Testimony FM - 2025-12-17T10:00:00.610Z
Testimony FM
Tabora
Transcription
Dw idhaa ya Kiswahili.
Inawakaribisha katika matangazo ya mchana.
Hujambo msikilizaji na karibu kwenye matangazo haya mimi ni saumu mwasimba.
Bw.
Habari za ulimwengu.
Kwanza ni mukhtasari wa habari hizo.
Mimi ni amina abubakar uso rafu delay anasema ulaya ni lazima ijihakikishie usalama wake mtuhumiwa wa mashambulizi ya bonde ya Australia shitakiwa kwa mauaji na waziri wa zamani na mshirika wa kabila, Emmanuel shadari akamatwa Kinshasa.
Habari kamili brussels rais wa halmashauri kuu ya Umoja wa ulaya, ursula von der leyen amesema ulaya inapaswa kuwajibika yenyewe katika maswala yake ya usalama akilihutubia bunge la ulaya mjini strasbourg fonde layan amesema swala la usalama sio mbadala bali ni la lazima.
Ameongeza kuwa ulaya haiwezi itawaruhusu watu walio nje ya bara hilo kuweka masharti ya namna bara hilo litakavyo angaliwa rais huyo wa halmashauri kuu ya ulaya amesema licha ya Marekani kuwa sahihi kwamba pato la mataifa ya ulaya.
Linashuka amesisitiza kuwa hali pia nchini Marekani iko vivyo hivyo kando na hayo amesema bara hilo lazima lichukue hatua ya namna ya kuifadhili Ukraine katika mkutano utakaofanyika wiki hii.
So we will continue working klose tutaendelea kufanya kazi kwa karibu na rais zelensky na rais trump kufikia kile sote.
Tunachokitaka amani ya kudumu ambayo inalinda uhuru wa Ukraine na kuimarisha usalama wake mbinu yetu iko wazi kabisa na tunafanya kazi kwa nguvu zetu zote ili kusitisha umwagaji damu.
Hatua ya kwanza ni usitishaji mapigano na njia ya kufikia huko inajulikana urusi lazima ishinikizwe kuja katika meza ya mazungumzo sio kwa kujionesha tu bali kwa vitendo na matokeo.
Marcial buffon results.
Viongozi wa ulaya wapo katika shinikizo la kutumia mali ya urusi iliyozuiliwa kuifadhili Ukraine, sydney.
Mwanamume anayetuhumiwa kufanya mashambulizi katika ufukwe wa bondy mjini sydney, Australia ameshtakiwa kwa makosa 59 yakiwemo mashitaka 15 ya mauaji na vid akrama mwenye umri wa miaka 24.
Ameshitakiwa leo Jumatano baada ya kuamka kutoka kwenye hali ya kutokuwa na fahamu katika hospitali 1 ya sydney alikopelekwa baada ya polisi kumpiga risasi pamoja na baba yake ili kuwadhibiti wasiendelee kufanya mauaji.
Baba yake sajid akram mwenye umri wa miaka 50 alifariki katika eneo la tukio.
Haya yanajiri wakati ambapo mamia ya waombolezaji wakianza shughuli za maziko ya wapendwa wao walioangamia wakati watu wenye silaha walipofyatua risasi katika siku kuu ya Wayahudi ya hanuka.
Katika ufukwe huo, watu 50 waliuawa watu 15 waliuawa huku wengine zaidi.
30th wakijeruhiwa vibaya na bado wanaendelea kupatiwa matibabu hospitalini inadaiwa kuwa watu wote waliouawa walikuwa wa yahudi.
Kinshasa.
Katibu mtendaji wa chama cha pepe RD cha rais wa zamani wa congo, joseph kabila Emmanuel ramazani shadary amekamatwa jijini Kinshasa.
Taarifa ya chama cha pprd imesema kukamatwa kwa shadari na upekuzi wa usiku kwenye makao makuu ya makao makuu ya chama kunatia wasiwasi kulingana na familia yake.
Shadari aliyewahi kuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani na mgombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2018 alikamatwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana.
Na hadi sasa hajulikani alipo kukamatwa kwake kunatokea katika mazingira ya kisiasa yenye mvutano takriban miezi mitatu baada ya kiongozi wa chama hicho na rais wa zamani, joseph kabila kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa makosa ya uhaini unaendelea kusikiliza taarifa ya habari kutoka dw bonn, Washington.
Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza kwa kiasi kikubwa orodha ya marufuku ya kusafiri na kuzuia watu kutoka nchi 7 zaidi ikiwemo syria pamoja na wamiliki wa pasi za kusafiria za mamlaka ya Palestina kuingia Marekani.
Hatua hii mpya inafanya idadi ya nchi zilizoathirika kufikia karibu 40 ambapo raia wake wanakabiliwa na vizuizi vya kuingia Marekani kwa sababu ya uraia wao pekee.
Nchi nyingine zilizoongezwa kwenye marufuku ni Burkina Faso, mali, niger, cyril leone.
Sudan Kusini na laos vile.
Tuile marufuku kwa sehemu yamewekwa kwa raia wa Nigeria, Ivory Coast, Senegal na mataifa mengine ya Afrika na wenye nchi za caribbean zaidi idadi kubwa ya watu weusi nchi hizo ni pamoja na Angola, antigua na barbuda, benin, gambia, Jamhuri ya dominica, Malawi, Mauritania, Tanzania, Zambia, Zimbabwe pamoja na tonga.
Nchi nyingine zilizoendelea kubaki kwenye marufuku ni Afghanistan, chad, congo, brazzaville, Eritrea, haiti, iran.
Libya, Myanmar, Sudan na yemen trump pia ameongeza masharti ya safari za kawaida kwa watu kutoka mataifa ya magharibi.
Johannesburg.
Maafisa wa Afrika Kusini wamewakamata raia 7 wa Kenya wanaotuhumiwa kufanya kazi bila kuwa na nyaraka sahihi za ajira.
Wizara ya mambo ya ndani ya Afrika Kusini imesema Wakenya hao walikuwa wakijihusisha na kazi katika mpango wa serikali ya Marekani kwa kuwapokea Waafrika kusini, Wazungu au afrikana kama wakimbizi na huo ndio mwisho wa taarifa ya habari kutoka dw bonn.
Bw.
Dunia yetu leo mchana.
Naam asante sana amina abubakar kwa taarifa hiyo ya habari na msikilizaji karibu kwenye uchambuzi wetu huu wa kina wa ripoti mbalimbali tulizokuandalia mchana huu na huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo.
Serikali mjini Kinshasa imesema bado waasi wa m 23 wanaendesha uasi huko uvira licha ya kudai kuondoka na tutakujuza pia kuhusu hali kuhusu juhudi za bara la ulaya kuiunga mkono Ukraine katika vita vyake dhidi ya urusi.
Na wanasiasa Ujerumani wanaikosoa urusi baada ya nchi hiyo kulipiga marufuku shirika la utangazaji la dutch velle.
Asante msikilizaji kwa kubaki nasi na tunaanzia uchambuzi wetu 1 kwa 1 barani Afrika kuitazama Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo ambako huko serikali mjini Kinshasa imelikataa tangazo la waasi wa m 23 kwamba wanajiondoa kwenye mji wa uvira ulioko kivu kusini siku 1 baada ya waasi hao kutangaza kuondoka katika mji huo wa kimkakati na kusisitiza kwamba hali ya wananchi walioyakimbia makazi yao.
Ni ya kutisha licha ya tangazo hilo waasi wa m 23 bado wako vira mashariki mwa congo na mapigano yanayoendelea katika maeneo ya karibu.
Mwandishi wetu kutoka Kinshasa, byobe malenga ametuandalia taarifa ifuatayo kulingana na vyanzo rasmi licha ya tangazo la kundi la waasi wa m 23, wapiganaji wenye silaha bado wanaonekana katika mji huo.
Waziri wa habari na msemaji wa serikali, Patrick muyaya amewashutumu waasi yao kwa kuendeleza vita siku chache tu baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya amani.
Na kulia.
Gazola condo camo photo Shaji survey.
Huu ni upotoshaji kwa sababu kama unavyojua umewahi kusikia m 23 ambaye kimsingi ni mtoto wa Rwanda wakikana kuhusika katika mchakato wa Washington.
Inakuwaje shinikizo limewekwa wazi kwa Rwanda? Sasa m 23 imejitokeza na kuteseka wakisema sikiliza, mimi ndiye mwenye makosa naondoka.
Uvira ni dhahiri huu ni ujanja wa kuvuruga mpatanishi wa Marekani ambaye amejitolea kuchukua hatua kwa sababu ni wazi kuwa kilichotokea uvira hakikubaliki.
Kina kisheria table hata hivyo mapigano yanaendelea kusini mwa mji wa uvira katika eneo la makobola na milima ya swema na kasekese katika tarafa la fizi kati ya jeshi la taifa ifad dc wakishirikiana na wazalendo dhidi ya waasi wa m 23 wanaotaka kusonga mbele kuelekea mji wa baraka.
Hali hiyo inazua hofu katika jamii na kusababisha maelfu ya familia kukimbia makazi yao, jambo ambalo waziri muyaya amekiri nakusikitikia tozo dini sana leo tuna takwimu ya wakimbizi 20,000 hali ni tete.
Ni wazi tutafanya sehemu yetu kuhakikisha kwamba tunatoa makazi na kuhakikisha wenzetu wanatunzwa vyema popote walipo kuna ujumbe umeenda Burundi na mwingine utawasili Tanzania kutathmini mahitaji na rasilimali zote lakini nadhani hapa panahitajika uhamasishaji mkubwa zaidi ni lazima kuwepo na amani kwani kitu bora tunachoweza kutoa kwa familia zilizohamishwa ni fursa ya kurudi nyumbani dw.