Sauti Ya Injili - 2025-10-14T09:00:00.543Z
Sauti Ya Injili
Moshi
Transcription
Msikilizaji wa radio sote jela moshi tu na kuinamia wewe Mungu ni mkuu msikilizaji wa radio sauti Injili moshi amekwishatumia 06:00 kamili za mchana karibu kusikiliza habari kwa ufupi.
Kwa ufupi na redio sauti ya Injili moshi.
Zifuatazo ni habari kwa ufupi kutoka hapa redio suti Injili moshi msomaji wako ni vera lyaro, waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezitaka taasisi za kisekta na wananchi kushirikiana kwa karibu katika kuzuia na kupunguza madhara ya maafa kabla haijatokea kwa kutengeneza mipango na miongozo ya serikali ikiwa ni sehemu ya kujenga jamii mara na yenye ustahimilivu dhidi ya majanga ya asili na yale yanayosababishwa na shughuli za binadamu.
Wito huo umetolewa wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya kupunguza madhara ya maafa.
Yaliyofanyika kitaifa mkoani mbeya ambapo amesema katika kuimarisha ustahimilivu na majanga, serikali inaendelea kusimamia sera sheria, mikakati na miradi mbalimbali iliyoandaliwa.
Msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania bwana gerson msigwa amewahakikishia Watanzania wote wenye sifa na waliojiandikisha kwenye daftari la kupiga kura kuwa serikali ya awamu ya 6 inatambua kikamilifu wajibu wake wa kulinda haki ya kila Mtanzania ikiwemo haki ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa akiwahimiza kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo 10/29 mwaka 2025.
Msemaji huyo wa serikali imewatoa hofu pia Watanzania dhidi ya wale.
Yanayosema mtandaoni kuelekea siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania akisema serikali na vyombo vya dola vimejipanga na kujiandaa kikamilifu kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa amani na katika mazingira tulivu na salama ili kutoa fursa ya kila mmoja kuitumia haki yake ya kikatiba.
Waziri ya afya imeiagiza bodi mpya 13 ya maabara binafsi za afya kuhakikisha mifumo ya tehama ya maabara binafsi inaunganishwa ili kusomana na mifumo ya wizara ya afya kwa lengo la kurahisisha usimamizi na uendeshaji wa huduma zao kwa uhakika zaidi.
Agizo hilo limetolewa ya doctor seif usikaange katibu mkuu wa wizara hiyo jijini dar es Salaam wakati akizindua rasmi bodi hiyo mpya kwa niaba ya waziri wa afya, Mheshimiwa jenista mhagama.
Serikali ya Tanzania imepokea tani 10,000 za mbolea aina ya can 27 kwa ajili ya wakulima na zitakwenda kutumika kunenepesha pamoja na kuzuia mazao mbalimbali ambapo shabaha kubwa ikiwa ni kuimarisha sekta ya kilimo hapa nchini.
Shehena hiyo imewasili katika bandari ya dar es Salaam ambapo ikishuhudiwa upakuaji wa mbolea hiyo.
Mkurugenzi mkuu wa tfc, samuel msote.
Amesema itasambaza kote nchini.
Kwa kufuata utaratibu wa pembejeo za ruzuku ya serikali unaendelea kusikiliza habari kwa ufupi kutoka radio sauti ya Injili moshi zifuatazo sasa ni habari za kimataifa.
Ripoti kutoka serikali ya Malawi imesema jumla ya watu 4,000,000 ambao ni takribani 22/100 ya Malawi wote hawataweza kukidhi mahitaji yao ya kila mwaka ya chakula kutokana na mavuno hafifu ya kipindi cha Oktoba hadi Machi mwaka huu.
Waziri wa fedha.
Hatua Malawi bwana joseph mwanamke heka amesema wananchi wanahitaji misaada ya haraka ya binadamu ili kupunguza ukosefu wa chakula kulinda na kurejesha riziki zao na kuwasaidia kuepusha utapiamlo mkali.
Na wapiganaji wa ADF wanaohusishwa na Dola la Kiislamu wameua watu 19 mashariki mwa drc wakachoma nyumba na maduka huku mamia ya wakaazi wakikimbia makazi yao katika eneo la lubero.
Kwa mujibu wa maafisa wa jeshi la kundi la ADF lililoanzishwa na waasi wa zamani wa Uganda na kula kiapo cha utiifu wa AIS liliwashambulia wakazi wa kijiji cha mukondo.
Katika eneo la lubero na kuwaua kikatili watu 19.
Mwisho wa habari kwa ufupi kutoka hapa redio sauti ya Injili moshi habari kamili ni pale zitakapokujia 02:00 kamili usiku mimi naitwa vera lyaro sina la ziada ulikuwa nani majira ya asubuhi 11:45 kukuletea vipindi tofauti tofauti hadi hivyo sasa muda mfupi kwanza hivi sasa mtangazaji mwenzangu godlizen kile watafika mahali hapa kukuletea kipindi cha salamu za mchana nikutakie usiku hivyo mzuri.
Vipindi vinavyofuata hapa radio sauti ya Injili moshi lakini kwa upande wangu wa kushoto na mwana go-reizei tayari amekwishafika mahali hapa golini habari za mchana habari za mchana ni nzuri sikiliza kwako vera sidika mchana ni nzuri zilizoko vera mimi sijambo kwa upande wako natumaini umejiandaa nina katika kipindi cha salamu za mchana na ikiwa leo ni siku ya mapumziko kueleze ya mimi nimwambie tu msikilizaji.
Ndipo hapo mmm aendelee kupumzika huku akitafakari na kusikiliza redio sauti ya Injili kwa sababu yanayofuata hapa mm-hmm na yanayoendelea kila siku na kila wakati ni mazuri kweli kweli natumaini basi umejiandaa vya kutosha katika kipindi cha salamu za mchana hasa katika uandaaji wa burudani za mchana atatue mwambie msikilizaji huko ndiko namwambia yaani yasizime redio amwalike na mwenzake tuendelee kuongeza na sauti ya hapo alipopumzika m mpigie simu na wale wenyewe kipindi cha salamu za mchana kiko hewani kinaingia.
Usio mrefu lakini kumbuka kwamba siku hii ya leo watu wamepumzika goli lize wanatumaini kwamba utawapatia burudani safi burudani ambayo imetulia si unajua sijawahi karibu hata siku 1 hujawahi kuharibu lakini burudani ambayo imetulia leo wana refresh wako nyumbani katika kumbukizi nzima ya kumuenzi babu yas Kambarage Nyerere vizuri sana vitu vizuri nyimbo nzuri ambazo mm zidisha zitawapa utulivu gani za mimi sina la ziada basi nimeshaaga wasikilizaji wangu alikuwa nani? Zile majira ya asubuhi.
Hadi hivyo sasa ninakwenda kupumzika.
Ninawatakia usikie mzuri wa vipindi vinavyofuata hapa redio sauti ya Injili moshi mimi ni very lyaro asante kwa kuwa nani na mchana mwema.
Haja ya moyo.
The.