha mchakato wa katiba mpya.
Ni ahadi ya majadiliano sio migawanyiko.
Wanangu.
Chagua hekima chaguo mazungumzo chagua amani.
Kwa sababu huo ndio urithi wako wa kweli.
Yeah.
Kazi na utu tunasonga mbele chagua samia chagua ccm 10/29.
A.
Tenzi.
His favourite radio station? The.
03:03 kwa saa za Afrika Mashariki msikilizaji karibu sana kama ndio kwanza unaungana nasi ili kumepambazuka ya radio one tunaendelea na unaweza kuendelea pia kutuma ujumbe wako mfupi hapa ndani kupitia 0759322711 una maoni una maswali yoyote? Unafanya hivyo ikiwa leo basi ni kumbukizi ya miaka 26 ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa tunaangalia namna ambavyo alivyokuwa katika uongozi wake.
Na yale ambayo yanaendelea kuenziwa kwa miaka yote 26 tangu alipotangulia msikilizaji na sasa basi kwa maswali ambayo uliyouliza tumpe hapa nafasi ya sekta ya uke aweze kujibu kwanza alafu mara baada ya hapo maswali yakipungua pungua hapo ya kisha tutaendelea kupokea simu yako na kikubwa tunaendelea kutuma ujumbe wako na pia kwenye mitandao ya kijamii kufanya hivyo ujumbe wako utafika 1 kwa 1 karibu sana dokta.
Anashukuru sana.
Mh.
Kuna msikilizaji wetu mmoja ameuliza ni kwa nini? Viongozi wengine wa wakati huo walikuwa hawaishi kama mwalimu ndio maana kwamba wamesoma inawezekana wamesoma shule 1 au wamepata elimu inayofanana na yeye.
Napenda kujibu kwamba.
Ukweli ni kwamba enzi hizo.
Zilizalisha viongozi wazuri sana viongozi waadilifu, viongozi wazalendo na waliokuwa wanapigania haki za watu.
Na ndio maana ukikuta.
Na Mwalimu Nyerere kama ukuta watu viongozi kama akina rashid mfaume kawawa.
Viongoz.
Come on.
Na na viongozi viongozi kama salim ahmed salim na vi na viongozi wengine wengi walikuwa wana maadili yale yale kama mwalimu.
Lakini kumbuka kwamba.
Wakati wapya kulikuwa na miiko ya uongozi.
Kwa mfano kiongozi.
Alikuwa anahusika na nyumba za kupangisha au kuwa na hisa kwenye makampuni ya kibepari ilikuwa lengo hasa ni kuhakikisha kwamba una kiongozi ambaye ni mwadilifu ambaye haangaiki na mambo binafsi.
Nakumbuka hata watoto nasoma sekondari.
Tulikuwa na mahindi master ambaye.
Mpaka ikifika mwisho wa bajeti juni ndio mwezi wa 6 ile mm hmm unaskia amerudisha pesa wizarani.
Kwa ajili ya bajeti mpya kitu ambacho ni kigumu sana kutokea kwa sasa hivi njia jaribu kila kiongozi kwa nafasi yake awe ni mkuu wa shule fulani awe ni mkuu wa shirika fulani.
Awe ni waziri wa wizara, fani wengi wengi wao walikuwa waadilifu hawana kwamba sio wote.
Sio kwamba wote walikuwa waadilifu lakini.
Wengi wao walikuwa waadilifu na hii ilitokana na kwamba unajua ukishakuwa na kiongozi wa juu ambaye ana.
Anafuata mwelekeo fulani ni rahisi sana hawa wa chini kukufuata pia.
Lakini kama ukiwa na kiongozi.
Anayezungumza.
Lakini yeye hatendi hata wale wa chini ni vigumu sana kutenda asante kwasi wanaona nje kwa hiyo ilikuwa hivyo.
Kuna mtu ameulizia.
Mwalimu Nyerere kilingana yaani ukiilinganisha na uchaguzi ambao unafanyika.
Ni kweli kwamba kwanza Mwalimu Nyerere aliamini sana kwenye demokrasia.
Na haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Kwa hiyo.
Kwa vile tunaingia kwenye uchaguzi.
Katika.
Kumuiga Mwalimu Nyerere ndio inabidi watu kujitokeza na kuhakikisha kwamba wanachagua viongozi.
Uadilifu.
Viongozi ambao watakuwa watumishi wa watu.
Viongozi wenye hofu ya Mungu.
Na uzuri mmoja sasa hivi ni kwamba sherehe imebadilishwa.
Kiasi kwamba hakuna mtu ambaye atapita tena bila kupingwa.
Kama ilivyokuwa huko nyuma ndio maana huko nyuma ilikuwa kwa mfano katika nafasi ya ubunge au udiwani.
Kama.
Kuna mgombea wa chama kimoja tu.
Anatangazwa pale pale kwamba tayari ameshakuwa mbunge.
Lakini sasa hivi hata kama hana mpinzani inapaswa tu jina lake liingie kwenye uchaguzi na apigiwe kura ya ndio au hapana.
Na akipata zaidi ya.
Akipata chini ya 50/100.
Ya yaani kwa mfano kura zaidi ya 50/100 zikimkataa mm hmm the prison basi itabidi.
Uchaguzi ukafanyike upya.
Katika hilo.