FADECO Community Radio - 2025-10-17T12:00:00.563Z
FADECO Community Radio
Bukoba
Significant Highlights
1 HighlightThese are the most relevant segments extracted from this record based on semantic analysis.
Transcription
The.
The.
Ni kuwaalika katika kipindi cha makutano kinachokujia kila siku Jumatatu hadi ijumaa na kukupa habari zilizojiri kutoka kwa waandishi wetu na wadau wengine wanaozungumza ndani ya kipindi hiki cha makutano na miongoni mwa habari utakazozipata ndani ya kipindi hiki cha makutano ni pamoja na mvua iliyonyesha jana kwa kuambatana na upepo mkali imezua nyumba ya ibada 1 hapa kayanga wilayani Karagwe mkoani Kagera ndio mvua zilizonyesha jana zimeleta maafa upepo mkali.
Huku kwetu chini.
Akaniita letu ni kama.
Naye ana linta kwa hiyo alipoinuka na habari nyingine utakayosikia ndani ya kipindi hiki cha makutano ni pamoja na Watanzania waaswa, kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu 10/29 mwaka huu tutakapokwenda kupiga kura nchi yetu nchi yenye utulivu nchini.
Inakuwa gani tofauti za rangi makabila.
Hii ni haya yote yametamalaki katika nchi yetu ni chache kati ya waziri nyingi.
Habari utakaposikia ndani ya kipindi hiki cha makutano ni tendo tamatini mwanzo hadi mwisho mwa kipindi hiki.
Ebana tukutane wote ndani ya kipindi cha makutano kipindi kinachokupa taarifa motomoto zinazotokea katika mkoa wa Kagera ndani ya makutano tu na kuunganisha na waandishi wetu makini waliosambaa mkoa mzima Kagera kuleta taarifa sahihi na za uhakika kutoka maeneo mbalimbali ni harakati za waandishi wa habari kuhakikisha kwamba wanafika katika eneo la tukio kushuhudia kile ambacho kinaendelea kutoka hapa duniani.
Kero hili ni gates ndio maana basi wake usikose kusikiliza kipindi cha makutano kila siku ya Jumatatu hadi ijumaa kuanzia 09:00 alasiri.
Hadi 10:00 jioni hapa hapa redio ya jamii fadeco wote tukutane ndani ya makutano.
Kwa kuanza kabisa tuanzie hapa wilayani Karagwe katika mji wetu wa kayanga, ninakwenda kuzungumza na mchungaji wa Kanisa la a ccm ambaye nyumba yake ya ibada imeezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua hapo jana mimi naitwa mchungaji jovinus William maarufu anajulikana kama kaijage kwa jina jingine.
Ndipo mtaa wa bomani katika mji wetu wa kayanga.
Katika.
Niseme maeneo ya kayanga sekondari ya mvua zilizonyesha jana zimeleta maafa upepo mkali huku kwetu chini.
Like I need to let to recover.
Kwa sababu sababu ya kufungwa na nyaya na linta.
Kwa hiyo ipo.
Alizuiliwa tu kwa hiyo kwa sasa kinachoendelea kwanza tunamshukuru Mungu kwamba hakukuwepo mtu mm.
Kwa hiyo hakuna maafa yaliyosababisha pekee ni kujeruhika kwa mtu.
Japo ilikuwa ni siku ya ibada lakini basi.
Washirika walikuwa hawajaingia katika ibada hiyo.
Mmm.
Kwa hiyo kwa sasa tumeamua sasa kuanza na.
Kazi ya awali kuwatoa mabaki hayo kwa jipa ili kuyahifadhi.
Na kuchambua pia matofali yale ambayo hayana kuvunjika kwa ajili ya kuyaweka vizuri kuona nini ambacho kitaendelea baadaye.
Mm hmm kwa hiyo chambo lililopo kwa sasa ni na kwa sasa tunasikia kama mnaendelea kutoa mabati kwa ajili ya kuhifadhi na mnapanga ibada zitafanyika wapi mkiwa mnaendelea na taratibu za kurudisha jengo hilo ah taratibu za kwanza hizo kufanyika jana baada ya kupata taarifa hiyo na mimi mwenyewe nilikuwa safari ilikuwa murongo huduma mmm.
Baadaye nikarudi nikiwa nimeyatoa maelekezo ya namna gani baada ya zitafanyika kwa jana mmm baada ya hapo nikawa nimeenda kuhudhuria msiba kwa tumepata msiba wa jamaa yetu.
Kama sikosei kuangalia sana nilipata hiyo taarifa.
Baada ya kupata hiyo, taarifa pia kwa sasa ilikuwa ni siku ya ibada niliwaambia waendelee na ibada nje ya nje ya eneo hilo na sehemu hapa na mtu kwenye eneo.
Katika sehemu watumie hiyo sehemu ya mti huo mkubwa baada ya ziendelee mmm.
Kwa hiyo baada ya zilifanyika na tunatarajia pia hata Jumapili tutafanyia hapo chini ya mti.
Mpaka hapo tutakapopata.
Pia isubiri pia hata wadau watakaokuwa wameskia mmm kuna jamaa namna gani ambavyo tu kushirikiana nao.
Kuona sina innocent wengine jengo.
Na haraka kwa ajili ya.
Mm hali hali ya hewa sio rafiki.
Tuweze kupata jengo dharau la kuweka mabaki ya kitu tunaweza kusimika miti kama bwana tutakuwa imempendeza.
Wakati tunaendelea kujipanga sasa tuone cha kufanya.
Ni kushukuru.
Mkimshukuru sana na niwape pole natumai kabisa wadau mmm wadau wanaokusikiliza majirani utakao wakimbilia kwa namna 1 ama nyingine wataweza kuwezesha kwa chochote ili watu wa Mungu wapate sehemu ya kuabudia asante sana lakini katika pia kabla hatujaachana mm.
Katika hatua za kwanza pia licha ya majirani kujua na nini, lakini pia tui tumetoa pia kwenye taarifa kwenye uongozi mmm kwa Mheshimiwa machage kwa sababu ndiye kiongozi wetu wa huku wa mtaa wetu ndio ili kumjulisha pia hali iliyotokea katika eneo nafikiri na yeye pia hizo taarifa amezipokea nazijua pole sana mchungaji na waumini wote ni wote, lakini pia watakaogawiwa kuchangia ili jengo liweze kusema kwa ajili ya watu kuabudia Mungu ataweza kuwabariki.
Watanzania waaswa kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa 10/29 mwaka huu tutakapokwenda kupiga kura na saa hizo zimetolewa na sheikh wa bakwata wilayani Karagwe, nasibu abdul akiwa kumtanguliza Mwenyezi Mungu awawezeshe Watanzania kuwachagua viongozi wenye maadili mema na wenye hofu ya Mungu.
Watakaoweza kuongoza taifa la Tanzania.
Kwa majina naitwa.
Katibu wako.
Now.
Nikushukuru mwandishi kwa kulileta jambo hili.
Naona nileta katika wakati.
Sahihi.
Ah kama tunavyofahamu.
Malaki.
Huitwa kisiwa cha amani.
Nchi yetu.
Kamano.
Kabila hii ni haya yote yametamalaki katika nchi yetu.
Unaponiuliza tathmini yangu katika kampeni ni kiini kwamba tumeendelea kushuhudia.
Aidha kwa kuona kwamba macho ama kwa kusikia kwa masikio yangu kwamba Watanzania wanaendelea kuhudhuria katika kampeni za wagombea mbalimbali.
Bila kujali vyama bila kujali ni chama kipi kila mkutano wapi? Watanzania wameendelea kuwa umeendelea kuhudhuria hii.