Standard Radio TZ - 2025-12-17T17:00:00.700Z
Standard Radio TZ
Singida
Transcription
Tunapambana vizuri Championship ni ya moto namuona kabisa Kagera sukari akihitaji ligi mmm Kagera, sukari hamna na stori ataachika na wote Kagera lakini pia na geita gold wote wanalima sana godi na Kagera angalau geita gold kulikuwa na vitu vitu ambavyo vipo lakini askari ndio kama ikatiwa tamaa hivi lakini mpaka sasa ukitazama unagundua kila mtu anachapa katika mechi yake halafu baada ya hapo.
Turudi mezani tuje tuhesabu tena tulikuwa tunadhani zitafanya vizuri kama stendi United birdman fc.
Zinatupwa mbali sana mfano mzuri stendi stendi mimi sikuamini kabisa kama angekuwa katika nafasi hiyo ambayo yupo mmm kwa sababu kati ya timu ambazo tulikuwa tunaikaribisha ligi kuu ni mojawapo stendi.
Sasa baada ya mambo kutokuwa na mazuri.
Wamekuja kushushwa kule ambako wapo lakini pia ni kama vile eeh sijui kama walipoteza baadhi ya vyuma lakini mimi sikutegemea kuwaona 60 katika hiyo nafasi.
Lakini yote kwa yote Championship inawaka na sasa ukitizama geita gold wana amani ya kutosha yaani wako fulu wanahitaji zaidi kuendelea kufanya vizuri.
Kwa hiyo jambo ambalo la kushukuru zaidi ni kwamba watu wamekaza kweli kweli hakuna cha ligi ambayo ni chekechekea kila timu wako tayari kwa lolote muda wowote kiasi ambacho wanataka wafanye vizuri.
Kwa hiyo kongole sana kwa wale ambao.
Wanaendelea kujikaza na watu wana uchungu sana na unajua Championship ni ngumu kidogo watu wanaitaka sana ligi kuu soka Tanzania bara kwa ajili ya kuja kupoa sasa kama wanaitaka hii maanake waendelee kukaza na bado timu zinakaa kwelikweli zinafanya vizuri.
Yaliyo Championship sio ya kitoto ndio maana mtibwa sukari wakati wanakuja ligi kuu.
Na walisema kwamba huku hapafai maanake kuna kitu kigumu ambacho kinafanyika watu wanacheza kwelikweli sio mchezo.
Maeneo ya watu wako siriasi kweli kweli? Mmh kwa hiyo imewaka sana.
Wanapiga huko na wote wanapiga mimi sio mchezo.
Umeanza tena hapo big money lakini pia umeitaja stendi watu walitegemea hizo zingekuwa katika mstari mzuri mm-hmm lakini ukiangalia hapa big man yeye.
Yupo nafasi ya.
9 iko nafasi ya 9 hapo.
Tunamwangalia kwenye profile ya mwalimu aliyepo pale mmm kidogo tumetazama mwa jicho lingine lakini bado ni kama vile kumekuwa na ule mguu wa kuchechemea chechemea mchanga angalau bigman fc maanake watu wengi wangempa kaunti kwenye top five lakini hayupo anasikitisha zaidi ni stendi mmm stendi kama vile hali yake si shwari msimamo hapa.
Naona haturidhishwi sana.
Haya ambayo kitu ambacho a mimi sidhani kamau.
Ndivyo ambavyo ilikuwa iwe hivyo, lakini yote kwa yote bado ni mpira wa miguu, mpira wa miguu na matokeo mengi na kila mtu anautaka mpira.
Bwana mpira wa miguu una mambo mengi lakini kila mmoja anaitaka.
Eeh na fence na kila mmoja anahitajika msikilizaji wa Standard radio ndio ligi ya daraja la kwanza.
Tanzania ambayo inaendelea na mambo kwao yamekuwa mazuri.
Naona wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania wakiwa katika hali njema kabisa wakiifanya mazoezi wakitoa wote ee na mambo yanaonekana kuwa safi namuona haji.
Za hiyo ndiyo taarifa yangu ya kwamba nyota wawili wakongwe ndani ya timu ya taifa wameingia leo mara baada ya kumaliza majukumu ya vilabu kwa maana ya mbwana ally samatta.
Huyu ndio staa wetu wa bongo sindivyo, lakini pia simon heb god msuva.
Naye msuva msuva hajamfikia bado nani na wako magoli sawa sahihi na 25 saa hizi wako magoli sawa aha yaani kinachobaki ni yeye yeye kuweka 1 basi sasa kama ana.
Ana anaona kabisa anaivunja rekodi.
Ataweka anaitaka.
Wewe kweli kwa namna ambayo kama labda unajua makocha nao ni 1 ya watu ambao wana.
Wana wana wana macho yao lakini kwa jicho la gamoni kama akiendelea kuwepo na msuva atapata nafasi nyingi sana.
Inawezekana muona msuva huyu aendelea kukiwasha maanake yeye hajawahi kukata tamaa wala hajawahi kuwa mwepesi mwepesi kiasi hicho mmm kwa hiyo msuva mimi namwona ana ataenda kumwambia ngassa bwana wewe uliyafanya kipindi chako na mimi ngoja nifanye kwa kipindi changu historia nzuri ya msuva wakati anasa.
Wakati anacheza soka kuna kipindi alienda akanunua viatu vipya.
Alivyonunua kiatu akafanya kitu kimoja aliyeondoka navyo viatu akaviweka kwenye mfuko vizuri siku ya ibada Jumapili.
Akaenda kwa mchungaji akamwambia.
Pasta mimi ni mchezaji.
Akafanyiwa maombi akaondoka nchini ndio kipindi ambacho alikuwa anaondoka.
Vile na alipata baraka zote za kwenda kufanya vizuri katika karia yake ya mpira wa miguu.
Kwa hiyo msuva kutoka kipindi ameondoka hapa Tanzania na hakutamani tena arudi kucheza ligi ya Tanzania zaidi sana hafanyi vizuri huko nje na amekuwa na muendelezo mzuri anapambana.
Bado ni kijana ambaye anastahili kufanya vizuri na anastahili sana kuendelea kuaminiwa kwa sababu hakika timu ya taifa kati ya wachezaji watano.
Ambao wanafanya vizuri na wanafanya kwa moyo msuva uzi ukamwondoa achana nao wengine ambao labda wamekuwepo wanakuja na nini lakini kuna msuva huyu jamaa akiwa kwenye timu ya taifa.
Yaani anafanya ni kama vile kesho hatofanya tena labda tu siku iwe mbaya kazini lakini pia mapato labda na majeraha japo kuna majeraha hapo ni kama vile sijamuona sana.
Lakini hali yake ya kiuchezaji huwa ni kubwa sana na anapambana mno msuva akiwa uwanjani kwa sitoshangaa kumuona ameanza kuweka rekodi yake mpya, akamwambia ngassa bwana wewe inatosha shughulisha staafu watuachie wengine kwa hivyo.
Namuona kwa msuva ataendelea pale alipoishia.
Msuva ataendelea pale alipoishia msikilizaji wa Standard redio tunaenda kupata ujumbe wa Krismasi kwa wadau.
Tunarejea.
Shida.
Na wakati reli ya mwaka mpya.
Mwaka tukutane mwaka 2009.
Gogo la mambogo kutoka pande za mwakyembe Singida.
Mimi ni msikilizaji wa radio Standard na kisha nimemtuma Salaam ambaye kwa kila kipindi vile uniti pamoja na alfajiri.
Kwa hiyo niwatakie heri ya Krismasi na mwaka mpya watangazaji wote wa radio.
I.
Nikatibu mkuu wa tendwa dar es Salaam ilala.
Napatikana itunge vya shida niwatakie wasikilizaji wote wa 90 toka 1 niwatakie basi kirisimasi njaa mwaka mpya ishara tuonane mwaka 2026 Mungu akitupa kwetu.
Nina mashaka anatokea mnunuzi na mjumbe wa baraza la usuluhishi 7 redio kwa tuna.
Changanua wake mwakilishi mas na mwaka mpya kwa hivyo na naitwa fadhili bakari natoka mkoa wa Manyara ni katibu mkuu ana Salaam Tanzania nawatakia yake iliamua Krismasi na mwaka mpya.
Watanzania wote na tuendelee kusikiliza Standard fm.
Kwani Standard imekuwa ni sehemu mojawapo ya burudani na mambo mazuri ndani ya mwaka 2025 heri na fanaka kwa Watanzania wote asanteni kwa majina na hisa nusu ya juma anatokea kinyeto ni msikilizaji wa Standard zetu napenda kuwatakia wasikilizaji wote heri ya christmas na mwaka mpya.
Mkutane mwakani Mungu akijalia vingine ni nini mzee wa maombi.
Na mwaka mpya watu wote na wasikilizaji wote tusherehekee kwa amani siku 10 na Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Hii ni kutoka madini na watakia hii ya Krismasi wadau wote na wasikilizaji wote wa Standard redio na tupate kusikiliza Standard redio kwa wingi na nawatakia heri ya mwisho wa mwaka huu na tuende wote kutoka mwaka 2026 tuwe wote wadau wema jamani tusikilize wote bandari zetu tuidumishe yetu ya redio na hatua za pamoja.
Asante sana.
Sasa leo umepuliza pafyumu kali mno ndio maana mwanangu anakohoa na kupumua kwa shida lakini dada unaweza kukohoa kabla hatujafika kwenye sherehe na nilikuwa sijakuuliza pafyumu sasa ameona ameanza kupumua haraka na kwa shida hivi fikia.